sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Na mimi nisivyopenda kusaidiwa na mwanamke mwenzangu bora sabuni inisaidie....sasa utaamua mwenyewe ufanyaje.....kama umeamua kuniambia ina maana uko tayari kuukubali ushauri wangu....vinginevyo nyamaza kimya fanya yako na ukirudi hakikisha sigundui kama nilisaidiwa....mamaaaeenh.. naichukia masta kama sumu!! nna miezi mitano sijakusa K lakini sabuni siwezi hata iwaza!bora siku nikikutana na mamaa nimvunjilie mbali kuliko kufanya mapenzi na sabuni! neeeeva!