Inasemekana MalkiaKaren ana mimba ya Diamond Platnumz

Hiki kitoto mbona cha kawaida tu??..Yaani hadi uwe Mondi ndo ule,umekuwa kiumbe dhalili sana kwa comment yako.

And it seems watu wanatapeliwa na filter za IG..ana kwa ana hawa watu ni wakawaida tena wanazidiwa na mademu kibao tu wasio mastaa.
Kuna aliesema ni exceptional? Mbona tunakula vitu vizuri mara tatu ya hiyo. Matamanio sio manake kitu ni exceptional kuna touch nyingi kati ya mtu na mtu na ni lazma uwe kwenye mlengo flan ndo upate mtu wa aina fulani kiulaini. I hope we sio mgeni wa haya mambo
 
Malipo ni hapa hapa...
Capteiiiiiin ULIKO-JOZA sana dada zetu akina JIDE mpaka ukawa unajinasibu kwa Luninga, sasa ni zamu yako Wanao kukojo-zwa Live live bila chenga.

Baharia Kiongozi Majani Pfunk akina Nargris Mohamed enzi hizo uliko-joza kadri ulivyotaka. Leo ngoma imegeuka kwako PAULA anapakuliwa Nje Ndani.
Khaaaa kweli zege halilali
 
mwanamke kukojozwa mbona si jambo la kushangaza, maana ni lazima wakojozwe tu.
 
Baba hana akili badala mtoto afanye kazi yeye kamruhusu afanye mziki..huwezi lima miwa ukavuna mahindi
Alitaka kumfanya nae awe celebrity kama akina Paula, lakini kwa umaarufu wake Gadna angemconnect kwenye makampuni makubwa kuliko huko kwenye usanii ambako mwisho wake ndo kama hivo tena
 
Alitaka kumfanya nae awe celebrity kama akina Paula, lakini kwa umaarufu wake Gadna angemconnect kwenye makampuni makubwa kuliko huko kwenye usanii ambako mwisho wake ndo kama hivo tena
Kabisa jamaa anajina mjini sema ni baba ambae hajielewi yupoyupo tu
 
Diamond kawajulia wadada,na haoi,yeye anajaza dunia tu.
 
Back
Top Bottom