IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema

iv zimeandikwaje tena sijaona vzr............hongera kwa wazo ilo.
quote_icon.png
By CAMARADERIE
''Tukosoane, Turekebishane,Tuwajibishane ndipo Tusameheane - Regia Mtema JF Member''
 
huyu 'mdau' nami nimependa appearance yake, kweli msiba ni mwisho wa yote! Lakini kwa jinsi anavyoonekana, ni kama kaja tu kutafuta 'huruma' ya waombolezaji!
R.P.I Dada Regia
Watu maarufu na vioongozi kama kama kina Mrema, Mnyika, Chenge, Ritha Mlaki, Bob Makani (ambaye aliishiwa nguvu baada ya kuaga), Mengi, Kigoda, Mwenyekiti wa NCCR Mh. Mbatia , Kafulila na wengine wengi walikuwepo kumuaga mpendwa wetu....
attachment.php
 
daaaahkweli ni huzuni i cant take this anymore members.................................
 
MODs........hizi thread ziko mbili......naomba ziunganishwe....asante sana El Torro kwa picha na kutuwakilisha.....am proud JF imekuwa represented hivyo!!!
 
Ni kweli kabisa mkuu El Toro, hata mimi nilikuwepo hapo, hakika kamanda na mpambanaji wetu mpendwa ameagwa na umati mkubwa sana. Hatuna la kufanya, kilichobaki ni kumuombea Kwa Mungu dada yetu kipenzi Mh. Regia Mtema apumzike kwa amani na mwanga wa milele umwanazie AMIN. Tutakumiss sana hapa JF dada yetu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom