Inasemekana MalkiaKaren ana mimba ya Diamond Platnumz

Karen hajakataa shule amemaliza degree vizuri tu IFM pale...usimfananishe na kina paula...
Amelelewa vizuri na mamake..baada ya kumaliza chuo akaanza kuimba baba akaanza kumtafutia connection na ma star wabongo hapo ndio Mambo yalipoanza kuharibika...
Mtoto Ni baraka wanasema, lakn ingependeza Kama angejipanga..kazi kulea
 
Itoshe sasa Mondi atengeneze familia ya kueleweka. Asiishie kufurahia mafanikio na kula kila anachokutana nacho, ajivunie mafanikio pamoja na familia imara inayoeleweka
 
Raha ya mwanamke uitwe mama...hayo mengine majaliwa.
Zaa Karen
Kikubwa uwe umejiandaa kulea tu, sio unazaa halafu bado unautaka usichana kutwa kwenye clubs na bar. ...mtoto hujui kashindaje au amekula nini.
Ukijua kuzaa ujue kulea pia.
 
Karen hajakataa shule amemaliza degree vizuri tu IFM pale...usimfananishe na kina paula...
Amelelewa vizuri na mamake..baada ya kumaliza chuo akaanza kuimba baba akaanza kumtafutia connection na ma star wabongo hapo ndio Mambo yalipoanza kuharibika...
Baba hana akili badala mtoto afanye kazi yeye kamruhusu afanye mziki..huwezi lima miwa ukavuna mahindi
 
Back
Top Bottom