IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema

IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
Ama kwa hakika dada yetu mpendwa ulipendwa na wengi kama sio wote UPUMZIKE KWA AMANI, Tilikupenda sana japo MUNGU amekupenda zaidi. AMEN


attachment.php


Watu mbali mbali wa rika zote, wanasiasa, wasanii, viongozi wa serikali na wananchi kwa ujumla walifika kwa majonzi makubwa kumuaga dada yetu hizi ni picha nilizofanikiwa kuzipiga katika tukio hili la kusikitisha tangu mwaka huu wa 2012 uanze;


attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php


attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20120117-00490.jpg
    IMG-20120117-00490.jpg
    271.1 KB · Views: 3,740
  • IMG-20120117-00487.jpg
    IMG-20120117-00487.jpg
    252.1 KB · Views: 2,830
  • IMG-20120117-00488.jpg
    IMG-20120117-00488.jpg
    83 KB · Views: 2,654
  • IMG-20120117-00492.jpg
    IMG-20120117-00492.jpg
    374.6 KB · Views: 3,243
  • IMG-20120117-00491.jpg
    IMG-20120117-00491.jpg
    550.3 KB · Views: 3,041
  • IMG-20120117-00489.jpg
    IMG-20120117-00489.jpg
    134.9 KB · Views: 3,147
  • IMG-20120117-00480.jpg
    IMG-20120117-00480.jpg
    130.1 KB · Views: 2,645
  • IMG-20120117-00479.jpg
    IMG-20120117-00479.jpg
    113.3 KB · Views: 2,649
  • IMG-20120117-00477.jpg
    IMG-20120117-00477.jpg
    210.2 KB · Views: 2,796
  • IMG-20120117-00472.jpg
    IMG-20120117-00472.jpg
    92.5 KB · Views: 2,723
  • IMG-20120117-00486.jpg
    IMG-20120117-00486.jpg
    258.2 KB · Views: 2,695
Watu maarufu na vioongozi kama kama kina Mrema, Mnyika, Chenge, Ritha Mlaki, Bob Makani (ambaye aliishiwa nguvu baada ya kuaga), Mengi, Kigoda, Mwenyekiti wa NCCR Mh. Mbatia , Kafulila na wengine wengi walikuwepo kumuaga mpendwa wetu....

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20120117-00483.jpg
    IMG-20120117-00483.jpg
    75.2 KB · Views: 1,892
  • IMG-20120117-00484.jpg
    IMG-20120117-00484.jpg
    61.2 KB · Views: 2,058
  • IMG-20120117-00485.jpg
    IMG-20120117-00485.jpg
    119.7 KB · Views: 1,936
  • IMG-20120117-00481.jpg
    IMG-20120117-00481.jpg
    131.3 KB · Views: 53
  • IMG-20120117-00482.jpg
    IMG-20120117-00482.jpg
    82.7 KB · Views: 1,903
Dunia ni mapito Regia, umepita lakini kwa haraka mno. Daima tutakukumbuka katika kipindi cha uhai wetu kilichobaki.
 
Watu maarufu na vioongozi kama kama kina Mrema, Mnyika, Chenge, Ritha Mlaki, Bob Makani (ambaye aliishiwa nguvu baada ya kuaga), Mengi, Kigoda, Mwenyekiti wa NCCR Mh. Mbatia , Kafulila na wengine wengi walikuwepo kumuaga mpendwa wetu....

attachment.php

namuona chifu ndani ya nyumba, tena kapiga gwanda
 
thanks for update... iwishi na picha ya wana JF mliopo hapo tuione
 
Asante kwa picha mkuu! Lakini Bob Makani hajaacha tu kuchoma Fegi?
 

pollen sana watanzania wenzangu tena sana na sana
 
Picha zaidi kwa ambao hamkuwepo....WANA JF hatukuwa nyuma kumuaga dada yetu inasikitisha sana kwa kweli....

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20120117-00466.jpg
    IMG-20120117-00466.jpg
    124.8 KB · Views: 1,797
  • IMG-20120117-00468.jpg
    IMG-20120117-00468.jpg
    90.3 KB · Views: 1,788
  • IMG-20120117-00470.jpg
    IMG-20120117-00470.jpg
    104.5 KB · Views: 1,741
  • IMG-20120117-00469.jpg
    IMG-20120117-00469.jpg
    290 KB · Views: 1,784
  • IMG-20120117-00471.jpg
    IMG-20120117-00471.jpg
    69 KB · Views: 1,731
mmh jaman, upumzike kwa amani dada yetu mpenzi.
inasikitisha sana .
 
Asante kwa picha El Toro, kweli ni huzuni kubwa - RIP Regia Mtema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom