Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
- Thread starter
-
- #121
"He stinks, a deep foul smell of corruption, greed and power mongering. He has proven time and time again that he is not attentive to details, he is not efficient nor wise. His descisions have costed our nation Millions of money through a dirty contruct and a slup in our economy as a result of forcing a bogus contract between Tanesco and Richmond." Rev Kishoka.
Is this the right guy to lead us really in the 21 century?
Mkadara naomba urudie kwa HERUFI KUBWA.Mkuu umeishiwa..
Jasusi,
As I stated, in Edward, I trust. It is a compromise and also sacrifice towards the great good.
Mkuu naona umefikia mahala pa kusema Ukikosa la mama hata la Punda lafaa..na bahati mbaya ni kwamba Ukilelewa na Punda hata mawazo nayo huanza kuwa ya Kipunda punda...Mkandara,
Unadai nimeishiwa, fafanua basi, ni vipi nimeishiwa!
Invisible, lete jina
Nguli, sihitaji abiria kwenye mtumbwi au wapagazi, najiamini....
Next....?
Nyani,
Lowassa ndiye mtu mwenye sifa ambazo Mwanakijiji anasema tunahitaji mtu fyatu.
He never begs for accountability, he demands it. He is not soft on addressing malaise and irresponsibility, he takes action and people are not only fearful of him but the repurcussions of not doing what they are supposed to do.
Look at Kikwete, he begs for people to go to work, he begs for people to be acountable.
Look at Pinda, always whining like a Sissy with no authority behind his oath.
Let Lowassa take over 2010 and you will see safari ya maendeleo. I tell you kwanza Ubangaizaji utakoma, mipango ya maendeleo itafufuka na hakutakuwa na Uongozi ulioko Likizo the way Tanzania imekuwa likizo tangu February 2008!
"My fellow Tanzanians, we should be aware of Lowassa intentions to become our leader.
We should treat him and isolate him like a leper, a man who is infectious and never to be trusted.
As he mounts his political comeback, we shall stand together and mount his political demise! "
Rev Kishoka 22nd June 2008, 10:10 AM
I am not dead or gone, still alive and being realistic.
What I stated before was valid and it will stay.
What I have stated today is valid and will stay!
BETTER LOWASSA THAN THIS MKWARE KWA KWELI !!!!!
Kwa bahati Mbaya Mchungaji is TOTAL WRONG!!Well, If the very reverend's assertions are true then the political paradigm and ideological alignments as well as strategic formations must shift in favor of EL. However, if mchungaji is wrong then it is a noble duty and a sacred calling to oppose EL by any legal means necessary from ever ascending to any other higher office than the one he is holding now. Notwithstandinh, what if the rev. is only half wrong?
Jasusi,
As I stated, in Edward, I trust. It is a compromise and also sacrifice towards the great good.
"He stinks, a deep foul smell of corruption, greed and power mongering. He has proven time and time again that he is not attentive to details, he is not efficient nor wise. His descisions have costed our nation Millions of money through a dirty contruct and a slup in our economy as a result of forcing a bogus contract between Tanesco and Richmond." Rev Kishoka.
Is this the right guy to lead us really in the 21 century?
Ogah,
Mimi hata simwelewi na sintamwelewa hata kidogo....Unaona waumini wa haki wanavyokuja?..Huyu ni mchungaji yaani ni sawa na kumkuta Jamatin akiwacha udi wa moto huku akiomba Hammmmmmm! Hammmmmm!
Rev in his very words proclaimed - In Edward, he TRUST!Nadhani Rev hapa unachokonoa tu usikie watu wanasemaje lakini huna maana hiyo kuwa Lowassa ndiye eti Moses wa Tanzania; are you serious?
............Nahisi naanza kumuelewa Rev Kishoka.......otherwise nilikuwa niko tayari kuuchoma moto waraka wake ambao EL hawezi pita kama vile Ngamia na tundu la sindano...............
Tatizo lake mkuu watafuasi wanakufuata mkuu wangu.. sii swala lako wewe kama kiongozi wa dini fahamu kuna waumini..Mkandara,
Hili si la hmmm hmmm wajinga ndio waliwao... kwi kwi kwi..