inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

Hapana msikate tamaa msilie pale uwezo wa mwanadamu unapofikia mwisho mungu mwenyewe anasimama anatenda don't worry watumishi mungu wamefunga wanaliombea hili swala.
 
acha upotoshaji,
Mungu hampiganii mropokaji jeuri na mwenye kiburi, asie tii mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.

na hakuna cha roman empire wala Marcus Aurelius,
criminals especially puppets like you, must be persecuted and jailed in accordance to the law of the land.

lazima ushike adabu na ukome kuropokaropoka hovyohovyo :NoGodNo:
Wewe Hauna akili Hata kidogo kummko
 
Mkuu wakosea sana ukiendelea kuwa na fikra kama hizi.

Funguka mawazo nenda ndani pokea mawazo mbadala na uwe tiyari kusikiliza kauli kali za wapinzani wako. Yale chanya wachukua na yale hasi wapuuzia na maisha yaendelea usiwe mbangibangi.

Mbona watu kama Julius Malema au yule Bolsonaro wapiga kelele wee lakini hawaendi kokote?

Wadhani Julius Malema ataweza kuwa raisi wa Afrika Kusini?

Take it easy man, relax.

This guy has life changing injuries and in need of medical assistance at all times as well as his mental health because he is in staying in very confined space in a cell, just for well articulated and brushed fabricated case against him

So, why don't you be courageous as he is and show decency in your comments?.
zingatia maelezo bila kuweweseka gentleman,

wahalifu ni muhimu wakashikishwa adabu kulingana na mamkosa yao kwa mujibu wa sheria.
hakuna haja ya kubabaika na story na porojo za pata potea :NoGodNo:
 
Rubbish!!
Kwa hiyo wewe hata kiongozi akimfi....mke wako ni POA kwa sababu ni mamlaka imetoka kwa mungu
Hongera sana Bosi,,
hakuna haja ya mihemko na kuporomosha matusi gentleman, changia hoja kwa staha :NoGodNo:
 
Lete neno moja tu aliloropoka. Unalipwa kwa ajili ya kuuwa unajiona ni immortal in the Earth.
acha akili imkae sawa kwanza huyo kibaraka,
aandike mabaruaaa weeeee,
ndipo baadae akili ikimkaa sawa ataelewa jinsi uropokaji ulivyo jambo la hovyo kwenye jamii ya kistaarabu :NoGodNo:
 
zingatia maelezo bila kuweweseka gentleman,

wahalifu ni muhimu wakashikishwa adabu kulingana na mamkosa yao kwa mujibu wa sheria.
hakuna haja ya kubabaika na story na porojo za pata potea :NoGodNo:
Take it easy, life is too short.

You could be crossing the road tomorrow au uko kwenye V8 yako tukufu and mara paa wapaishwa na lori.

Baadae Matanga na mtondogoo maziko.

Relax.
 
Take it easy, life is too short.

You could be crossing the road tomorrow au uko kwenye V8 yako tukufu and mara paa umepaishwa na lori.

Baadae Matanga na mtondogoo maziko.

Relax.
hakuna haja ya ramli gentleman,
zingatia maelezo yangu muhimu ya msingi,
hizo nonsense nyingine ni useless kwangu :NoGodNo:
 
hakuna haja ya ramli gentleman,
zingatia maelezo yangu muhimu ya msingi,
hizo nonsense nyingine ni useless kwangu :NoGodNo:
I insist, relax.

Take a glass of wine and toss chears to Tundu Lissu.

Wajua Morgan Tsvangirai aliamua kujitoa kumvaa Robert Mugabe na kama si dhuluma za utawala wa Zimbabwe Tsvangirai alikuwa awe raisi wa Zimbabwe kimasihara mwaka 2013.
 
Chama cha CCM mtandao ni mafia, wanajua Samia asipokuwa Rais mambo yao mengi yatapata vikwazo. Kwa hiyo CCM mtamdao kwa gharama yoyote ni lazima Lissu ahukumiwe kunywagwa na Samia awe Rais.

Je Watanganyika tunakubali haya mambo yatokee? Ni kweli Lissu ni mhaini? Je kuomba Reforms ni Uhaini? Kuwaambia wananchi wasusie uchaguzi ni Uhaini?
Mbwa kala mbwa
 
Back
Top Bottom