Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

Status
Not open for further replies.
mtu unalinganisha makete/mafinga na machame/marangu/rombo hahahhahahhaha kabisa unalinganisha brazil na belgium kimpira hahahhahahha hii nchi kuna watu/makabila yatabaki juu tu tena kipindi hiki cha soko huria ndio mtashaa
 
ha ha ha...kuna msukuma mmoja pale arusha anaitwa Sunda..kapiga mgorofa wa maana..
Nakushauri kwanza nenda kapande Mlima Kilimanjaro pitia Himo- Marangu halafu kashukie Machame au Rombo baadaye uende Irunga ukapande milima ya huko utakuja na jibu ni nani kati yao unayemtaka
Hii ya kuwapambanisha huko Dar-es-Salaam tu huwezi pata jibu
halafu ntakupa ni kina nani wako radhi kummaliza Mama yake kwa uganga katika wote hao wawili wanaoshinda kwa magagula
 
Wakinga hawajawasogelea wachaga hata kidogo sema ni moja ya makabila yaliyokuwa duni miaka ya nyuma ila kwa sasa ki ukweli wanajitaidi
Tatizo wana kashifa ya ulizo kama ilivyokuwa kwa wachaga zamani kuwa ni wezi
Ila yote hayo yanakuja sababu ya jitiada zao
 
Mkinga anakimbiza Kariakoo acha babaangu wachaga wote wameufyata Yesu na Maria.
 
Utasubiri Sana.. Yaani wale wauza mayai wakurya wa Kitunda waje kujenga ghorofa kama MIC hotel au Wanyama hotel au Kingsway hotel ya Morogoro!! Au wanyantuzu wanaonenepesha ng'ombe waje kupiga maghorofa marefu mjini,,, bado Sana

mkuu wanyatunzu wanaminara ya kutosha mjini hapa
 
Wakuu,
kuna jambo moja hapa, juu ya uwepo wa wachagga katika jiji la dar es salaam.

Inaaminika dhahiri kuwa jiji hili limekuwa sana
na moja ya kukuwa kwa jiji hili ni biashara na mapana yake..

Now days kuna kabila moja linalokuja vizuri sana
kwenye sekta ya biashara hawa Wakinga, kiukweli wameanza kusikika hivi karibuni na ukuaji wa jiji umeongezeka sana..

Is it true that Kinga's wana influence kubwa kibiashara jijini dar zaidi ya wachagga? walioanza biashara zamani zaidi?

wote washamba
 
  • Thanks
Reactions: 365
Tatizo la watanzania ni uvuvi na kuogopa kujitoa mhanga unapotaka kufanya kitu.... tofauti kati na Wakinga na Wachagga na makabila Mengine.. utabaki kuamini kuwa ni uchawi na ujambazi... watu wanapiga hela mjini.
kumbuka Wakinga wanatoka kawilaya kamoja tu Makete Vs WAchaga almost mkoa mzima wa Kilimanjaro ingekuwa ni kinyume chake basi ingekuwa balaa

Jaribu kuchunguza jinsi wanavyo anza kufanya biashara na hustle wanazopitia utagundua naamanisha nini...
Kama ni Uchawi Basi Watu wa Sumbawanga Ambako mnamininishwa kuna uchawi wa hali ya juuu wangekuwa list ya juu kwenye FORBES MAGAZINE

Acha dharau wewe bw*ge eti kawilaya kamoja, unajua ukubwa wa hako kawilaya au unaropoka tu. Mkoa wa kilimanjaro mkubwa? Kilimanjaro my ass
 
Acha dharau wewe bw*ge eti kawilaya kamoja, unajua ukubwa wa hako kawilaya au unaropoka tu. Mkoa wa kilimanjaro mkubwa? Kilimanjaro my ass

Mkuu we ni mchaga? Maana hahisi hujaelewa mantiki ya mtos hoja
 
Ebu tuachane na biashara,yale mambo yetu yale nani anagonga mambo poa.....
 
Acha dharau wewe bw*ge eti kawilaya kamoja, unajua ukubwa wa hako kawilaya au unaropoka tu. Mkoa wa kilimanjaro mkubwa? Kilimanjaro my ass
Kijana mbona matusi mengi... kwanza hujaelewa nilicholenga kusema ..... soma vizuri na kutafakari nilimaanisha nini ungekuwa mtihani basi hapo ni zero....
 
ungefanya research b4 postin,tatizo lenu wakinga,mnawamaliza mamazenu na watoto,kwa ushirikiano...................?????????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom