inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

😂 😂 😂 Sipendi anavyotendewa Lisu ila pia nafurahi kuona mlioshangilia kifo cha Magu mkilia na kusaga meno!

Unaonaje mamako huyu mwema anavyoupiga mwingi baada ya dhalimu wako kufariki?
Yaani hakuna kitu tulifurahi kama kifo cha shetani magu. Yaani ni kipi kipya, hata dhalimu magu alifanya haya haya. Yaani kwetu hakuna jipya useme eti tulipaswa kutofurahi kifo cha shetani magu.
 
acha upotoshaji,
Mungu hampiganii mropokaji jeuri na mwenye kiburi, asie tii mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.

na hakuna cha roman empire wala Marcus Aurelius,
criminals especially puppets like you, must be persecuted and jailed in accordance to the law of the land.

lazima ushike adabu na ukome kuropokaropoka hovyohovyo :NoGodNo:
usihukumu ndugu maana nawe utahukumiwa!!
 
Namuona karama katika nchi ya kusadikika akijitetea mbele ya mfalme!!

"Kwa mamlaka,nguvu na uwezo wa Roho mtakatifu nakuomba umuokoe mtumishi wako na kifo hiki,ikibidi usababishe kifo kikuu kwa mtesi mkuu wa mtumishi wako Ili jina lako liinuliwe ipasavyo"

KAZI na utu tunasongambele!
Hii inapaswa kuwa sala ya taifa.
 
Who is this monster NYANI NGABU who is always anti progressive ideas? What has he got against Tundu Lissu? I am curious!!!
If not mistaken, he is a garbage collector in the US
 
acha upotoshaji,
Mungu hampiganii mropokaji jeuri na mwenye kiburi, asie tii mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.

na hakuna cha roman empire wala Marcus Aurelius,
criminals especially puppets like you, must be persecuted and jailed in accordance to the law of the land.

lazima ushike adabu na ukome kuropokaropoka hovyohovyo :NoGodNo:
Kuwa nchi moja na mtu kama huyu ni fedheha
 
Pumbavu zako.
Kipi cha uongo alikisema?
Tume ya uchaguzi imejaa wanaCCM, uteuzi wao ni batili, wasimamizi wa uchaguzi ni wa uongo uongo.
Taifa linapata faida gani kwa kuwa na uchaguzi mbovu?.
Huyu mzalendo anayesema kuwe na tume huru amekosea wapi?.
kumkejeli mungu kuwa awez saidia kwenye madiliko kwa kusema mabadiliko hayawezi kutokana na kumwomba mungu
 
acha upotoshaji,
Mungu hampiganii mropokaji jeuri na mwenye kiburi, asie tii mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.

na hakuna cha roman empire wala Marcus Aurelius,
criminals especially puppets like you, must be persecuted and jailed in accordance to the law of the land.

lazima ushike adabu na ukome kuropokaropoka hovyohovyo :NoGodNo:
Huwa nakushangaa sana na hicho kiburi chako,hivi hujawahi kuugua au kufiwa na mtu wako wa karibu?inawezekana una pesa na kila kitu,je imekupa furaha? Acha roho mbaya,unajua waliofanya mpango Tundu Lissu wako wapi,hata hao wanaotaka anywongwe uhai wao umeshililiwa na Mwenyezi Mungu
 
acha kuweweseka gentleman, wacha mahakama ifanye kazi yake kwa uhuru na haki itendeke. Hofu ya nini?🐒
 
Basi nitaweza kuishi kwa amani, au kufa – kwani kifo kwa njia ya kunyongwa ndicho ambacho hawa “marafiki wasomi” wa upande wa mashtaka na waungaji mkono wao watakuwa wakidai katika Mahakama Kuu dhidi yangu. Lakini, kama Marcus Aurelius, Kaizari wa Kirumi, anavyodaiwa kusema kwa umaarufu:
Duu hii "marafiki wasomi" imeniliza
 
Kusema ukweli si roho mbaya.

Kama kweli mungu yupo na anampigania Lissu, basi huyo mungu ni mzembe sana maana Lissu hastahili kukaa jela hata sekunde moja!

Unless huyo mungu ni Samia Suluhu….
Mbona Yesu alisulibiwa

Mungu anatupa nafasi ya kumkiri
 
Kama wameshindwa kuwanyonga waliopo gerezani ambao tayari hukumu zao zimeshasomwa basi kwa lisu hawatasubutu hata kumuhukumu.

Mda utasema
 
Back
Top Bottom