kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 3,242
- 4,794
Jamaa anaakili Sema aniatumia vibayaZamani nilijua nyanj Ngabu ana akili sana, kupitia huu ujumbe wake nmejifunza kitu

.....Kwa kuwa MAMA YENU NA WEWE NDIO MNAMMILIKI MWENYEZI MUNGU........Hayupo Mungu atayempigania Lissu.
Dpp ana historia ya kesi za mchongo. Nashangaa Jaji Masaju anavyo sema watu wasi tungiwe kesi za mchongo.Soma mwenyewe
MUNGU ATAMPIGANIA
================
Mheshimiwa Jaji,
Lazima sasa nihitimishe maelezo yangu. Wewe umefanya kile ambacho sheria imekuamuru kufanya, yaani, kunipeleka kusikilizwa katika Mahakama Kuu. Waendesha mashtaka wa serikali pia wamefanya kile walichoona kuwa ni wajibu wao. Mimi pia nimetumia kile ninachoona kuwa ni haki yangu ya kisheria. Nimesema yote niliyotaka kusema, kwa namna na mtindo niliotaka kuyasema. Nikimnukuu Fidel Castro kwenye “Historia Itaniondolea Hatia”, natumai sitalazimika kujilaumu kwa kuacha kanuni yoyote bila kutetewa, au kwa kuacha ukweli wowote bila kusemwa kwa kuogopa kumkera mtu yeyote, au kwa kosa lolote lisilotajwa.
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma pamoja na maafisa wake wa sheria sasa lazima wafanye kile ambacho sheria inaeleza kuwa ni wajibu wao, yaani, kunishtaki kwa kosa linalodaiwa la uhaini kwa kile wanachoona kuwa ni “masilahi ya umma.” Mimi najua wajibu wangu ni nini: kutetea ukweli bila woga na kwa ujasiri kadiri ninavyoujua, na katika kufanya hivyo, kutetea misingi ya haki, usawa na demokrasia ambavyo havipaswi kuachwa bila kutetewa, na kulaani kosa lolote ambalo lazima kulaaniwa.
Basi nitaweza kuishi kwa amani, au kufa – kwani kifo kwa njia ya kunyongwa ndicho ambacho hawa “marafiki wasomi” wa upande wa mashtaka na waungaji mkono wao watakuwa wakidai katika Mahakama Kuu dhidi yangu. Lakini, kama Marcus Aurelius, Kaizari wa Kirumi, anavyodaiwa kusema kwa umaarufu:
“Kifo kinatabasamu kwa sisi sote, jambo pekee ambalo mwanadamu anaweza kufanya ni kutabasamu nacho.”
View attachment 3446454
....kwa Kuwa Wewe na MAMA YAKO NDIO Mnaommiliki MUNGU....SISi Tunaomsupport TAL, HAki na Usawa HAna Habar na sisiacha upotoshaji,
Mungu hampiganii mropokaji jeuri na mwenye kiburi, asie tii mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.
na hakuna cha roman empire wala Marcus Aurelius,
criminals especially puppets like you, must be persecuted and jailed in accordance to the law of the land.
lazima ushike adabu na ukome kuropokaropoka hovyohovyo![]()
Alishindwa kumuokoa akapigwa marisasi yaliyompa kilema cha maisha!Yupo aliyemuokoa na risasi ndo atampigania pia
Huyu Nyani Ngabu ni nyani kweli!!Hana Msaada kwa TaifaWho the hell are you?
Kuliko kuargue na chawa ni bora ninyamaze kwani nautweza utu wangu.Mungu ni wa kila mwanadamu gentleman,
acha drama, porojo ,ushirikina na ramli![]()
Sawa.tunawasubili tu,hii ni dunisacha upotoshaji,
Mungu hampiganii mropokaji jeuri na mwenye kiburi, asie tii mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.
na hakuna cha roman empire wala Marcus Aurelius,
criminals especially puppets like you, must be persecuted and jailed in accordance to the law of the land.
lazima ushike adabu na ukome kuropokaropoka hovyohovyo![]()
nliliblock maana hakuna la kujifunza kwake...takataka kubwa sanaWho is this monster NYANI NGABU who is always anti progressive ideas? What has he got against Tundu Lissu? I am curious!!!
Mkuu una softy copy yake yoteSoma mwenyewe
MUNGU ATAMPIGANIA
================
Mheshimiwa Jaji,
Lazima sasa nihitimishe maelezo yangu. Wewe umefanya kile ambacho sheria imekuamuru kufanya, yaani, kunipeleka kusikilizwa katika Mahakama Kuu. Waendesha mashtaka wa serikali pia wamefanya kile walichoona kuwa ni wajibu wao. Mimi pia nimetumia kile ninachoona kuwa ni haki yangu ya kisheria. Nimesema yote niliyotaka kusema, kwa namna na mtindo niliotaka kuyasema. Nikimnukuu Fidel Castro kwenye “Historia Itaniondolea Hatia”, natumai sitalazimika kujilaumu kwa kuacha kanuni yoyote bila kutetewa, au kwa kuacha ukweli wowote bila kusemwa kwa kuogopa kumkera mtu yeyote, au kwa kosa lolote lisilotajwa.
