Pundit,
hakuna jambazi ama fisadi anayekubali kutendewa haki iwe ktk madai ama hukumu wakijua kwamba kukusudia ni makosa makubwa zaidi. Anachojaribu kufanya Lowassa ni kukosha jina lake na hakuna njia isipokuwa kutafuta sababu. Je, unaweza amni kuwa alikwisha iona report kabla hata haijafikishwa bungeni?.. na kuwa alimwendea JK kumwomba isifike bungeni.... haki gani kama sio nia yake kutowatendea haki wananchi... Huo muda aliotumia kujaribu kuipinga hii report angetumia kujieleza na nina hakika JK kisha hoji ama anafahamu zinga lote ndio maana kakubali kujiuzuru kwake laa sivyo JK asingekubali hasa mtu wake wa karibu EL. That is the fact na rais mara kibao kasema hatapenda kufanya makosa ya kuchukua tetezi na kuzitolea hukumu....
Na mbona Balali mmefikia kuondoa visa yake na kumwondoa madarakani hali hakuna mtu kwenda kumhoji..Yule mhandisi aliyefukuzwa kazi on the spot baada ya kuona tu jengo limeanguka Lowassa alihitaji maelezo ya huyo bwana?... acheni ndugu zangu hakuna mtu aliye juu ya sheria...Alifikiria hivyo lakini Mungu kamwonyesha yeye mwenyewe kwa uvivu wake wa kufikiri...Hakuhitaji kujiuzuru hata kidogo kama angeitaka haki.
Nakubaliana na wewe kimsingi. Kuna vitu vya kuangaliwa hapa. Kwanza mategemeo ya wengi kuhusiana na tume yalikuwa ni kuja na conclusion yenye kuleta mwalifu fulani mwenye high profile. Na isingefanyika hivyo, hakuna ambaye angekubali ukweli wa mambo. Hivyo public opion ilisha-set matokeo ya tume.
Vile vile vitu kama hivi havijawahi kufanyika Tanzania. Pamoja na kuwa Mwakyembe alikuwa ni Prof. wa sheria hajawahi kufanya kazi ya namna hii na hakuwa na reference ya kuanzia. Hivyo kutakuwepo na mafungufu fulani. Lakini kwa tume zitakazokuja zitakuwa na reference. Hivyo Warioba ana ukweli ndani yake.
Tukija kwa upande wa kuitetea tume. Tume ilikuwa na haki ya kumwita mtu au kutomwita mtu. Tume hii sio mwendesha mashitaka ambaye anawajibika kupata ushahidi wa mshtakiwa. Kama walichotakiwa ni kutoa conclusion itakayoonyesha kukiukwa kwa utaratibu basi hicho kimefanyika. Kwani vithibitisho pekee yake vinajenga hoja nzito ya kukiukwa kwa utaratibu. Hivyo maamuzi ya tume ni tofauti na mahakama ambayo inataka mshitakiwa naye apewe nafasi ya kujitetea. Kwa mtu kama mimi mwenye trade nyingine inatosha kabisa kuunganisha dots na kupata conclusion lakini kwa mtu mwenye trade ya sheria kama mzee Warioba kumuhoji mtuhumiwa ni kitu muhimu.
Mkuu ES,
Kwa sababu watu wanajali principle and this is beyond Lowassa.It is about the principles of rule of law and due process.Sasa tumempa Lowassa msemo kuwa "nimekuwa treated unfairly kwa sababu sijapewa nafasi ya kujitetea" unnecessarily.
Mkuu Pundit,
Lowassa, amefukuzwa na nani? Bunge, Rais, au yeye mwenyewe? Hawa kina Warioba na Butiku, walikuwa wanaongelea wapi ambako hakukuwa na mtu wa kuwauliza maswali? Kunyimwa kwa Lowassa Due Process, kunaweza kuwa established as a standing Legal argument only kama Butiku na Warioba, wangeweza kwenye hayo maelezo yao ku-establish as a political au Legal principle how Lowassa ametoka u-Waziri Mkuu, so far wameshindwa kufanya hivyo, na hivyo kuonyesha udhaifu wao wa kufikiri Legally na accademically, licha ya Politically, at this point Bunge lina haki ya kuwaandikia Warioba na Butiku, kwa kuwapa onyo kali kuhusiana na maneno yao ya uchochezi kwa jamii, haya maneno yao politically ni hatari sana kwa jamiii, na hasa ukilinganisha kuwa wao waliwahi kuwa viongozi wa zamani wa juu wa taifa letu ambao wanapaswa kujua better than anybody.
