Megabits
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 532
- 586
Hahahah kabisa yani safi sana mkuu hahahKweli kabisa. kuna demu moja wa kinyarwanda alinizungusha kama miaka 2 hivi aligoma kabisa kunipa papuchi licha ya kwamba nilikuwa karibu nae mpaka kufika kulala nae kitanda kimoja. sikukata tamaa nikajifanya fala.baada ya mda nilihamia mkoa mwingine urafiki ukaendela lakini mapenzi nae yalikuwa yamekwisha.
Siku ya siku akingia kingi akaomba aje kunitembelea. nikamkubalia akaja nikamtafuna wiki mbili mfululizo nikapunguza machungu ya kunizungusha miaka 2. Wanaume tuna mahesabu marefu.

