In Edward Lowassa, I trust...

In Edward Lowassa, I trust...

TK,

Kwa nini Lowassa asubiri mpaka 2015? kwa minajili gani? yani asubiri tuendelee kudorora kwa miaka mingine mitano? Iwe Lowassa, Mwandosya au Shibuda, kwa nini waendelee kusema tumpe Kikwete Mji upya?

Mkuu Rev Kishoka , wewe ni mtu wa dini au mtu wa dili?
Umefungiwa kizito kipi kupigia chepeo huyu jamaa ambaye hata Kambarage alimstukia?
 
Sitaki kufikiria kwamba kuna watu kazi yao ni kuwachanganya watanzania BAADA YA KUHAKIKISHA WAMEJENGA IMANI NA WAO!............

Sitaki kufikiria kwamba ninahitaji kujua hasa hasa rev.kishoka ni nani!

Na kama ni mzalendo na anaguswa na ubadhilifu wa pesa unaoendelea,SITAKI KUFIKIRIA KWAMBA EDO AMESHAMNUNUA!kwamba sitaki kuamini kwamba mwandishi wa thread ya TUMEUZA UHURU WETU,NA MALI YETU TUMEIFUJA...........!nae kesha sahau na AMEUZA UHURU WAKE KWA EDDO!

sitaki kufikiria vitu vingi ambavyo sitaki hata kufikiri kuviandika hapa juu ya ninyi ''wanaharakati''(mnajiita wapiganaji wakati mwingine)...............

mungu awasamehe!najua mpo kazini
 
Hvi, mnaonituhumu kuwa nimemegewa au ni msaliti, je mmesona na kuelewa ni sifa zipi nilizompa Lowassa mpaka nikasema anafaa kutuongoza?

Je hamjaona niliposema kuwa nilichosema kwenye Deconstructing Lowassa kinabakia?

Hapa nimemzungumzia Lowassa mchapa kazi na mfuatiliaji ambazo ni baadhi ya wasifu chanya kuhusu yeye.

Kama ningetaka kuongelea sifa hasi, ningefanya hivyo lakini nimelenga kwenye sifa chanya.

Lakini upofu wetu hauoni mbali wala kufikiri, tunaishia kuwa na mihasira mingi tuu na kudai hatufai. Je hafai kama mchapa kazi na mfuatiliaji?
 
to hell brother!
i will never support these rubbish.let's be realistic jamani.Na itafaa kama utakuwa na chembe ndogo tu ya uzawa,uzalendo ili uguswe na hali halisi ya kinachojiri huku.

achana na siasa za ajabu ajabu,UNATUCHANGAYA
 
TK,

Tuondoe mazoea na mizenge iliyomo CC na NEC, je majina haya manne yakifikishwa kwenye mkutanoo mkuu wa CCM kumteua/kumchagua mgombea wa CCM ni nani atashinda?

Majina haya ni Kikwete, Lowassa, Mwakyembe na Dr. Bilali!

Hapo jina moja ndio litapita nalo ni no 1. KIKWETE. Wengine kwa umuhimu (ranking): Dr. Bilal, Lowassa, Mwakyembe.
 
to hell brother!
i will never support these rubbish.let's be realistic jamani.Na itafaa kama utakuwa na chembe ndogo tu ya uzawa,uzalendo ili uguswe na hali halisi ya kinachojiri huku.

achana na siasa za ajabu ajabu,UNATUCHANGAYA

Geoff,

Wewe mtu mzima, inkuwaje tena ninakuchanganya? Je kwenye kisanduku ha kuchagua Kuku na Yai huwa unachanganyikiwa ili kujua kilianza kipi?

Nimewapeni challenge, mwenye mgombea naye amnadi, kila mtu kimya.

Kwa taarifa yenu, Lowassa ni wa pili ninamnadi. Nilianza na Mrema, mkadai ni mjinga moto kifuu, sasa huyu naye mnadai mwizi.

Je mgombea wa kwenu 2010 ni nani? ni Kikwete?

Nikupe taarifa mapema kabisa wangu wa 2020 si Mnyika au Makamba kama nilivyotamka miaka mitatu iliyopita, bali ni Shukuru Kawambwa kama atanisikiliza!
 
Hapo jina moja ndio litapita nalo ni no 1. KIKWETE. Wengine kwa umuhimu (ranking): Dr. Bilal, Lowassa, Mwakyembe.

Kwa nini jina la Kikwete litapita? nipe sababu 6 tuu!
 
