Mbaha
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 697
- 74
Kwanza mimi naona aibu kuwachukulia walioshiriki katika press conference hiyo kama "waandishi wa habari" They are nothing but MAKANJANJA!!! Kwa sababu kupiga picha ni moja kati ya njia muhimu sana za ukusanyaji habari!!!! They say a picture can speak a thousand words!!! Leo hii jitu linawaambia msipige picha na wao wanakubali kirahisi!!!.... Hivi kweli wewe ni mkulima halafu mtu anakuambia njoo shamba lakini ukifika usipalilie.... kuna ujinga kama huo!!! What's the point in going????!!!! Hamna kitu Makanjanja hayo!!!!....