Kishoka na Wengine,Your Loss!!!
Mie nasikia meng sana kuhusu Lowasa, na bahati nzuri nimewahi kumwona kwa karibu na kumsikiliza maneno yake ana kwa ana vilevile nimefurahishwa naye sana kwa ule uchangamfu wake na uhamasishaji. Ila nasikia kuwa huyu bwana ni mla rushwa, thief etc etc na amejilimbikizia mali nyingi mno kiasi kuwa hata Mwl Nyerere alimstukia. Haya yote nimewahi kuyasikia. Hata hivyo sijawahi kupata proof ya mali alizonazo. Ofcourse he is a smart guy, from the way he wears, his cars, style etc.
Mara ya Kwanza kumsikia na scandal ilikuwa ile ya Richmond. Katika analsysis yangu binafsi na kurudia rudia ile report ya Mwakyembe naweza kuweka bayana yafuatayo:
1. Kweli Mwakyembe ilibidi amwite Lowassa na kusikiliza mawazo yake.
2. Kwa vyovyote, na kwa uzito ule MKuu wa Kaya alihusika kabisa katika mchachato mzima wa Richmond.
Richmond ilikuwa ni scandal ambayo inaunganisha Srikali nzima from the President to the last Minister.
Besides this scandal; hizo zcandal nyingine ni zipi? Especially za corruption, ownership ya mahoteli, etc etc
JF ingekuwa makini kuorodhesha hasa hasa evidence za huyu jamaa kuwa fisadi. He maybe a good leader, but the rumours are spreading and turning to be true because they are repeated now and then.
Kwetu sisi ambao hatumjui huyu jamaa kwa undani hebu tuambieni.
Nielimishe, au ile ya ubinafsishaji wa Dawasco? Vile vile nasikia Wizara ya Ardhi nako alifanya madudu, lakini huwa watu hawataji ni madudu gani?Interesting Obserever,
Madudu ya Lowassa yapo mengi sana Wizara ya kilimo na mifugo!
Labda niseme hivi nieleweke.
Tatizo la Tanzania si Ufisadi, bali ni sisi watu wenyewe, tu wavivu, magoigoi na tumeridhika mno na mambo ya ajabu ajabu ambayo Serikali imelala kabisa.
Sasa jiulize kama Dar Es Salaam juzi walidiriki kukaa masaa karibu 14 bila umeme na Serikali nzima na Wananchi wanaona ni jambo la kawaida, hamuoni kuwa tunahitaji mtu fyatu ambaye akihoji ni nini kilichotokea, basi watu wataanza kubadilika?
For now Lowassa stands to be the only ideal choice we have, maana nilichokiona Tanzania hatuhitaji tena eti mtaalamu kama Ndulu au Shivji.
NIlijiuliza kwa nini Watanzania hawana mwamko wa kufanya kazi au kujitutumua? nikajiuliza kwa nini Watanzania wameridhika na shida na dhiki? Naendelea kujiuliza kwa nini Watanzania wanaendelea kunyanyaswa na Serikali na Majuha wachache wanaotaka kujifanyia mambo wanavyotaka (shida ya umeme, maji, takataka na foleni za magari)? Nikajiuliza kwa nini Watanzania hawafuati sheria au kanuni ilhali sheria na kanuni zipo na nyingi? nikajiuliza kwa nini watunga Sheria na enforcers wa sheria si makini katika kuhakikisha Sheria na kanuni zinafuatwa?
Sasa kwa kipmo hicho na wala si mambo ya Uhujumu au Ufisadi, utagundua kuwa Tatizo la Tanzania ni mfumo mbovu wa uongozi na jamii ambao unahitaji mtu fyatu na mkali ili tunyooke.
Give Lowassa 10 years and trust me we will see a big difference na ndipo sasa tuanze kutafuta watu softisofti kama Membe au sijui ni majina gani!
Mnaodai kuwa tutaendelea kuliwa, ni lini tuliacha kuliwa? Tangu enzi za Nyerere tunahujumiwa na hatujabadilika mpaka leo hii.
Si siri kila Mtanzania ni fisadi kwa namna yake moja au nyingine. Leo watu wanatoa rushwa kama ni haki yao kutoa rushwa na ni jambo la kawaida ili wapate leseni au kibali cha gari.
Watu hawafuati taratibu na sheria wti hawataki bugudha, hivyo kiulani wanatoa kitu kidogo bila hata kuombwa au kulazimishwa!
Let Lowassa take the reigns and you will se the change that we can all believe in!
Interesting Obserever,
Madudu ya Lowassa yapo mengi sana Wizara ya kilimo na mifugo!
Kasheshe,Mkandara,
Ni sawa kabisa, kiongozi anayefanya mambo mengi, kiongozi anayefanya maamuzi mengi kwa kasi ile lazima katika hayo maaumuzi akosee... that is expected mkuu.
