Inasemekana MalkiaKaren ana mimba ya Diamond Platnumz

Hapana mkuu kuna watu its obvious they are ugly and zuchu is one of them. Imagine ukatoe make up za kwenye kuimbia katakuwaje? Mamaake ni mzuri kumshinda hana to shape basi
sasa Mimi leo kesho namtamani Zuchu, kila nikimuona napata uchu kama mbwa anayetengewa msosi tayar kwa kula. Hebu heshimuni watu alaah.
 
Vile vijiuno vya ushubwada ndo vinakuchangamya! Zuchu is so ugly ila kwa wewe wa village sawa!
 
Tatizo unageuka kuwa mtabiri au mzee wa matunguli, mm na wewe tumewahi kukutana wapi katika ulimwengu huu physically mpaka ujue makazi yangu ni urban au rural.? Be smart na nasema hivi tena umakinike haswa Zuchu ni pisi kali kwangu unabisha Kanye kituo cha polisi.
 
Makasiriko ya nini?zuchu umemuona juzi me tangu anazaliwa namuona!
 
Hilo halibadilishi kitu juu ya Mimi kumuona Zuchu alipendezesha macho yangu pindi nilipomtia machoni for the first time, it took me a second to fall in love with her. Hii hoja unayojaribu kuijenga ya kumuona Zuchu angali bado kinda haina mashiko kabisa na sijui unataka kuthibitisha nini juu ya hisia zangu kwa huyu binti. Kwamba uniambie alikuwa akitoka makamasi anajipangusa kwa mikono au alikuwa akitembea peku.? Eti kiongozi?
 
Karen hajakataa shule amemaliza degree vizuri tu IFM pale...usimfananishe na kina paula...
Amelelewa vizuri na mamake..baada ya kumaliza chuo akaanza kuimba baba akaanza kumtafutia connection na ma star wabongo hapo ndio Mambo yalipoanza kuharibika...
Eti baba anamtafutia connection... :eek: Wazazi wengine wajinga sana, yaani ulipe ada umalize halafu uje umtafutie connection kwa Harmo Rapa?
 
Karen hajakataa shule amemaliza degree vizuri tu IFM pale...usimfananishe na kina paula...
Amelelewa vizuri na mamake..baada ya kumaliza chuo akaanza kuimba baba akaanza kumtafutia connection na ma star wabongo hapo ndio Mambo yalipoanza kuharibika...
sasa binti kama huyo kupata ujauzito ndiyo mambo yameharibika? Amemudu majaribu yote huko since primary mpaka kuhitimu degree, kiufupi anajitambua sana tu na hapaswi kuchukuliwa kwa mtazamo huo wa hovyo.
 
Sawa mkuu..japo sikuwa na maana Mbaya....
 
Back
Top Bottom