inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

Chama cha CCM mtandao ni mafia, wanajua Samia asipokuwa Rais mambo yao mengi yatapata vikwazo. Kwa hiyo CCM mtamdao kwa gharama yoyote ni lazima Lissu ahukumiwe kunywagwa na Samia awe Rais.

Je Watanganyika tunakubali haya mambo yatokee? Ni kweli Lissu ni mhaini? Je kuomba Reforms ni Uhaini? Kuwaambia wananchi wasusie uchaguzi ni Uhaini?
 
hakuna cha roman empire wala Marcus Aurelius,
criminals especially puppets like you, must be persecuted and jailed in accordance to the law of the land.

lazima ushike adabu na ukome kuropokaropoka hovyohovyo :NoGodNo:
ndgu angu utaua utanyonga na ww utapita tu huishi milele na damu ya watu uliyomwaga bila hatia itakulilia na hautabaki salama
 
Namuona karama katika nchi ya kusadikika akijitetea mbele ya mfalme!!

"Kwa mamlaka,nguvu na uwezo wa Roho mtakatifu nakuomba umuokoe mtumishi wako na kifo hiki,ikibidi usababishe kifo kikuu kwa mtesi mkuu wa mtumishi wako Ili jina lako liinuliwe ipasavyo"

KAZI na utu tunasongambele!
 
acha upotoshaji,
Mungu hampiganii mropokaji jeuri na mwenye kiburi, asie tii mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.

na hakuna cha roman empire wala Marcus Aurelius,
criminals especially puppets like you, must be persecuted and jailed in accordance to the law of the land.

lazima ushike adabu na ukome kuropokaropoka hovyohovyo :NoGodNo:
🌈
 
Chama cha CCM mtandao ni mafia, wanajua Samia asipokuwa Rais mambo yao mengi yatapata vikwazo. Kwa hiyo CCM mtamdao kwa gharama yoyote ni lazima Lissu ahukumiwe kunywagwa na Samia awe Rais.

Je Watanganyika tunakubali haya mambo yatokee? Ni kweli Lissu ni mhaini? Je kuomba Reforms ni Uhaini? Kuwaambia wananchi wasusie uchaguzi ni Uhaini?
Kumnyonga hapana isipokuwa kinoendelea ni kuvuta muda.

Ni wazi hakuna ushahidi dhidi yake hivyo kilobakia ni kupoteza muda.

Wakifanya hivyo unavyosema watakuwa wameiweka nchi katika wakati mgumu mno kwa miaka ijayo.
 
Soma mwenyewe

MUNGU ATAMPIGANIA
================
Mheshimiwa Jaji,


Lazima sasa nihitimishe maelezo yangu. Wewe umefanya kile ambacho sheria imekuamuru kufanya, yaani, kunipeleka kusikilizwa katika Mahakama Kuu. Waendesha mashtaka wa serikali pia wamefanya kile walichoona kuwa ni wajibu wao. Mimi pia nimetumia kile ninachoona kuwa ni haki yangu ya kisheria. Nimesema yote niliyotaka kusema, kwa namna na mtindo niliotaka kuyasema. Nikimnukuu Fidel Castro kwenye “Historia Itaniondolea Hatia”, natumai sitalazimika kujilaumu kwa kuacha kanuni yoyote bila kutetewa, au kwa kuacha ukweli wowote bila kusemwa kwa kuogopa kumkera mtu yeyote, au kwa kosa lolote lisilotajwa.


Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma pamoja na maafisa wake wa sheria sasa lazima wafanye kile ambacho sheria inaeleza kuwa ni wajibu wao, yaani, kunishtaki kwa kosa linalodaiwa la uhaini kwa kile wanachoona kuwa ni “masilahi ya umma.” Mimi najua wajibu wangu ni nini: kutetea ukweli bila woga na kwa ujasiri kadiri ninavyoujua, na katika kufanya hivyo, kutetea misingi ya haki, usawa na demokrasia ambavyo havipaswi kuachwa bila kutetewa, na kulaani kosa lolote ambalo lazima kulaaniwa.


Basi nitaweza kuishi kwa amani, au kufa – kwani kifo kwa njia ya kunyongwa ndicho ambacho hawa “marafiki wasomi” wa upande wa mashtaka na waungaji mkono wao watakuwa wakidai katika Mahakama Kuu dhidi yangu. Lakini, kama Marcus Aurelius, Kaizari wa Kirumi, anavyodaiwa kusema kwa umaarufu:


“Kifo kinatabasamu kwa sisi sote, jambo pekee ambalo mwanadamu anaweza kufanya ni kutabasamu nacho.”


View attachment 3446454
Hakika MUNGU atampigania lakini hawezi kunyongwa
 
Back
Top Bottom