Geoff,

Wewe mtu mzima, inkuwaje tena ninakuchanganya? Je kwenye kisanduku ha kuchagua Kuku na Yai huwa unachanganyikiwa ili kujua kilianza kipi?

Nimewapeni challenge, mwenye mgombea naye amnadi, kila mtu kimya.

Kwa taarifa yenu, Lowassa ni wa pili ninamnadi. Nilianza na Mrema, mkadai ni mjinga moto kifuu, sasa huyu naye mnadai mwizi.

Je mgombea wa kwenu 2010 ni nani? ni Kikwete?

Nikupe taarifa mapema kabisa wangu wa 2020 si Mnyika au Makamba kama nilivyotamka miaka mitatu iliyopita, bali ni Shukuru Kawambwa kama atanisikiliza!

kabla sijaendelea mbele zaidi,
WEWE MGOMBEA WAKO NI EDDO?
 
Hvi, mnaonituhumu kuwa nimemegewa au ni msaliti, je mmesona na kuelewa ni sifa zipi nilizompa Lowassa mpaka nikasema anafaa kutuongoza?

Je hamjaona niliposema kuwa nilichosema kwenye Deconstructing Lowassa kinabakia?

Hapa nimemzungumzia Lowassa mchapa kazi na mfuatiliaji ambazo ni baadhi ya wasifu chanya kuhusu yeye.

Kama ningetaka kuongelea sifa hasi, ningefanya hivyo lakini nimelenga kwenye sifa chanya.

Lakini upofu wetu hauoni mbali wala kufikiri, tunaishia kuwa na mihasira mingi tuu na kudai hatufai. Je hafai kama mchapa kazi na mfuatiliaji?
Mkuu kama uko karibu na Lowassa mtafadhalishe aendelee na biashara zake kama anavyofanya Mengi hadi kuwaalika Mabalozi Ofisini kwake!
Lakini kuendesha biashara na kuingia siasa tena ile ya kugombea Ikulu is an explosive combination.
You should know better and better still mpe ushauri nasaha.
 
Nnao wengi na ninawanadi mmoja mmoja, Nilianza na Mrema, sasa ni Eddo , kesho inaweza kuwa wewe!

hapo ndio unapojichanganya mh mchungaji!ikiwa tumebakiwa na takribani mwaka mmoja wewe(BEING ONE OF THE CRUCIAL FIGURES IN THE FORUM) unaendelea kuwanadi wagombea wengi ulio nao.

NIMEKUELEWA:kazi yako kubwa ni kuwagawa watu,ili sisiemu iendelee kushinda.kinachokupa ujasiri ni kwamba umejenga imani kwa watanzania,na kwa uwezo wako wa kujenga na kubomoa hooja WATAKUSIKILIZA TU,au sio mpiganaji?
 
Kwa nini jina la Kikwete litapita? nipe sababu 6 tuu!

1. He is the sitting President kwa hiyo atatumia uwezo wa dola wa hali na mali alionao kuhakikisha jina lake linapita.

2. Ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa CC, NEC na Mkutano Mkuu. Kwa powers alizonazo kama Mwenyekiti ata bull doze kuhakikisha kwamba anapita na yeyote atayejitokeza atapigwa nyundo.

3. Tradition ya CCM ni kuwa Rais lazima amalize vipindi viwili vya miaka mitano mitano na apitishwe kipindi cha kwanza bila upinzani.

4. Kuna mambo mengi ya kimaendeleo ambayo ameyafanya katika kipindi chake cha kwanza na ambayo atayatumia kujifanyia campaign, kama kuendeleza elimu, kujenga barabara, kushughulikia mafisadi n.k. kwa hiyo atahitaji kupewa muda zaidi kukamilisha kazi hizo.

5. Mgombea wa CCM, kwa kawaida lazima atokane na CC au ikishindikana kabisa NEC, lakini aula ni CC. Sasa ukiangalia wajumbe wa CC wa sasa hakuna mwenye ubavu wa kumtunishia msuli JK.

6. Kutokana na uhusiano mwema alioujenga kati yake na nchi kubwa za nje duniani kama vile USA, UK, Germany etc na mashirika ya fedha kama IMF, WB etc. hakuna pressure toka huko kwa JK kung'atuka. Wote wanamsifu kuwa ni kiongozi bora mwenye maadili mazuri na moyo wa kuiendeleza nchi yake. Kwa hali hiyo Tanzania inapokea misaada mingi kutokana na jitihada zake binafsi za kuzitembelea nchi hizo kwa madhumuni ya kujenga mahusiano mema.

