Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,175
- 34,410
Nakupenda sana! Wewe ni Mwanamke timamu mwenye akili, I wish tungefahamiana.
Prob is, I ain't available.
Nakupenda sana! Wewe ni Mwanamke timamu mwenye akili, I wish tungefahamiana.
Hahahaaaa. Qudaaadeqi™
Ah wapi bwana......unasimama kama kawa....yani nilivyo na wivu na mali yangu afu nijue kuna mwanamke mwingine alipata ninachokipata kutoka kwake....ah bora sabuni aisee...
unavyoniwashawasha sasa...!!! kuna sehemu nimekuita naona hutaki tokea!
why?
Sijipendi???
mwambie sasa mbele za watu...! si uliniambia unampenda na uko tayari kwenda parokiani? hahaaaa!!
cc.. Eiyer!
Huwezi kwenda!!
Sijipendi???
Natumai hamjambo na mnajiandaa na w/end
Kuweni makini sana maana w/end ina mengi
Leo jioni nina ka swali kwenu
Hebu fikiria tu kuwa uko kwenye uhusiano ambao ni serious au uko kwenye ndoa
Unajua kabisa kuwa mupenzi wako akipata ham ya kubanjuka huwa hawezi kabisa kujizuia,yaani hawezi hata kupata ka usingizi usiku
Ikatokea akapata kazi ambayo itamfanya asiwepo mkoani mlipo kwa miezi kama 10 hivi,akaenda huko kuchapa kazi na baada ya miezi mitano anakuambia amezidiwa na ham kiasi kwamba zimepita siku nne hapati hata lepe la usingizi
Je,utamshauri nini?
Zingatia hali yake na udhaifu alionao kwenye suala hilo!
teh teh umempa ya uso Excel.
Duh nahc kama nataka kughairi vile....kumbe paroko naye yumo...kayajua wapi haya excel wakati yeye hajawahi..nilitegemea kuzindua albam mwenyewe!
we nawe kwa kumpenda excel?
Dah hiyo ya ku do kwa skype Umenigusa haswa....nitakwea fast jet fasta nikatoe huduma,km siwez kwenda tuta do kwa skype.
teh teh umempa ya uso Excel.
Anampenda sana eeeeeh??
Dah hiyo ya ku do kwa skype Umenigusa haswa....