Inaumiza sana mzazi kusomesha mtoto degree ya udaktari, ajira hapati anaishia kuwa muuza pafyumu kwa kucheza cheza mtandaoni wateja waone bidhaa

Inaumiza sana mzazi kusomesha mtoto degree ya udaktari, ajira hapati anaishia kuwa muuza pafyumu kwa kucheza cheza mtandaoni wateja waone bidhaa

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,437
Reaction score
35,963
Screenshot_20250328-002242_1.jpg
 
Akasome VETA, atakuwa na ujuzi wa kutengeneza pafyumu mwenye na kufungua kiwanda🐼
 
Mola anamuongoza katika kitu na kupata maarifa zaidi na njia ya karama yake aipate. Angeweza kuwa ana fanya chochote hata cha kujitolea hospital huku akiuza pia hayo.

Mola anaweza mpa njia mtu hata hategemei..
 
Hapo shida ni akili yake Hana mentorship.
Sasa perfume si ipo kwenye chemistry aliyosoma darasani.
Hapo ajifunze sales then akuze mtaji aje afungue kiwanda cha kuzalisha perfume.
 
Back
Top Bottom