"A good leader must make decision" and some decision will not be popular etc.
Example... mumesahau issue ya matumizi ya Ziwa Victoria? Hivi mna vichwa vya panzi.... kiongozi yeyote mzuri lazima afanye maamuzi na anavyofanya mengine hayatakuwa sawa na mengine yanaharibika kwa sababu ya watendaji hawayapendi!
Hivi Mwalimu Kambarage si alikuwa na nia nzuri na Azimio la Arusha?.... kwa nini utekelezaji uliharibiwa, aliharibu yeye au viongozi wa chini yake?
Kasheshe,
Madudu aliyofanya Lowassa hayakuwa ya kukosea. Yalikuwa ya kudhamiria.
Huyu ni kingfish wa ufisadi. Hata ile mipango yake ya mvua ilikuwa na mshiko ndani yake. Hakuna kitu alichofanya Lowassa kwa nia njema kwa Watanzania, ni kwa nia ya tumbo lake na familia yake.
Dhambi gani ndugu yangu.Jasusi, nenda ukatubu dhambi hiyo hapo!
Kama alivyotubu mtoa hoja nawe pia sometime, somewhere utatubu... but we need Lowassa. na kama asiporudi yeye potelea mbali tunamuhitaji Six.
Tusigombania vi hela vidogo na vi-raslimali vidogo tulivyo navyo... bali tuwaenzi watu watakao wafanya watanzania wafanye kazi... ilit tugombanie hela nyingi zaidi na Lowassa ni mmoja wao.
Tunakimbizana na Bil. 200 za BOT, we spend lot of time mpaka tunasahau kwamba hatuna umeme wakutosha... tunahitaji viongozi kama Lowassa watakao wafanya watanzania wafanye kazi.
Mimi sijasema wa Rais hapana... nimesema btn Rais na Waziri Mkuu lazima mmoja awe mkali.
Dhambi gani ndugu yangu.
Niliwahi kutembelea Nicaragua enzi za Somoza. Huyu hakuwa na tofauti kubwa na Lowassa. Nusu ya nchi ilikuwa mali yake. Huko ndiko anakotaka kutupeleka Lowassa. Tanzania nzima itakuwa Lowassa Inc. Mungu apishie mbali balaa hilo na tunajua ndugu zetu Nicaragua walijikomboa kutoka makucha ya Somoza. Tanzania hatuhitaji kupitia huko. Kati ya Watanzania milioni 40 usiniambie Lowassa tu ndiye anafaa kushika nafasi yeyote ile ya uongozi. Mungu apishie mbali!
FMES,
Naomba usome tena nilichoandika. Tea soma vizuri sana na tumia zile hekima na busara zako za Ki-Sauti ya Umeme!
Kama bado hujanielewa, nipigie simu nikueleweshe!
Mkuu Rev Kishoka, hapo awali nilijiuliza kama wewe ni mtu wa dini au dili.
Suala hapa si ku-canvas au ku-convince ili EL apendwe .
Hapendwi fisadi hapa.
Utata wa msimamo wako ni katika kumtetea kwa udi na uvumba EL, mwanasiasa tajiri,anayetuhumiwa kwa ufisadi, mwasisi wa mradi wa kifisadi wa Richmond.
Kakutatia kiasi gani?
No rational thinking will justify ripping off of Tanzanians at a rate of Tshs 152 million per day!Chuki ya watanzania wengi ni kwa nini EL hakuliona hilo na kulisawazisha-kama hahusiki nalo.
Kama wewe ugomvi wako ni utawala wa JK basi thread yako ieleweke hivyo.
Yuo simply cannot subsitute JK for EL, its not that simple brother.
Kumsaidia EL kujisafisha tafadhali mshauri that he should come clean, just spill the beans-if there are any!
Mkuu Rev Kishoka, hapo awali nilijiuliza kama wewe ni mtu wa dini au dili.
Suala hapa si ku-canvas au ku-convince ili EL apendwe .
Hapendwi fisadi hapa.
Utata wa msimamo wako ni katika kumtetea kwa udi na uvumba EL, mwanasiasa tajiri,anayetuhumiwa kwa ufisadi, mwasisi wa mradi wa kifisadi wa Richmond.
Kakutatia kiasi gani?
No rational thinking will justify ripping off of Tanzanians at a rate of Tshs 152 million per day!Chuki ya watanzania wengi ni kwa nini EL hakuliona hilo na kulisawazisha-kama hahusiki nalo.
Kama wewe ugomvi wako ni utawala wa JK basi thread yako ieleweke hivyo.
Yuo simply cannot subsitute JK for EL, its not that simple brother.
Kumsaidia EL kujisafisha tafadhali mshauri that he should come clean, just spill the beans-if there are any!