Hii Hoja ni ya msingi sana na imenikuna mno. Tena kwa kurudia tuhawa hawakua waandishi wa habari wa kawaida, ni wahariri, yaani mabosi wa waandishi wa habari kwa vyeo, mishahara na hate elimu. Hawa ndio vichwa vya media ya Tanzania. Watu wa hovyo kuliko kitu chochote na ndio wanaotaka kutambulika kama muhimili wa 4, hawa je wangeambiwa bong'oa wangekataaje? Eti ni ethics zetu kwa anayesema this is off the records, wanadhania kwa kuwa hatukai press rooms ni wajinga kama wao. Nasikia kama hiiyo haitoshi leo walikua wanarembua kwenda kuonana nao hao watu tena baada ya kuwatengenezea jukaa la wahariri, the top most media platform in Tz waongee nao. Halafu yalivyo mabwege, yote yakampa front page, at zero costs, yaani wamempa the best media coverage kwa hela zao wenyewe. Hawa ni vichwa vya mwendawazimu yaani wameshirikiane nae kuibiwa kampuni zao, kwa nini basi wasingekazania alipie hiyo habari kama tangazo, walau kwa kiwango cha chini kabisa wangeweza kupata 4m kama zile walizopewa za kuweka blanket ya CCM wakati wa uchaguzi. Akili ni nywele na hizo ndio zao, kwa sasa wote wanagombania kuonekana wako karibu na Fisadi RA, ndio kipimo chao cha ubora wa kazi. Sasa kesho na keshokutwa wataweza kudai picha toka kwa reporters wao? hawa ni kituko cha mwaka ndio hawa waliolalamika waandishi wakenya walivyowaita ma bootlicker, hawa, they are worse than ma bootlciker, they are actually 'suckers' nampongeza sana mchora katuni huyu na watangazaji wa vyombo vyote vya electronic walioivalia njuga leo asubuhi hichi kituko cha ma boss wao, I can almost see their names on those naked people, they are naked!