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma pamoja na maafisa wake wa sheria sasa lazima wafanye kile ambacho sheria inaeleza kuwa ni wajibu wao, yaani, kunishtaki kwa kosa linalodaiwa la uhaini kwa kile wanachoona kuwa ni “masilahi ya umma.” Mimi najua wajibu wangu ni nini: kutetea ukweli bila woga na kwa ujasiri kadiri ninavyoujua, na katika kufanya hivyo, kutetea misingi ya haki, usawa na demokrasia ambavyo havipaswi kuachwa bila kutetewa, na kulaani kosa lolote ambalo lazima kulaaniwa.
Basi nitaweza kuishi kwa amani, au kufa – kwani kifo kwa njia ya kunyongwa ndicho ambacho hawa “marafiki wasomi” wa upande wa mashtaka na waungaji mkono wao watakuwa wakidai katika Mahakama Kuu dhidi yangu. Lakini, kama Marcus Aurelius, Kaizari wa Kirumi, anavyodaiwa kusema kwa umaarufu:
“Kifo kinatabasamu kwa sisi sote, jambo pekee ambalo mwanadamu anaweza kufanya ni kutabasamu nacho.”
View attachment 3446454
Hata virusi kwenye kompyuta vilijua vimemaliza kompyuta ila mtaani subiri kuona mahakama sasa itaogopa sasa kila mtu anachukua sheria yake na sio hutani na hakuna wa kumpeleka ,mahakamani.
hapana ni kipande hicho tu. Nikipata nitaileta hapa. Ngoja tuulize humuMkuu una softy copy yake yote
Sawa mkuu maana ninazo zile mbili ya Mandela na fidel Castro nikiri tu tuna kizazi cha hovyo sana sasa hivi.hapana ni kipande hicho tu. Nikipata nitaileta hapa. Ngoja tuulize humu
HahahahahahaNo worries, tutampa Mama P2 ….. to phase out kabisa
P2 ikifeli….. tutatumia Feminine Kit to flush kabisa
Afadhali kufa baada ya kuua muhuni mmoja kuliko kufa kitandani kwa malaria😜Kifo kinatabasamu kwa sisi sote, jambo pekee ambalo mwanadamu anaweza kufanya ni kutabasamu nacho.”
Ongea kila kitu lakini mwisho wa siku kitanzi ni LAZIMA!Soma mwenyewe
MUNGU ATAMPIGANIA
================
Mheshimiwa Jaji,
Lazima sasa nihitimishe maelezo yangu. Wewe umefanya kile ambacho sheria imekuamuru kufanya, yaani, kunipeleka kusikilizwa katika Mahakama Kuu. Waendesha mashtaka wa serikali pia wamefanya kile walichoona kuwa ni wajibu wao. Mimi pia nimetumia kile ninachoona kuwa ni haki yangu ya kisheria. Nimesema yote niliyotaka kusema, kwa namna na mtindo niliotaka kuyasema. Nikimnukuu Fidel Castro kwenye “Historia Itaniondolea Hatia”, natumai sitalazimika kujilaumu kwa kuacha kanuni yoyote bila kutetewa, au kwa kuacha ukweli wowote bila kusemwa kwa kuogopa kumkera mtu yeyote, au kwa kosa lolote lisilotajwa.
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma pamoja na maafisa wake wa sheria sasa lazima wafanye kile ambacho sheria inaeleza kuwa ni wajibu wao, yaani, kunishtaki kwa kosa linalodaiwa la uhaini kwa kile wanachoona kuwa ni “masilahi ya umma.” Mimi najua wajibu wangu ni nini: kutetea ukweli bila woga na kwa ujasiri kadiri ninavyoujua, na katika kufanya hivyo, kutetea misingi ya haki, usawa na demokrasia ambavyo havipaswi kuachwa bila kutetewa, na kulaani kosa lolote ambalo lazima kulaaniwa.
Basi nitaweza kuishi kwa amani, au kufa – kwani kifo kwa njia ya kunyongwa ndicho ambacho hawa “marafiki wasomi” wa upande wa mashtaka na waungaji mkono wao watakuwa wakidai katika Mahakama Kuu dhidi yangu. Lakini, kama Marcus Aurelius, Kaizari wa Kirumi, anavyodaiwa kusema kwa umaarufu:
“Kifo kinatabasamu kwa sisi sote, jambo pekee ambalo mwanadamu anaweza kufanya ni kutabasamu nacho.”
View attachment 3446454
Ndio Tunatumia akili, alimuokoa ndio maana hakufa!Alishindwa kumuokoa akapigwa marisasi yaliyompa kilema cha maisha!
Kwa nini hakuzuia asipigwe risasi?
Hivi kweli huwa mnatumia akili kufikiria?
Puppet mama yako boya weacha upotoshaji,