Ulitaka sita tuu. Kwa hiyo naona niishie hapo..
 
Nnao wengi na ninawanadi mmoja mmoja, Nilianza na Mrema, sasa ni Eddo , kesho inaweza kuwa wewe!

Rev

Nilidhani hii ni srious discussion kumbe ni mzaha tu. Kama ni hivyo mimi nakomea hapo..
 
Rev

Nilidhani hii ni srious discussion kumbe ni mzaha tu. Kama ni hivyo mimi nakomea hapo..

TK,

How do we build opposition? By exploring and exploiting the current environment.

I am serious on this lakini ni emotions zetu zinasema aah Mchungaji kachanganyikiwa, ahhh sijui kakatiwa kiazi au nimeibiwa password.

Je unakumbuka ulisema nini nilipomleta Mrema kama mwezi mmoja na nusu uliopita?

Sasa nimemleta Lowassa bado naambiwa mengi.

Ndio maana nasema, kama kuna mtu ana mgombea, basi na amnadi. Hii miezi 10 iliyobakia si kidogo.

Rudi 1995, Mkapa alipewa ugombea wa CCM ikiwa imebakia miezi 6 kabla ya Uchaguzi.

Njoo 2000, Mkapa alipoona kuna zali na uwezekano wa mapinduzi baridi ya ndani kupitia Malecela au ya nje kupitia Lowassa, guess alifanya nini alitifuka na kuchacharika.

So it is not too late.

For 2020 nimeshawaambia si Mnyika wala January Makamba, naanza mpigia debe Shukuru Kawambwa na Zitto Kabwe!
 
Of all the politicians in Tanzania, who the hell is Edward Lowasa? Kati ya tuhuma na sifa nyingi mbovu alizonazo, nami naongeza moja. Ataendesha nchi kizimamoto.

Kwangu mimi, ndani ya system ya CCM hakutatoka chema kwa sababu ya ubovu wa hiyo system.

Kwa hiyo, vote NO to CCM first.
 
For 2020 nimeshawaambia si Mnyika wala January Makamba, naanza mpigia debe Shukuru Kawambwa na Zitto Kabwe!

Zitto hafai! Hajui anachokitaka. Mara leo hivi, kesho vile, keshokutwa hivi. Haeleweki huyo

Shukuru Kawambwa ndo nani huyo?

Na huyo Makamba ni wewe ambaye ulianza kumpigia debe mwaka 2005 kule bcstimes.com. Nini kimekufanya ubadili mawazo yako? Ulimpigia debe kwa mbwembwe sana.
 
Hivi nyie mnadhani Lowassa anataka urais ili aisaidie nchi? Huyu ana tamaa sana ya utajiri. Hatosheki hata kidogo! Anahangaika usiku na mchana kutaka kuingia Ikulu ili apate nafasi ya kujitajirisha zaidi na kuiibia nchi akishirikiana na rafiki yake Mburushi Rostam. Lakini bahati nzuri Mungu ameshasema 'HAPANA' kwa kuwa analipenda taifa lake. Hivyo acheni upuuzi wa kumjadili mtu huyu ambaye kama nchi yetu ingekuwa inaendeshwa kwa utawala wa kweli wa sheria (rule of law) hivi sasa yeye na rafiki yake wangekuwa wanatumikia kifungo cha muda mrefu jela kwa 'ujambazi' walioufanya!
 
Rev. kwanza hongeara sana kwa ku-'pathologise' our brains. Naamini si kila wakati mtu anapoanzisha maada ni lazima awe anaamini hicho kitu.

Kama mtu angekuwa anafanya research humu, swali la msingi la Rev ni kuwa yeye anampa karata EL, na wewe unaye wako mseme! MSEME!

What we have witness here is go there and here, watu kuruka vihunzi, na kukwepa kujibu, maana hawawaoni. N kwa hili anawashinda wengi

But to be honest Rev, you must have other names of the same qualifications.

Vipi kuhusu Magufuli? How do you compare him with EL?
 
Hapa tunazungumzia nadharia tu au mgombea halisia 2010? Kama ni halisia basi ni JK na hana mpinzani. Kama ni nadharia tu basi tungoje 2011 baada tu ya JK kuingia 2nd term. Hapo na mimi nitakuja na jina langu, most likely from the opposition. Nadhani mnajua ni nani...Sitaki kumtaja sasa wasije waka Mkolimba mapema.
 
Back
Top Bottom