Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,083
Mkuu kiwatengu wakinga kwa sasa wapo juu sana kariakoo, mpaka wachagga wanawakimbia kwa madai eti wanatumia dawa asili kufanya biashara, utawahurumia.
Hivi jamani...mmeshafika Makete 'mjini'? Au hata miji ya karibu ya hao waKinga (Njombe, Makambako)...halafu mfananishe na Moshi mjini...au hata mfananishe Makete Mjini na kule kijijini kwetu Marangu, au Machame, au Kibosho etc! waChagga tunarudisha maendeleo kwetu..tuchukieni tu, lakini mti wenye matunda ndio unaotwangwa mawe..mtatutwanga sana mawe..kalagha'baho!