William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Mkuu FMES!
Judge Warioba hakufukuzwa kazi na Mzee Mwinyi.....muda ulikwisha awamu liiyofuata akachaguliwa PM mwingine kwa mujibu ya katiba yetu na kwa ridhaa ya Rais....
Mkuu hiyo ni kwa uelewa wako mkuu, Sumaye alimaliza muda akapewa tena kazi hiyo, asingerudi kisiasa angekuwa amefukuzwa kazi mkuu, maana Warioba alipewa kazi ya uwaziri wa kawaida wa serikali za mitaaa na akakubali, kama alikuwa amemaliza muda, basi kisiasa asingekubali kuwa waziri wa kawaida mkuu, anyways ishu hapa ni kubwa kuliko hii mkuu, ngoja tukate ishus hapa!