Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

Status
Not open for further replies.
unaongelea ushabiki...utafute umoja wa wachagga kariakoo utajua kuwa wakinanani wana nguvu ya kiuchumi

acha kuwa na mawazo ya kitoto kwako wew biashara ni kuwa na duka kariakoo biashara zipo za aina nyingi wachagaa mkishafungua kiosk mnaona mnafanya biashara.
zipo biashara babu zipo biashara za hisa online businesses mabusi viwanda mazao zipo tenda broo kote hko mchaga hawezi kugusa acha sifa za kijinga pngne hujawai kuuza hata pipi
 
Mkuu ni kweli kuwa Wakinga wako nyuma kielemu, ila sio kweli kuwa hawana mwamko wa elimu.

Kwa Tanzania maeneo yenye wasomi wengi asilimia kubwa ni mchango wa mkoloni.

Maeneo yenye Kahawa, Pamba na Mkonge ndio yenye wasomi wengi hii ni kwa sababu mkoloni wakati anawekeza maeneo hayo alikua anagawa na elimu.

Mkinga sababu ya kukosa fursa ya elimu ndio maana kawekeza kwenye biashara zaidi, ila tusubiri miaka michache tu tutaona Wakinga wanavyotoa wasomi maana sasa hivi mwamko wa elimu kwa Wakinga umekuwa makubwa zaidi kuliko wakati wowote ule.

Laiti Mkinga angekua na elimu toka zamani, changanya na uwezo wa biashara ulonao mchaga angesubiri sana.

Mkuu wangu nakubaliana nawe ingawa ktk haya mambo ya elimu unajua aliye kwisha kutangulia na kuchungulia fursa anazidi kusonga mbele. Wachagga na Wahaya sasa wamesambaa duniani na kote huko wanatafuta fursa ktk elimu,biashara na kazi nzuri. Mkinga akivuka kikwazo hiki basi kutokana na nidhamu yake ktk biashara na uchapakazi atakua amepanda juu sana. Bila shaka itabidi aachane na haya mambo ya kishirikina!
 
acha kuwa na mawazo ya kitoto kwako wew biashara ni kuwa na duka kariakoo biashara zipo za aina nyingi wachagaa mkishafungua kiosk mnaona mnafanya biashara.
zipo biashara babu zipo biashara za hisa online businesses mabusi viwanda mazao zipo tenda broo kote hko mchaga hawezi kugusa acha sifa za kijinga pngne hujawai kuuza hata pipi
kina kimei wanawapeleka puta sio?
 
haha ushabiki wako ni wa kijinga mkinga gani anafanya biashara online wakati asilimia 98 ya wakinga hawajasoma!!!...usiulize kuhusu usomi wa wachagga
 
ndg zangu wa kanda ya zima kusema kweli mbadilike maana mnatutia aibu kimataifa mauaji vikongwe na albino
 
Bahati nzuri nimeishi Makete.Wakinga wanaamini sana ushirikina.lakini ukifuatilia kwa kina utagundua kuwa masharti wanayopewa na waganga ni yale yanayofafanana na kanuni za kawaida za kuimarisha biashara kama vile kutumia kidogo kuliko unachozalisha na kuweka akiba kwa ajili ya kupanua biashara.
Suala la ajabu ni kwamba wachaga na wahindi hawapo Makambako ambapo kuna biashara sana.Pia Njombe na Mbeya ni wachache sana.Wakinga wametawala huko.
 
Hayo makabila yoote uliyotaja % 100 Wachaga pia Wakinga wanapesa za Kichawi, maarufu kama pesa za Babu....chunguza kwa Makini utasadiki hilo.....wanapesa nyingi sana ila hawana Amani na Familia zao. .....wanauwa Wazazi, Watoto, Waume, Wake zao ili tu wapate pesa...Mleta mada hii jipange kuchunguza kwa Makini kisha lete uzi huu tena uone watu wanavyofahamu makabila haya
 
Sijaona comment za wengine ila kwangu mimi hayo makabila mawili siyakubali hata kidogo, wachaga biashara zao nyingi ni za ujambazi na hao wakinga wamemaliza ndugu zao kwa ajili ya utajiri.Kwa hiyo please sema makabila mengine eg Waha,Wasukuma etc ambao wanafanya biashara halali
waha nao wachawi ndugu na wakinga ,wasukuma wao maalbino
 
Hayo makabila yoote uliyotaja % 100 Wachaga pia Wakinga wanapesa za Kichawi, maarufu kama pesa za Babu....chunguza kwa Makini utasadiki hilo.....wanapesa nyingi sana ila hawana Amani na Familia zao. .....wanauwa Wazazi, Watoto, Waume, Wake zao ili tu wapate pesa...Mleta mada hii jipange kuchunguza kwa Makini kisha lete uzi huu tena uone watu wanavyofahamu makabila haya

Inawezekanaje? Kwanza mada ipo kama hoja tu
 
acha kuwa na mawazo ya kitoto kwako wew biashara ni kuwa na duka kariakoo biashara zipo za aina nyingi wachagaa mkishafungua kiosk mnaona mnafanya biashara.
zipo biashara babu zipo biashara za hisa online businesses mabusi viwanda mazao zipo tenda broo kote hko mchaga hawezi kugusa acha sifa za kijinga pngne hujawai kuuza hata pipi
Imekufika kwenye koo! Bro tuliza Mori!
 
huwezi linganisha utajiri wa kutafuta tangia ukiwa mdogo na kwa kutumia akili na utajiri wa mandondocha na kutoa makafara ya kuua ndugu
 
Fanyeni kazi ndugu, hakuna uchawi utakupa pesa, Uganga kwa Mkinga ni Insuarance ya kujiamini tu,na wala haimpi pesa. Nafanya kazi katika kampuni ya Mkinga, najua hayo, Ukimwi umewamaliza sana Wakinga, Makete hakuna Watu/Wakinga. Wakinga hawakupendi Makete, wametawanyika katika miji ya jamii nyingine, wanafanya kazi sana,hawana Jumapili wala weekend, Mungu amewajaria kwenye biashara wanafanya vizuri. Hata wachaga wapo vizuri,lakini tukumbuke nyakati zinabadilika, leo jamii hii kesho jamii ile.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom