Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,271
Watu waliofilisika akili huzungumzia udini, ukabila, mikoa, nk..............Badala ya kusema mm ninamaendeleo kwa sababu nina hiki nina kile nina watoto wanasoma huku wengine kule, ninasomesha wadogo zangu huku au kule........MKAE MKIJUA TZ NI MOJA YA NCHI MASIKINI SANA KWA KIPATO CHA MTU MMOJA MMOJA SASA MIJADALA YA KIPUMBAVU KM HII SIJUI INATUSAIDIA NN. Si ajabu humu mtu akasifia mkinga kwa vile tu kabila lake lkn maisha yake hayajaguswa kwa namna yoyote na mkinga ila anaishi na na kusaidiwa na wasandawe, wamakonde nk.... NDIO KILA MTU ANAUHURU WA KUTOA MAONI YAKE LKN USHAMBA KM HUU SIJUI TUTAUACHA LINI? KATI YA MATAJIRI WATANO WAKUBWA TZ MBONA HAKUNA MCHAGA WALA MKINGA