scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,736
Watoto wa siku hizi bhana we umecheat hujakamatwa unajishtak mwenyewe unakuwa na akili kwel????alisharikoroga ogopa mtu analiyekuamin alafu ukaja kuharibu sku moja,ndio anaweza kukusamehe lakini hujui anachokiwaza.
Wadada,kamwe kamwe usije kukubali kwamba umechepuka,najua kuna wanaume atakwambia baby ukinieleza vzur bila kunificha m ntakusamehe,narudia usithubutu,yaani kama hujanifuma laivu sahau kukwambia ndio nilifanya hik kitu.
Yaani kama hujanifuma naruka mita miambili