mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,165
Hawa wote Niko Nao na nimewatia mfukoni. Wote hakuna anayetafuta kihalali ni wezi na wachawi. Wanauchawi wa kihindi.
to the growth of dar city, what is their contributions?
Hao wakinga ni watu hatari sana wanaamini na biashara zao wanatumia nguvu za giza sana.
Jan nilifanya biashara na mkinga mmoja wana vitu vya ajabu,,,, alikataa kabisa kulipia bank na akakataa kunipa hela mkononi badala yake ziliwekwa kwny begi na akatupia siti ya nyuma.
Sijaona comment za wengine ila kwangu mimi hayo makabila mawili siyakubali hata kidogo, wachaga biashara zao nyingi ni za ujambazi na hao wakinga wamemaliza ndugu zao kwa ajili ya utajiri.Kwa hiyo please sema makabila mengine eg Waha,Wasukuma etc ambao wanafanya biashara halaliWakuu,
kuna jambo moja hapa, juu ya uwepo wa wachagga katika jiji la dar es salaam.
Inaaminika dhahiri kuwa jiji hili limekuwa sana
na moja ya kukuwa kwa jiji hili ni biashara na mapana yake..
Now days kuna kabila moja linalokuja vizuri sana
kwenye sekta ya biashara hawa Wakinga, kiukweli wameanza kusikika hivi karibuni na ukuaji wa jiji umeongezeka sana..
Is it true that Kinga's wana influence kubwa kibiashara jijini dar zaidi ya wachagga? walioanza biashara zamani zaidi?
Wakuu,

Tatizo la watanzania ni uvuvi na kuogopa kujitoa mhanga unapotaka kufanya kitu.... tofauti kati na Wakinga na Wachagga na makabila Mengine.. utabaki kuamini kuwa ni uchawi na ujambazi... watu wanapiga hela mjini.
kumbuka Wakinga wanatoka kawilaya kamoja tu Makete Vs WAchaga almost mkoa mzima wa Kilimanjaro ingekuwa ni kinyume chake basi ingekuwa balaa
Jaribu kuchunguza jinsi wanavyo anza kufanya biashara na hustle wanazopitia utagundua naamanisha nini...
Kama ni Uchawi Basi Watu wa Sumbawanga Ambako mnamininishwa kuna uchawi wa hali ya juuu wangekuwa list ya juu kwenye FORBES MAGAZINE
Sijaona comment za wengine ila kwangu mimi hayo makabila mawili siyakubali hata kidogo, wachaga biashara zao nyingi ni za ujambazi na hao wakinga wamemaliza ndugu zao kwa ajili ya utajiri.Kwa hiyo please sema makabila mengine eg Waha,Wasukuma etc ambao wanafanya biashara halali
Bongo muna ushindani huu wa kijinga wa Kikabila halafu mpo mbioni sana kunyooshea kidole nchi zingine.
CC: Geza Ulole kadoda11 Bulldog
Bongo muna ushindani huu wa kijinga wa Kikabila halafu mpo mbioni sana kunyooshea kidole nchi zingine.
CC: Geza Ulole kadoda11 Bulldog
Tatizo la watanzania ni uvuvi na kuogopa kujitoa mhanga unapotaka kufanya kitu.... tofauti kati na Wakinga na Wachagga na makabila Mengine.. utabaki kuamini kuwa ni uchawi na ujambazi... watu wanapiga hela mjini.
kumbuka Wakinga wanatoka kawilaya kamoja tu Makete Vs WAchaga almost mkoa mzima wa Kilimanjaro ingekuwa ni kinyume chake basi ingekuwa balaa
Jaribu kuchunguza jinsi wanavyo anza kufanya biashara na hustle wanazopitia utagundua naamanisha nini...
Kama ni Uchawi Basi Watu wa Sumbawanga Ambako mnamininishwa kuna uchawi wa hali ya juuu wangekuwa list ya juu kwenye FORBES MAGAZINE
Hii ni moja ya changamoto kubwa kama sisi watanzania tukitekeleza tutafanikiwa na kupiga hatua mbele.
Tatizo la watanzania ni uvuvi na kuogopa kujitoa mhanga unapotaka kufanya kitu.... tofauti kati na Wakinga na Wachagga na makabila Mengine.. utabaki kuamini kuwa ni uchawi na ujambazi... watu wanapiga hela mjini.
kumbuka Wakinga wanatoka kawilaya kamoja tu Makete Vs WAchaga almost mkoa mzima wa Kilimanjaro ingekuwa ni kinyume chake basi ingekuwa balaa
Jaribu kuchunguza jinsi wanavyo anza kufanya biashara na hustle wanazopitia utagundua naamanisha nini...
Kama ni Uchawi Basi Watu wa Sumbawanga Ambako mnamininishwa kuna uchawi wa hali ya juuu wangekuwa list ya juu kwenye FORBES MAGAZINE
Mitaani tunaishi vizuri sana
Maofisini tupo poa
Sio sawa na nyie
Wakinga wamemaliza ndugu zao una uhakika?
Makete Ukimwi uliprevail we unasema ushirikina.
Wachaga mnasema ni majambazi huwa wananwibia nani?
kwani unadhani lawmaina78 hajui wabongo tunavyo kula bata pamoja ktk raha na ktk shida.anajua sana.ukabila wetu upo zaidi ktk utani tu.
kule kwao kuna bar/migahawa/club mkikuyu haingii kisa inamilikiwa na mjaluo and vice versa.