In Edward Lowassa, I trust...

In Edward Lowassa, I trust...

Namkubali sana aliyoyafanya wakati akiwa waziri mkuu,hii ya kuzichakaza shule za kata nadhani ni janja ya dhaifu kumuumiza EL kisiasa hili Joka la mdimu amtengenezee njia vizuri,kitendo cha kuwafukuza watendaji wa h/shauri ilikuwa safi sana!

shule za Kata ilkuwa ni ilani ya CCM.
 
Kweli mamvi anamaamuzi magumu hasa alivotuingiza mkenge inshu ya richmonduli alifanya uamuzi mgumu sana.
 
Poleni jamani. Huyo Lowassa na viongozi wengine wa ccm ndio waliolifikisha taifa letu hapa. Wao ndio mainjinia wa mikataba mibovu, siasa za majitaka, watu wenye kupenda majungu na kutumia madaraka vibaya. Leo hii wamebaki kulipa waandishi na vijana ili wawapigie debe kubaki/kurudi madarakani wakati tunawajua ndio tatizo halisi la nchi hii. Hao wameishiwa mbinu wamebaki kutegemea dola na uwezo wao wa kujenga hoja ni mdogo. Na kama ameshalitumikia taifa sasa ni wakati wake kukaa pembeni ili watanzania wengine waonyeshe uwezo wao na yeye apate kujifunza yapi yalikuwa ni mazuri yake na yapi yalikuwa madhaifu yake. Hebu tuambie kama yeye ni kiongozi bora ni mchago gani ameutoa kwenye katiba pendekezwa, zaidi ya kuwa ni mmoja wa wajumbe waliolazimisha maadili ya uongozi yaondolewe?

Kwa hiyo ndugu naomba nichukue nafasi hii kukuomba kama anakulipa hela uumpigie debe acha kumtia hasara hizo hela zake akazitumie kwenye uzee wake. Kumbuka huyo Lowassa amechafuka na mkataba unaotugharimu watz mpaka sasa ni huo wa umeme. Nadhani wewe ni shahidi wa gharama za umeme tunazolipa zilivyo juu. Na kwabahati mbaya hajawahi kusema ukweli kuhusu mkataba huo. Leo hii mtu ambaye uadilifu wake ni wakutiliwa shaka na watz wengi mnatuletea sifa za kijinga na historia zisizo na maana katika maisha yetu. Kumbukeni watz tunavidonda vya ugumu wa maisha vilivyosababishwa na hao akina Lowassa. Huu si wakati wa kuwapa nchi watu ambao uwajibikaji na uaminifu wao ni wa kutiliwa mashaka na hasa ukizingatia wamepitisha katiba pendekezwa ambayo itaendelea kuwafanya wafanye watakalo katika nchi hii kama viongozi.
 
EL Team 2015 inabidi mje na positive message kwa mgombea wenu kuliko kila mara kulalama kwamba kuna rafu zinachewa. Siasa ni mchezo mchafu. Ule msemo wa "if you can't stand the heat get out of the kitchen" muuzingatie. Urais sio kazi ya kutafuta DJ. Hatupo kwenye mchakato wa Harusi tunamtafuta MKuu wa nchi.
 
hivi ni maamuzi gani magumu ambayo Lowassa alishafanya?
Mie nayakumbuka maamuzi magumu ya kuzalisha umeme wa dharura ili atengeneze ulaji wa Richmond. Huyu Lowasa ndiye alikuja na mvua ya kutengeneza ili nako apige mpunga wa maana
 
Kubwa ya maamuzi magumu aliyofanya ni kukubali shinikizo la akina Mwakyembe baada ya kumkuta na kashfa za Richmond ambako alikwiba fedha nyingi mno
 
Kubwa ya maamuzi magumu aliyofanya ni kukubali shinikizo la akina Mwakyembe baada ya kumkuta na kashfa za Richmond ambako alikwiba fedha nyingi mno

Team Membe umeanza kuota ndoto za mchana.. Pesa za Gadafi zinafanya kazi
 
Mie nayakumbuka maamuzi magumu ya kuzalisha umeme wa dharura ili atengeneze ulaji wa Richmond. Huyu Lowasa ndiye alikuja na mvua ya kutengeneza ili nako apige mpunga wa maana

Membe alishawahi kufanya maamuzi gani magumu?
 
Kweli ana maamuzi magumu hasa ya kuleta mvua ya kubumba kutoka Thailand. Akiwa rais mvua mpaka kanda ya kati itanyesha kama kinda ya ziwa/ya kaskzn
 
Kweli ana maamuzi magumu hasa ya kuleta mvua ya kubumba kutoka Thailand. Akiwa rais mvua mpaka kanda ya kati itanyesha kama kinda ya ziwa/ya kaskzn

Hiyo mviua aliletea shangazi yako we zuzu?
 
Tunataka Raids anayechukia Rushwa na hata ukimtazama usoni unamwamini(j.k.Nyerere)
Lowasa so mtu wa namna hiyo!

"Haitoshi kwa Rais Kuchukia rushwa lakini Bali awe na uwezo wa kuwambia rafiki zake na ndugu zake kwamba ikulu no mahali patakatifu Sikuchaguliwa na watanzani kuigeuza ikulu kuwa pango la walanguzi" J.K.Nyerere

Lowasa hatawaza hili ,yaani atawazuije hawa maelfu wa mtandao wake kupiga mabao ilihali kelele zao nyingi no kwa ajili ya matumbo yao?
Atazuije familia take isifanye Kama Ridhiwani Kikwete

Narudia ten Lowas a hafai tutafute Mwingine tuwamwage yeye na wachumia matumbo wenzie
 
Kweli ana maamuzi magumu hasa ya kuleta mvua ya kubumba kutoka Thailand. Akiwa rais mvua mpaka kanda ya kati itanyesha kama kinda ya ziwa/ya kaskzn
Hahahahahahahaaaaaaaa! Katika hiyo mvua ya Thailand, yeye alitakiwa kupata asilimia ngapi?
 
Back
Top Bottom