In Edward Lowassa, I trust...

In Edward Lowassa, I trust...

'Sitaki Longolongo!'



'Udini Mwiko'



'Najali Muungano'



'Siogopi Kuwajibishwa'



'Navutia wawekezaji'



'Nina ushawishi'



'Naona mbali'



'Nachapa kazi'



'Najali wananchi'



'Nasaidia maskini'



'Sitaki mchezo'



'Nazingatia elimu'



'Nahamasisha maendeleo'



'Natumia mamlaka'



'Ndio nitawaongoza'



'Nitakuwa Rais'



'Sitacheka cheka'



'Nitailinda Katiba'



'Nitaleta mvua'



'Nitaondoa njaa'



'Mgao utaisha'



'Nitapaisha uchumi'



'Nitawasikiliza wananchi'

 
RICHMOND report does not implicate him directly!this is my understanding na kama anahusika why serikali haimfikishi mahakamani?the problem is not him ni weekness ya serikali yenu ya kuungaunga hii

Kama alipora kiwanja cha kanisa Mbezi ,mbona mkapa na sumaye kapora mahekta ya ardhi kibaigwa hamsemi.

Utajiri wake wewe ndo huuelewi na huuelewi kwa kuwa wewe ni masikini so utaendelea kutoelewa kwa kuwa wewe si miongoni mwa matajiri

Suala la jengo la vijana CCM akongelee huko CCM sio hapa ndo maana wenyewe waliona hana kosa na mpaka leo ujenzi unaendelea..na aliyeleta kidomodomo juu ya jengo hilo Nnape kilichompata umekiona.

mengine ni chuki binafsi na umasikini ndo unawasumbua walio wengi...
Maana nyingine ya "Kigogo" ni a body mass lisilo na uwezo mkubwa au haupo kabisa wa kufikiri.
Hujajibu tuhuma zilnazomkabili fisadi wa mafisadi na harakati zake za kujisafisha.
Richmond hapelekwi mtu mahakamani maana mkakati ule unaonekana kuwa ulikuwa katika hatua za awali za utekelezaji.Hebu niambie basi kwa nini EL alijiuzulu?
Ili amfurahishe nani?
au ilikuwa kujifurahisha roho yake?
Ukiwa mtendaji mkuu wa serikali kampuni hewa inashindikana kuiona kama sio mkakati wa makusudi wa kuhujumu Taifa na kujipatia mabilioni?
Mbwana Kigogo-the dead mass-kumbuka mvua ya brief case .Wazo la mvua hii lilikufa na kujiuzulu kwa Lowassa.Unalielezaje hili mkuu.
EL hakuanzia mabomu akiwa Waziri Mkuu, hata Baba wa Taifa alishtukia.
It is on record kuwa kijana mdogo huyu amepata wapi utajiri wa kutisha.
Kumbuka vizuri harakati za EL akiwa Waziri katika Ofisi ya Rais,akishughulikia Maafa na Misaada na ndo utapata kufunguka akili.

Suala la uporaji wa kiwanja cha Mbezi ndo unaniacha hoi.
Unasema kwa vile Mkapa na Sumaye wamepora viwanja basi it is fair game kwa EL.
Very poor thinking indeed.Mtu akibaka basi na wewe waweza vilevile kubaka.
Hii ni Ruksa ya ajabu sana.
EL went further, kapora kiwanja cha Kanisa.Laana anayoipta wewe unaijua, hapo la kusema kwake sina ila kumwaombea.Mtu mwenye uwezo wa kuiba cha Mungu hana moral sense.Kuliibia Kanisa mtu haoni ubaya, kuiibia serikali ndio uchochoro kabisa.
Kuhusu jengo la UVCCM kuwa hili ni la CCM na halikuhusu, nitakuambia kuwa Mwizi ni Mwizi tu aibe cha CCM au aibe cha serikali.
Inasikitisha kuwa pamoja na uwezo wako finyu wa kichambua mambo, unaendeleza ushabiki usio na tija.
Kuhusu suala la umasikini wangu hilo lisikupe shida , tupo masikini wengi tu hapa Tanzania .
Utajiri wetu ni uwezo mzuri wa kufikiri na kuchambua mambo.
Mimi simchukii EL kama mtu, ila utendaji wake unajieleza.Ni kama wale utingo au wapiga debe wanao fanya kazi kubwa sana uingie kwenye basi, lakini basi haliondoki mpaka wapewe chochote!
Kigogo-body mass , kwaheri mkuu.
 
