Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,402
- 320
sina hakika kama ni watanzania ninyi, maana mnaonesha watu wenye matatizo ya kusoma alama za nyakati, haiwezekani nchi yenye idadi zaidi ya watu 37 milion, jumlisha na wasiyojitambua imtegemee mtu mmoja tena mwenye tabia za unyonyaji? mna lenu kama mmetumwa, hamjatukuta, au mmepandwa na pepo????naungana na wewe wakikusulubu wewe na mimi wanisulubu..EL ni kiongozi shupavu sana...ni shupavu .yes i said it
Good ideasKutokana na malalamiko kuwa nchi hii haiendi, tunahitaji kiongozi mwajibikaji, decision taker and hardworking. Na jibu letu ni Eddy Lowassa in 2015!.
Kwanini anafaa:
1. ni mchapa kazi. yeye ndo amesimamia mpango wa ujenzi wa madarasa na shughli nyingi za maendeleo wakati JK akipasua anga.
2. Ni mtu ambaye anayesimamia kazi kwa karibu na ambaye hachelei kuchukua maamuzi iwapo anaoa watu wanaboronga.
3. Amesoma vizuri and he is still energetic.
Sasa watu watasema eti ni fisadi, amejilimbikizia mali, etc. Lakini kiongozi gani ambaye ni 100% perfect? Tuchukue mfano wa Ge. Paul Kagame ambaye wengi wanamsifia kwenye JF. Huyu raisi anapenda vita na amesababisha maafa Congo, etc. Lakini licha ya upungufu wake wa Human Rights na kupigana vita, anaendesha nchi vizuri na nchi inapiga hatua.
Kwahiyo tumchukulie Lowassa kama Kagame, wote ni watu wanaochapa kazi licha ya kwamba wana mapungufu. Na tukitaka kiongozi wa kutupa new push, we have to look beyond personal weaknesses.
Good ideas
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na mpenda nchi yake na pia mwenye kuona mbali , suala la kumhitaji Lowasa halipingiki kabisa.Angalia kazi aliyoifanya kipindi cha JK, nadhani hahitaji kupiga kelele ifano ipo hai na inajieleza kabisa.Worse enough kipindi huyo mkuu ameachia ngazi, kuna baadhi ya viongozi walifanya sherehe, je huoni kuwa kipindi chake walikalia kuti kavu, ilikuwa ni maendeleo kwa mbele. leo hii utasikia mara kijiji kimekataa kuchangia maendeleo, maana hivi.
Kwa nchi yetu bado Lowasa anahitajika sana zaidi ya unavyoweza kufikiria.
Kutokana na malalamiko kuwa nchi hii haiendi, tunahitaji kiongozi mwajibikaji, decision taker and hardworking. Na jibu letu ni Eddy Lowassa in 2015!.
Kwanini anafaa:
1. ni mchapa kazi. yeye ndo amesimamia mpango wa ujenzi wa madarasa na shughli nyingi za maendeleo wakati JK akipasua anga.
2. Ni mtu ambaye anayesimamia kazi kwa karibu na ambaye hachelei kuchukua maamuzi iwapo anaoa watu wanaboronga.
3. Amesoma vizuri and he is still energetic.
Sasa watu watasema eti ni fisadi, amejilimbikizia mali, etc. Lakini kiongozi gani ambaye ni 100% perfect? Tuchukue mfano wa Ge. Paul Kagame ambaye wengi wanamsifia kwenye JF. Huyu raisi anapenda vita na amesababisha maafa Congo, etc. Lakini licha ya upungufu wake wa Human Rights na kupigana vita, anaendesha nchi vizuri na nchi inapiga hatua.
Kwahiyo tumchukulie Lowassa kama Kagame, wote ni watu wanaochapa kazi licha ya kwamba wana mapungufu. Na tukitaka kiongozi wa kutupa new push, we have to look beyond personal weaknesses.
