In Edward Lowassa, I trust...

In Edward Lowassa, I trust...

NADHANI WENYE IMANI NA UYO FISADI PIA MWIZI NI WEWE ZAIDI NA UKOO WA MZAZI WAKO WA KIKE WALOOZOEA KUISHI KWA MSAADA WA PESA ALIZOWAIBIA WATANZANIA AKIWA MADARAKANI. NA YEYOTE ANAYEMSHABIKIA FISADI UYU AMELAANIWA YEYE NA UKOO WAKE WOTE. Alamsiki na nina signoff

matusi yako hayatobadili chochote
 
Ukweli nina imani sana na Edward Lowassa, Mwenyezi Mungu akitujalia Lowassa ataifikisha nchi yetu mahala ambapo tunafikiri ni ndoto kufika japokuwa kila mmoja wetu anatamani sana tufike. Mwenyezi Mungu akulinde na uwe na maisha marefu, tuibadili ndoto kuwa kwetu, naipenda nchi yangi.

Nina imani na Pinda Mungu ampe nguvu na amlinde
 
Ukweli nina imani sana na Edward Lowassa, Mwenyezi Mungu akitujalia Lowassa ataifikisha nchi yetu mahala ambapo tunafikiri ni ndoto kufika japokuwa kila mmoja wetu anatamani sana tufike. Mwenyezi Mungu akulinde na uwe na maisha marefu, tuibadili ndoto kuwa kwetu, naipenda nchi yangi.
Acha ndoto za alinacha. Unampendaa ww lakini watanzania wanamtaka mtu msafi na msomi km prof. Anna tibaijuka
 
Wakuu,
Hivi Rev Kishoka yuko wap nowdays
 
Hata kama Lowasa atachafuliwa..... Bado ukweli utabaki pale pale kuwa ni mchapa kazi na pia hutenda anacho kisema na Cheney manufaa kwa wazawa,.
 
Yeyote anayeijua tz ye2 yaleo anamkubali EL ndiye anayefaa kupokea kijiti kwa JK. Watu mmekuwa blinded na lile zengwe la richmond ambalo msingi wake ni bifu la watu binafsi kwa maslah binafsi, Think big mazee hakuna asiyeiba kuanzia rais hadi m/kiti wa mtaa cha msingi mtu awe mchapakazi na aweze kuwadhibiti wezi wengne ili kutupunguzia mzigo. Lowasa anaweza hilo na alishadhihirisha kwa vitendo.
 
Yupo Mkuu Bramo ila participation yake hapa imepungua sana. Hapa Rev. alipotoka, huyu fisadi aliyetayarisha mabilioni kununua "ULAIS" hana sifa yoyote ya uongozi pamoja na kuwemo Serikalini zaidi ya miaka 30 (tangu awamu ya kwanza hadi ya nne) hafai kabisa kupewa nafasi ya kuiongoza nchi.

Wakuu,
Hivi Rev Kishoka yuko wap nowdays
 
Last edited by a moderator:
Acha ndoto za alinacha. Unampendaa ww lakini watanzania wanamtaka mtu msafi na msomi km prof. Anna tibaijuka
wewe na tiba wako, tunahitaji kiongozi usije na karata ya viti maalum. tumewaona kina sophia simba hawana lolote kazi kutetea ufisadi. tumeona mtu makini akibwagwa uspika kwa karata ya viti maalum. umma uko makini.
 
Waziri Mkuu Aliyejiuzulu, Bw. Edward Lowasa (pichani), ndiye kiongozi anatajwa na idadi kubwa ya Watanzania kuwa kiongozi makini wenye kipaji cha uongozi na sifa zinazofaa kurithi mikoba ya Rais Jakaya Kikwete, anayemaliza muda wake wa uongozi mwaka 2015, lakini Lowasa akikabiliwa na changamoto nyingi kutoka kwa mahasimu wake kisiasa.

Wakati huu ambapo Watanzania wanasubiri Bunge la Katiba lipitie Rasmu ya Katiba Mpya, baadhi ya wanasiasa wameanza kuunda makundi kwa ajili ya kuwachafua viongozi wenzao hususan wanaowaona kuwa ni tishio kwao, jambo ambalo likiachwa liendelee linaweza kusababisha mgawanyiko mkubwa kwa jamii.

Edward Lowasa anatajwa kuvaa viatu vya Mtangulizi wake, Hayati Edward Moringe Sokoine kutokana na msimamo tunayemkumbuka kila Aprili 12. Kitendo cha kuwatetea vijana husasan aliowawezesha kusoma katika shule za Kata alizoziasisi yeye alipokuwa Waziri Mkuu, zimesababisha vijana wengi wa vijijini kupata elimu ya Sekondari. Huku wakisema kama Lowasa angeendelea kuwa Waziri Mkuu shule hizo zingekuwa na kiwango bora zaidi cha elimu.

Utendaji kazi wa Lowasa wakati akiwa Waziri Mkuu ulivuta hisia za wengi, baada ya kuwawajibisha baadhi ya watendaji walioshindwa kusimamia majukumu yao ipasavyo, jambo ambalo baadhi ya viongozi wa ngazi za juu walishindwa kuchukua maamuzi kama hayo wakihofia nyadhifa zao. Lowasa alithubutu akaweza

Wakati huo katika kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2015, yameibuka makundi ndani na nje ya vyama vya siasa kwa ajili ya kupakana matope, jambo ambalo kwa kiasi fulani halifai kuwepo katika siasa za Tanzania, taifa lenye sifa ya amani na utulivu. Kutokana na sifa hizo Watanzania wanahitaji kiongozi wa mfano na msimamo usioyumbishwa kama Lowasa.

Akiwa katika wadhifa wa Waziri Mkuu, Lowasa alifanya kazi kubwa ya kupita kwenye Halmashauri zote nchini kuangalia utendaji kazi wa Halmashauri hizo, huku akichukua maamuzi magumu ya kuwatimua kazi watendaji walioshindwa kutumiza majuku yao na kusababisha wananchi kupata usumbufu.
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowasa akizungumza na waandishi wa habari katika moja ya mikutano yake ya kisiasa. WATANZANIA WANAHITAJI RAIS MWENYE SIFA ZA LOWASA ILI TAIFA LIWEZE KUSONGA MBELE, KUTOKA HAPA TULIPO.
 
tafadhali tupe data za utafiti wako
 
Kama Edward Lowasa akipitishwa kuwania Urais kura yangu amepata!
 
Attachments

  • 1413275621470.jpg
    1413275621470.jpg
    11.7 KB · Views: 113
Namkubali sana aliyoyafanya wakati akiwa waziri mkuu,hii ya kuzichakaza shule za kata nadhani ni janja ya dhaifu kumuumiza EL kisiasa hili Joka la mdimu amtengenezee njia vizuri,kitendo cha kuwafukuza watendaji wa h/shauri ilikuwa safi sana!
 
Hapa nakukubali team El huyu Kiongozi hayumbi angekua anayumba ile kashifa ya kumchafua pamoja na maamuzi yake magumu ya kukiokoa chama ingekua imemuondoa kwenye kutaka kuitumikia Nchi yetu hii siku nyingi.
Pia kwa hisia hapa kuna viongozi wana hisia kali sana wakati mwingine hata kauli zao zinaleta shida kwa jamii kwa mfano ile hisia ya kulia Bungeni kwa ajili ya tatizo la kuuwawa kwa albino au kauli kama wapigwe tu kwa kiongozi mkubwa ni hatari maana inakua kama amri.
 
Back
Top Bottom