Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Mfano wako hauendani na tunachojadili hapa, mama sio sawa na mpenz wako hawana hadhi sawa na treatment zao n tofauti kabisa. Iko hivi ukiona umeweza kumwambia ukweli ujue basi hauna nia na uwezi kuacha tabia uliyoianza ya usaliti, ingekua unaweza kuiacha usingemwambia kwa sababu unajua fika ukiacha hatokuja kujua na ndio maana moya wako unafukuta
Upo sahihi mkuu ila nimezungumzia huo mfano kwa issue ya kujihisi kuwa na hatia.!
Kuna watu tu wapo hivyo, huwezi force kila mtu a behave kwa kuficha makosa Kuna wengine wanapata ahueni wakisema ukweli.!!
 
Unamaanisha wanawakewasaliti na wanaume wasaliti ila kwa kificho??
Ukweli wa mtu anaujua yeye na moyo wake, usaliti sio jambo la kulianika hadharani bnafs nlishakuwa msaliti kwa nliowahi date nao but hakuna ambae analijua hilo kwa sababu bado nlikua nawahitaji na itabaki kuwa siri yangu maana anaejua huyu n mchepuko au njia kuu ni mimi.
 
Hajasehewa huyo....

Aachane na huyo mwanaume lasivyo revenge itakuja tu hata baada ya ndoa...

Na huyo mwanaume aache ujinga anatakaje kuoa Malaya Tena....huko ulaya hamna Wanawake...
 
Tatizo sio kwamba huyo uliye kuwa nae hajawahi Salita huyu kaka aliye mchoma mkewe watu wake wa karibu wameongea naye ni msaliti pia hakuwa muaminifu kwenye ndoa yake ila why kamuuwa mkewe tena hao wasaliti ni hatari kwa hasira.
Haha' ngachokaa!!
Hii ndo maana halisi ya mkuki kwa nguruwe....
 
We umtak tena huyo jamaa sio vingnevyo na haupo tayari kuacha ulichokianza
Upo sahihi mkuu ila nimezungumzia huo mfano kwa issue ya kujihisi kuwa na hatia.!
Kuna watu tu wapo hivyo, huwezi force kila mtu a behave kwa kuficha makosa Kuna wengine wanapata ahueni wakisema ukweli.!!
 
Sema bado nashangaa kitu hapaa.. Huyu dada anaamini jama ake huko nje hagongii eti????? ila wanawake bhana kujiongeza huwaga ni shida.. Yani Jamaa lazimaaaa ana demu huko NJE
 
Hajasehewa huyo....

Aachane na huyo mwanaume lasivyo revenge itakuja tu hata baada ya ndoa...

Na huyo mwanaume aache ujinga anatakaje kuoa Malaya Tena....huko ulaya hamna Wanawake...
😀😀
Wapo mkuu ila hilo ndo chaguo lake.!!
 
Hi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!

Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano yao wanawasiliana tu vizuri na mara kwa mara..!!

Wakiwa wanaaminiana huku kila mmoja akiahidi ku keep promise as walikuwa committed to each other..

the bad day arrived as girl alikuwa ako na ex wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi huko, so ex akawa amerejea akamfuata binti mpaka kwao anaomba waonane japo waongee tu.!!

Hapo ndo pahala mrembo akabugi akaenda onana naye, wakazungumza vizuri huku wanakunywa wine na nafasi ya usaliti ikajitokeza hapo, Na imagine alikuwa amekaa muda mrefu bila kufanya kosa while akimsubiri mpenzi wake,

After that, akakosa gut ya kuongea vizuri na mpenzi wake maana akawa anafeel guilty, Mpenzi wake akagundua changes kwa communication yao, akawa ameforce kutaka kujua what's going down?

Binti uvumilivu ukamshinda akasema ukweli na kuomba radhi, the guy aliumia ila after a while akamuambia kuwa amemsamehe..!!

Sasa tatizo binti ana feel guilty sababu kavumilia muda mrefu kaja kuvunja jungu mlangoni, Pili haamini kama kweli the guy kamsamehe maana kamuambia amvumilie anarudi very soon waongee, ila mrembo anataka aachane naye tu kabla hata hajarudi sababu anasema kama ameweza kum cheat this time after all promises, obviously anahofia hili laweza kujirudia hata ikitokea kamsamehe anaweza muumiza tena..

Kajaribu kumuambia bora iishe ila the guy kagoma katu katu kumuacha, hivi wanaume unaweza salitiwa na mpenzi wako na ukafahamu, na ukamsamehe kwa moyo mmoja na ukawa tayari kuendelea naye bila kinyongo chochote??
Haisameheki hiyo anamsubiri mwanamke ajae kingi nayeye amsaliti vizuuuri kumlpiza ase kuchapiwa ni jambo zito kwa kweli moyo huwa unawaka moto hatari.
 
Sema bado nashangaa kitu hapaa.. Huyu dada anaamini jama ake huko nje hagongii eti????? ila wanawake bhana kujiongeza huwaga ni shida.. Yani Jamaa lazimaaaa ana demu huko NJE
Ila si huwa mnazitofautisha kesi zenu na zetu, nyie mkijipigia nje fresh ila kwa mwanamke ni kosa la jinai, Wanaume MUNGU anawazoom walaqhii'..!!
 
Mkuu hujawahi ku cheat maishani mwako??
Nime cheat,.. Ila nikifumwa sihitaji kusamehewa,... Issue ni moyo wa msamaha. Kusamehe sio jambo rahisi,.. Samehe na sahau... Usichukulie powa
 
Back
Top Bottom