Tunahitaji maamuzi yanayozingatia vipaumbele sahihi vya kuwaondolea watanzania umaskini. Hivyo, kilimo kwanza ni mojawapo wa maamuzi sahihi kama utasimamiwa vizuri. Angekuwa LE maamuzi yake yangesukumwa kwanza na nini nitakipata mimi binafsi kwa kutekeleza hilo? Sasa huyu utamuongelea tena kuwaongoza watu kuwatoa kwenye umasikini? Aibu sisi kama tunashindwa hata kung'amua nani anatufaa kututoa hapa shimoni.Lowasa kajenga shule za kata sawa. Pinda naye anasimamia Kilimo Kwanza. Hatuli madarasa. Lakini kilimo kwanza tutapata msosi halafu nyingine tunauza ili tuwanunulie watoto wetu uniforms za shule ambazo wataenda kusoma huko kwenye kata ambazo zilijengwa na Lowasa. SO?
Tunahitaji maamuzi yanayozingatia vipaumbele sahihi vya kuwaondolea watanzania umaskini. Hivyo, kilimo kwanza ni mojawapo wa maamuzi sahihi kama utasimamiwa vizuri. Angekuwa LE maamuzi yake yangesukumwa kwanza na nini nitakipata mimi binafsi kwa kutekeleza hilo? Sasa huyu utamuongelea tena kuwaongoza watu kuwatoa kwenye umasikini? Aibu sisi kama tunashindwa hata kung'amua nani anatufaa kututoa hapa shimoni.
Bidii za EL ni penye masilahi binafsi, kujitangaza kwa umma kwa kutaka kujionyesha kinafiki ndiyo maana maamuzi yake yote aliyowahi kuyafanya makubwa yalikuwa ya kukurupuka kabisa ili umma umuone anavyochapa kazi. Je, unachapa kazi hiyo kwa ajili ya nani? Je, ni wakati mwafaka kuchapa kati kwa kusimamia hilo liunalolipigania ama kuna mengine umeyaacha nyumba ambayo yalitakiwa yatangulie kwanza kabla ya hilo unalolitekeleza leo? Lowassa jamani hafai!!
Unanikumbusha Sophia Simba (aka Nasma Hamis) alivyosema "Hakuna mwanaume kama Lowasa" hahahhhaaanaungana na wewe wakikusulubu wewe na mimi wanisulubu..EL ni kiongozi shupavu sana...ni shupavu .yes i said it
Uadilifu unaanzia ndani na nakuambia hata Marehemu Nyerere hakuwa muadilifu 100% kwa sababu hakuheshimu haki za binadamu, watu wengi walikuwa kwenye vifungo vya ndani, wengine walipotea tu na wengine pia walilimbikizia mali, watu wengi walikufa wakati wa kuanzisha vijiji, kesi nyingi kama sio zote za ardhi imetokana na sera ya vijiji, n.k. kuna vitu vingi lukuki. Lakini ukimwangalia yeye na wengine waliofuata alikuwa better off. Kwa EL, it is the same, he can perform, he can decide, he can make difficult decision, he can follow through, he can execute!! We need a leader who can do all this, who can dare to say even if he becomes indifferent with other leaders!! Surely we need someone like EL or we need him.mkuu uwe unafikiria kabla ya kutoa mada kama hii, hii nchi licha ya kuhitaji mtu mchapakazi lakini kikubwa katika uongozi ni uadilifu, na huwezi kuwa mtendaji mzuri bila kuwa muadilifu na katika hilo EL hatufai watanzania
TK,
Kigongo chao ni maadili-Richmond,PTL,KIWIRA,EPA,TANGOLD,DEEPGREEN.THAI RAINS, ULAGHAI,BUZWAGI,MINING CONTRACTS---,Sasa wapimeni,oh bado-kuuza silaha DRC,Pembe za ndovu Vietnam,on and on.Sema tukusikie!!!!
Kwa nini tusiseme tu kuwa hiyo serikali ya JK haifai kuliko kuikubali endapo tu itakuwa na mla rushwa In Chief? Tamaa yetu ya maendeleo isitufanye tukawakubali wala rushwa kwa vile tu wana baadhi ya sifa zilizo bora kuliko waliopo. Tukifanya hivyo, hiyo tabia itatuzoea. Ndani ya CCM kuna wazuri na bora wengi, wapewe nafasi badala ya JK, EL n.k.Ndani ya serikali yao kuwa naye yeye (EL) ni bora zaidii kulikoo waliokaliaa nafasii hizoo kwa sasa. Pamoja na mapungufu yake bado ni kiongozi imara na mtendajii..