Ukiweza kunivumilia kwenye hili hutoshindwa kwenye yajayoNimejitahidi kukaza moyo na kuvumilia.!!
au kuna mtu anateseka?Wanaume huwa hawasamehi usaliti kamwe..kwanza kwanini alimwambia angebaki na siri yake moyoni...Hapo mwanaume atakuwa anamtafutia timing amlipizie. Jamani wanawake kama mwanaume hajakufumania live usikubali kwamba umemsaliti narudia tena usikubali kabisa huwa hawasamehi kabisa.
Luka 17:3-5Mkuu hujawahi ku cheat maishani mwako??
huwezi kuibadili asiliIla maisha yamebadilika mkuu, mnapaswa mbadilike pia!
Huyo mwanamke asubiri azae watoto wawili apoteze uzuri wake wa awali ndo atajua kwanini wanaume hawasemehi ..
Wapo mkuu ila hilo ndo chaguo lake.!!
Siwez vumilia mwanamke anaewasiliana na ex wake, hyo adhabu itakua pgo maishan mwakeHuyo mwanamke asubiri azae watoto wawili apoteze uzuri wake wa awali ndo atajua kwanini wanaume hawasemehi ..
Mi nilianza mahusiano tu, nikakuta ex wake anamkumbushia mbona umenisusa hivo na nikajua wanachat hata baada ya kuwa na mimi,huyo ni mwanamke nayempenda sana na nipo nae hadi saivi anadai kabadilika na namuona kabadilika na ushahidi haukukamilika Ni chat simple sana lakini bcoz alikuwa ex wake tu basi nilitomb* nje Miaka 5 yote hadi leo kafuma msg za Wanawake hadi kachoka,nachompa km support Ni almost nothing na Nina mwanamke mwenye malengo nae nitakayemuoa,Kama adhabu namuhaidi nitamuoa lkn sitamuoa na pamoja na yote hayo sijamsamehe tu.. five good years of asking for msamaha plus kuvumilia useng* wangu wote na bado sijamseheme na anajua Hilo..
Usicheze na moyo wa mwanaume anayekupenda.. sababu kupenda kwetu Ni once na ni udhaifu unadhani biblia iliposema wanaume wapendeni wake zenu Ni kwanini?? mwanaume hajui kupenda kabisaaaaa.Namuonea huruma huyo dada tena sanaaa once a bitch,a bitch
daaah'..Huyo mwanamke asubiri azae watoto wawili apoteze uzuri wake wa awali ndo atajua kwanini wanaume hawasemehi ..
Mi nilianza mahusiano tu, nikakuta ex wake anamkumbushia mbona umenisusa hivo na nikajua wanachat hata baada ya kuwa na mimi,huyo ni mwanamke nayempenda sana na nipo nae hadi saivi anadai kabadilika na namuona kabadilika na ushahidi haukukamilika Ni chat simple sana lakini bcoz alikuwa ex wake tu basi nilitomb* nje Miaka 5 yote hadi leo kafuma msg za Wanawake hadi kachoka,nachompa km support Ni almost nothing na Nina mwanamke mwenye malengo nae nitakayemuoa,Kama adhabu namuhaidi nitamuoa lkn sitamuoa na pamoja na yote hayo sijamsamehe tu.. five good years of asking for msamaha plus kuvumilia useng* wangu wote na bado sijamseheme na anajua Hilo..
Usicheze na moyo wa mwanaume anayekupenda.. sababu kupenda kwetu Ni once na ni udhaifu unadhani biblia iliposema wanaume wapendeni wake zenu Ni kwanini?? mwanaume hajui kupenda kabisaaaaa.Namuonea huruma huyo dada tena sanaaa once a bitch,a bitch
Mmebaki wachache sana wenye huu moyo.!!
Mi na mchora tu Mwanaume mwenye uume umesimama vzr,anayejua kutongoza mwenye maisha yake mazuri...Siwez vumilia mwanamke anaewasiliana na ex wake, hyo adhabu itakua pgo maishan mwake
Mda mwngine inabid uishi fake life mipango yako itimie maana yeye mwenyewe anafake akijua hujui kituMi na mchora tu Mwanaume mwenye uume umesimama vzr,anayejua kutongoza mwenye maisha yake mazuri...
K****** usicheze na moyo wake hayaishi ng'ooooooo...
Kula ganzi tu mkuu ukweli baki nao hapo unampa sababu ya kukuona humfaiUkweli baada ya kuukosea ukweli wa kwanza mkuu,
Jamaa ali doubt maana aliona mtu kabadilika kwa mawasiliano hayupo kama mwanzo.!!Ukiona mwanamke anakwambia kuwa kacheat na hujamuuliza wala kudoubt jua kuwa Kanogewa na aliemkulaaa... Yani haoni shida kukupoteza...!! Na huyo dada akikubali kudate na jamaa ake tena walahi atamfanyia kitu mbaya sanaa.. Wanaume visasi ndo zetu