punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 450
Mkuu, asante kwa thread hii. Mi nimeuliza uarabuni wananchi wawe na malalamiko ya aina ya dowans halafu muhusika apeleke utumbo wa aina hii kwao, watakubali?? Hivi hawa watu ni watanzania kweli? walilazimishwa kuandika habari hiyo? yaani nashindwa kuelewa kabisa.