For the sake of argument, Lowassa hakujiuzulu, isipokuwa amefukuzwa kazi na Rais wa Jamhuri, ambaye alimchagua kwa kutumia katiba ya taifa letu ambayo kama taifa tunampa haki hiyo ya kuchagua wasaidizi wake wa kazi, lakini Rais wa Jamhuri habanwi na kipengele chochote cha siasa wala sheria, anapoamua kumchagua au kumuondoa msaidizi wake yoyote yule kwenye level ya taifa, Warioba na Butiku, wanajaribu kuvikimbia vivuli vyao wenyewe kwa kulisingizia bunge au Mwakyembe na Seleli, kutokana na kufukuzwa kazi kwa Waziri Mkuu wa zamani Lowassa na rais wa jamhuri yetu. Warioba na Butiku, walipaswa kumuuliza rais alipomchagua Lowassa kuwa Waziri Mkuu, over other 35 Million Tanzanians?, alitumia vigezo gani vya kisiasa na kisheria?, na kwa nini bunge lilikubali Lowassa awe Waziri Mkuu in the first place? then leo wangekuwa na all the authority na kuuliza kwa nini Lowassa amenyimwa Due Process.
Lowassa, amefukuzwa kazi ya u-Waziri Mkuu na rais wa jamhuri Kikwete, Warioba alifukuzwa kazi ya u-Waziri Mkuu na rais wa jamhuri Mwinyi, Malecela alifukuzwa kazi ya u-Waziri Mkuu na rais wa jamhuri Mwinyi, FULL STOP!
Mheshimiwa Lowassa akiwa kiongozi mkuu wa serikali alikuwa na opportunity nyingi kwenda mbele ya kamati na kujieleza maana mamlaka na maamuzi ya mwisho ya Richmond ni ofisi yake. Hii habari ya kuonewa na sijui hakupewa nafasi ni nonsense, na kwanini alimuandikia Spika kuhusu involvement yake in January wakati alijua kamati ilimaliza muda wake December mwakajana. He had all the opportunity kujieleza bungeni. Lowassa ilibidi awajibishwe kwa kusema kamati imetumia udaku na maneno ya mtaani...hapo alidanganya bunge maana Kamati haikutumia hata kielelezo kimoja kutoka kwenye gazeti.
It is ridiculous kusema he wasnt given the opportunity when the comittee had an open door policy. There was no need for him to be interviewed as there was already a paper trail pointing to his involvement, all he had to do as prime minister (who knew there was a trail leading to him) was to speak out in Parliament and explain how he wasnt involved. Period.
Bin Maryam,
Nimekuelewa,
Tatizo ni kuwa in principle, kuna possibility Lowassa angeweza kuja na valid rebuttal kwa kila allegation iliyokuwa documented against him, ndiyo maana kuna msingi wa kisheria kuwa side zote za story ni lazima zisikilizwe, regardless kama tunaongea high court case, parliamentary committee or a case involving two schoolchildren before a headmaster.
Sikutegemea kusikia kauli dhaifu namna hii kutoka kwe Joseph Warioba, nashindwa kuelewa ni haki ipi anayoizungumzia ambayo EL hakutendewa. Anazungumza as if Bunge au kamati teuli ni chombo0 ambacho haki inatafutwa. Kamati lengo lake ilikuwa ni kufuatilia kama kulikuwa na dubiosity kwenye Richmond, kama Kamati iliridhika kuwa kulikuwa na dubiosity bila kuwa na haja ya kumuita EL, was it necessary kumuita? Au kuna formallity yoyote ya Bunge au kamati za bunge zinazohitaji kumwita kila mtu anayedhaniwa kuitwa! Vilevile kulikuwa na nafasi ya kila mtu kwenda mbele ya tume na walikuwepo waliokwenda bila kuitwa, kwanini asiende mwenyewe bila kuitwa na anaanza kulaumu watu. Kwanini Warioba asiseme EL hajajitendea haki kwa kushindwa kwenda kutoa maelezo kwa tume?????
