inauma sana........

Taarifa nilizozipata kutoka kwa bishanga kwa kweli zimenisikitisha,ningependa kwanza wote mfahamu kuwa mimi nipo na pacha wangu ambaye ukituona unaweza kutufananisha sasa nina wasiwasi yaweza kuwa ulimuona yeye .
allllaaaaa basi scan besi setifiketi zenu uzipesti hapa tujue mko dabo dabo.
 
Ni kama unakiri indirectly kuwa ulivamia ndoa ya watu, una shetani gani na ndoa za watu wewe!?
namshangaa utazani ni askari katika front au seaman katia nanga dar
 
Shindwa shindwaaaaaaaaa! ujue yuppo hapa anakitazama tu unavyosarandia ndoa za wenzako. Yako imekushinda unataka kuharibu za wengine!!!!
yuko wapi,mbona kawa bubu wa keyboard,C6 ninayemjua mie?
 
Hapa kuna nini?
Umbea wa kiume au Wivu wa kike?

I will be back...
 
Hapa kuna nini?
Umbea wa kiume au Wivu wa kike?

I will be back...

yaan mkuu we acha tu... Eti mimi nipo bedrest afu Bishanga ananzushia nimeonekana bukoba!!! Ka sio umbea wa kiume ni nini????
 
Last edited by a moderator:
Sii six ataua mtu leo,we subiri,bishanga ndo nshakaanga mbuyu nasubiria wenye meno wale ( source: marijani shabani _RIP).

Hilo ni Jabali la muziki, Marijani Rajab. I like his songs very much!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…