official scandal
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 401
- 859
Mwanaume kusamehe kusalitiwa inawezekana kabisa katika "scenario" mbili tuHi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!
Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano yao wanawasiliana tu vizuri na mara kwa mara..!!
Wakiwa wanaaminiana huku kila mmoja akiahidi ku keep promise as walikuwa committed to each other..
the bad day arrived as girl alikuwa ako na ex wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi huko, so ex akawa amerejea akamfuata binti mpaka kwao anaomba waonane japo waongee tu.!!
Hapo ndo pahala mrembo akabugi akaenda onana naye, wakazungumza vizuri huku wanakunywa wine na nafasi ya usaliti ikajitokeza hapo, Na imagine alikuwa amekaa muda mrefu bila kufanya kosa while akimsubiri mpenzi wake,
After that, akakosa gut ya kuongea vizuri na mpenzi wake maana akawa anafeel guilty, Mpenzi wake akagundua changes kwa communication yao, akawa ameforce kutaka kujua what's going down?
Binti uvumilivu ukamshinda akasema ukweli na kuomba radhi, the guy aliumia ila after a while akamuambia kuwa amemsamehe..!!
Sasa tatizo binti ana feel guilty sababu kavumilia muda mrefu kaja kuvunja jungu mlangoni, Pili haamini kama kweli the guy kamsamehe maana kamuambia amvumilie anarudi very soon waongee, ila mrembo anataka aachane naye tu kabla hata hajarudi sababu anasema kama ameweza kum cheat this time after all promises, obviously anahofia hili laweza kujirudia hata ikitokea kamsamehe anaweza muumiza tena..
Kajaribu kumuambia bora iishe ila the guy kagoma katu katu kumuacha, hivi wanaume unaweza salitiwa na mpenzi wako na ukafahamu, na ukamsamehe kwa moyo mmoja na ukawa tayari kuendelea naye bila kinyongo chochote??
1. Mwanamke atabaki kuwa mtumwa siku zote. Jamaa ana sababu tosha ya kumwendesha huyo binti atakavyo kuanzia sasa. Hakuna mapenzi hapo tena, bali woga na hatia moyoni
2. Kama umeshawekeza vya kutosha kwa binti, kwa nini uache binti wakati umeshafanya uwekezaji wa hali ya juu, focus sio mwanamke bali ni uwekezaji wako.
Note: Watu wapo tofauti, inawezekana jamaa amesamehe kwa moyo mweupe.
Ila kumbuka katika hii dunia " Everything is about sex ; except sex because sex is about power" .....