Kiutendaji Lowassa was good. Tatizo lake ni tabia hizi za ufisadi na kupenda fedha hata kama anazo za kutosha!!! Hata kama yeye si fisadi kama ambavyo wengine wangedhania, kutuhumiwa all the time kwa mtu wa madaraka kama yake is purely enough to tarnish him!

Pinda needs to be more proactive. Ni mwamiminifu maana mpaka sasa hajawa scandalized, lakini kasi yake ndogo mno. Karne hii hatuhitaji watu wa maneno tu bila vitendo.

Dear PM, kindly wake up kama unataka kulisaidia taifa hili. Haitoshi tu kutoa maagizo ya mdomo!
 
Kweli tumefika njia panda ya crisis za uongozi na nakubaliana na Albert Eisten kwamba in the middle of crisis, lies the opportunity. Tutapata jawabu la matatizo yetu sio muda mrefu, maana hizi shida zinatufundisha kutumia viuchwa vyetu vizuri
 
Rev,Praise Lord.
Niko pamoja nawe mtumishi wa mungu.Lowassa alizunguka tanzania nzima katika kipindi kifupi na matokeo yalionekana.
 
Where is the proof kuwa Kaiba au Kahujumu?

Daah Baba Mchungaji.......!

Tumeshapata proof ya fisadi mwingine yeyote (kati ya wote wanaotuhumiwa) kuwa kaiba au kahujumu? If not, does that clears them kuwa sio mafisadi?
 
Hivi Rev. siku hizi Edward si ameokoka!!

Hatavuta tena mlungula

Yangu hayo tu
 
Hii kiu ya udikteta hii....karibuni itatumaliza kabisa. Mnadhani kila mu anaweza kuwa Dikteta Bora kama Mwalimu. Mahathir ama Kagame?


Uvivu wa kujenga tamaduni na miundo mbinu ya demokrasia ya kweli unatufanya tuwe tayari kujaribu visivyojaribika...

Tuthubutu kuamini katika demokrasia....italipa

omarilyas
 
Richman of Monduli
sindio atatuibia mpaka wake zetu huyu
 
nakumbuka ya mkurugenzi mmoja hivi ambaye alikaa na mahindi godauni harafu wananchi wanakufa na njaa..........pata picha alivyo mchakalikaji
 
Pole kwa kumsafisha Lowasa....Kumbuka ya Mfalme Daudi: alimbariki Suleiman, lakini si wana wa wake zake wakubwa. Baraka ya Baba ina maana sana., hivyo usipokuwa nayo juhudi zako ni bure. Lowasa hakuaminika hata na baba yake mwenyewe, wala majirani zake hawamwamini. Na Nyere alimnyooshea kidole. Bahati mbaya kwa miaka miwili tu aliyoaminiwa na JK alishindwa kuzuia hulka zake...akafanya yale tuliyokusudia kuyaona kwake...madudu ya Richmond!
 
Watanzania tumelogwa, aliyetuloga alishakufa na kwa hiyo hakuna dawa....Katika kipindi hiki cha machungu ya mgao wa umeme kwa zaidi ya masaa 12 kwa siku halafu mtu anaibuka na kampeni ya Lowassa? Yaani nimeangalia hii topiki imeanzishwa lini nikaona ni jana nikashangaa sana!

Ama kweli JF kumejaa watu walio nje ya Tanzania. Hawajui adha tunayopata sisi tuishio Bongo! Ndio maana mnaitwa wabeba maboksi😕!
 
Haya ni maneno ya Rev.Kishoka bout a year ago.I loved the LAST paragraph!

"....A task at hand is to neutralize his supportes by unseating them from our Parliament and even within CCM ranks. We should expose all his backers and supportes and treat them as traitors to our country and our constitution.
My fellow Tanzanians, we should be aware of Lowassa intentions to become our leader.
We should treat him and isolate him like a leper, a man who is infectious and never to be trusted."

Sasa nini kimetokea Rev.Kishoka, hii U turn imetoka wapi? Au njaa Mzee...sema tukuchangie maana inaelekea jamaa kakulambisha kitu kidogo na sasa unameza matapishi yako mwenyewe! Kweli mtu mwenye msimamo mnyime chakula, utamwona akilamba miguu yako tu . pole Rev.
 
Sema ili uendelee wewe na siyo ili tuendelee.....! Alikuwepo madarakani lakini niliona manyaunyau tu....

Umenena mkuu. Wengi wanaomfagilia ni wale walionufaika nae kibinafsi, na anao wengi kweli. Kwa hiyo tusishangae ni ubinafsi tu.
 
Back
Top Bottom