Wanashushwa na matambiko na misukule ya wakinga.
Iwe kwa matambiko au misukule kushuhwa ni kushushwa tu, haitofautiani na waliopanda kwa KUUA.
Wanashushwa na matambiko na misukule ya wakinga.
Wanyama alikuwa ni bilionea mkubwa.
Ndo nani huyu?
Hakuna wa kumkaribia Mchagga kwa maendeleo..
Tweve vs Massawe
Hivi jamani...mmeshafika Makete 'mjini'? Au hata miji ya karibu ya hao waKinga (Njombe, Makambako)...halafu mfananishe na Moshi mjini...au hata mfananishe Makete Mjini na kule kijijini kwetu Marangu, au Machame, au Kibosho etc! waChagga tunarudisha maendeleo kwetu..tuchukieni tu, lakini mti wenye matunda ndio unaotwangwa mawe..mtatutwanga sana mawe..kalagha'baho!
Sijaona comment za wengine ila kwangu mimi hayo makabila mawili siyakubali hata kidogo, wachaga biashara zao nyingi ni za ujambazi na hao wakinga wamemaliza ndugu zao kwa ajili ya utajiri.Kwa hiyo please sema makabila mengine eg Waha,Wasukuma etc ambao wanafanya biashara halali
...sijaona Kabila lenye watu WAAMINIFU sana kama WACHAGGA.
Nadhani hata wakinga watakua sio wachawi , vifo vinavyotokea vitapungua kwa kadiri elimu inavyoongezeka kufuatia kasi ya ukuaji wa uchumi kwa Kabila hili.
Dar ni ya Wanzanzibari
Hakuna wa kumkaribia Mchagga kwa maendeleo..
Mkuu hii ni theory tumekua nayo kwa miaka mingi. Kwa sasa makabila kadhaa yanakuja kwa kasi. Wakinga ni mojawapo. Fika Kariakoo uone wakinga wanavyo nunua nyumba za wwnyeji na kujenga maghorofa ya biashara. Wachaga wengi wanahama kariakoo. Wahindi na waharabu wamesahaulika. Kwa sasa washindani labda ni wachina na wakinga pale kariakoo.
Ndio mana wazungu hawana makabila, poor africans with heaps of problems
Sijaona comment za wengine ila kwangu mimi hayo makabila mawili siyakubali hata kidogo, wachaga biashara zao nyingi ni za ujambazi na hao wakinga wamemaliza ndugu zao kwa ajili ya utajiri.Kwa hiyo please sema makabila mengine eg Waha,Wasukuma etc ambao wanafanya biashara halali
Hivi wasukuma wamefikia wapi kukata viganja albino? Hawa wasukuma hao wanailetea Tanzania aibu kubwa sana kimataifa