Ukwelii,
Sioni kama Warioba anachemka, Warioba ana set high standards kwa nchi yetu.
The dilemma ni kwamba, saa nyingine hizi high standards ndiyo zinatupa vitu kama "Ripoti ya Warioba". An eloquent document ambayo kutokana na technicalities imebaki kwenye makabrasha.
Kwa hiyo kama unataka results tu bila kujali process na rule of law, then Mwakyembe ameharakisha mambo fresh tumemtoa Lowassa kama inavyotakiwa.
Kama unajali rule of law na fairness,Mwakyembe amekosea kutomhoji Lowassa.
Pundit,
hakuna jambazi ama fisadi anayekubali kutendewa haki iwe ktk madai ama hukumu wakijua kwamba kukusudia ni makosa makubwa zaidi. Anachojaribu kufanya Lowassa ni kukosha jina lake na hakuna njia isipokuwa kutafuta sababu. Je, unaweza amni kuwa alikwisha iona report kabla hata haijafikishwa bungeni?.. na kuwa alimwendea JK kumwomba isifike bungeni.... haki gani kama sio nia yake kutowatendea haki wananchi... Huo muda aliotumia kujaribu kuipinga hii report angetumia kujieleza na nina hakika JK kisha hoji ama anafahamu zinga lote ndio maana kakubali kujiuzuru kwake laa sivyo JK asingekubali hasa mtu wake wa karibu EL. That is the fact na rais mara kibao kasema hatapenda kufanya makosa ya kuchukua tetezi na kuzitolea hukumu....
Na mbona Balali mmefikia kuondoa visa yake na kumwondoa madarakani hali hakuna mtu kwenda kumhoji..Yule mhandisi aliyefukuzwa kazi on the spot baada ya kuona tu jengo limeanguka Lowassa alihitaji maelezo ya huyo bwana?... acheni ndugu zangu hakuna mtu aliye juu ya sheria...Alifikiria hivyo lakini Mungu kamwonyesha yeye mwenyewe kwa uvivu wake wa kufikiri...Hakuhitaji kujiuzuru hata kidogo kama angeitaka haki.
point kali hizo mkuu mkandara....
kwa nini lowassa alikuwa hataki report iletwe bungeni///
kwa nini lowassa toka 2006 alikuwa hataki mtu aongelee richmond//
pundit, kwa mfano mtuhumiwa hapa angekuwa mtu kama labda mama sitta, hata mimi ningelalamika.
lakini el ahaahahhahahahha
jk kamtosa lowassa sio sababu richmond, sababu kuu ni buzwagi na epa.
Sasa wewe unaongea personalities au issues? Kwa hiyo Mama Sitta angefanya kile kile alichofanya Lowassa vile vile ungelalamika lakini kwa Lowassa hutalalamika? Is this what you are saying here?
It does not matter how Lowassa left the premiership, if due process states that every accused should have a fair hearing (regardless whether in a high court case, parliamentary commitee or a schoolchildren's foodfight) was not followed prior to that, due process was not followed, period.
ahahaha naona umeskip hii point'''''''''''..........
sasa pundit unatufanya watu wote wazima humu ndani vichaa.
since unangangania sana mambo a sheria, lets go;;;
kamati ni kama prosecutor, wamemcharge lowassa kuwa ni mwizi, then wamepeleka kwa judge hapa ni bunge ili lowassa awe defendant, bunge liwe judge na kamati iwe prosecutor.
sasa lowassa kahamaki hamna haki, ala vipi wewe uko mbele ya judge si ulete defense yako//
kama bunge lingepiga vote of no confidence bila kumsikiliza lowassa, then uonevu ungeweza kulalamikiwa.
uko hapo mkuu
Pundit,
Lowassa, amefukuzwa kazi na nani? Ili kupata jibu ni lazima u-establish alipewa kazi hiyo ya u-Waziri Mkuu, na nani?
Look,
The guy opted for a short cut into oblivion; he has no guts facing transparency. So why the fuss?
Mkuu Pundit,
Lowassa, amefukuzwa kazi ya u-Waziri Mkuu na rais wa jamhuri Kikwete, Warioba alifukuzwa kazi ya u-Waziri Mkuu na rais wa jamhuri Mwinyi, Malecela alifukuzwa kazi ya u-Waziri Mkuu na rais wa jamhuri Mwinyi, FULL STOP!