IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

Mchambuzi, Mdondoaji na wataalmu wengine ambao mko deep kwenye uchumi.

Nauliza swali la kizushi lakini nataka kujua.
Vipi tukiamua kufuata fiscal policy kama za china zita affect au zitasaidiaje hali iliyopo? .
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Zing,

Kwakweli hakuna a unified fiscal policy to adopt duniani na professa atakayekuambia kuna universal fiscal policy mtilie mashaka anaweza kuwa ameshachanganyikiwa tayari. Any economic model (means policy) inategemeana na mazingira na factors mbali mbali. Umetolea China, wachina sifa yao kuu ni kwamba ni serikali inayosave sana pesa na wana maadili mazuri ya matumizi ya pesa ya serikali (China ukikamatwa kwa rushwa unahukumiwa kifo). China after the dot com bubble ya 2000 and stock market crash in 2002. Waliweka misingi mikali ya kusimamia pesa za serikali (active approach of fiscal policy). Serikali ya China inakopa kufinance development infrastructure, roads, and constructions projects. Vile China kama USA wana kikomo cha kukopa na serikali imewekewa kikomo hicho kudhibiti mipango ya serikali katika uwekezaji.

Kwahiyo ni muhimu kwanza tufahamu mazingira yetu yakoje ndipo tuformulate policy ya nchi. Hata hivyo kuna mazuri tunaweza kuyachukua kama debt limit and usimamizi mzuri wa mikopo tunaweza kukopi kama wachina.
 
zitto kabwe aliposema serikali imefilisika harakaharaka mkulo alikuja juu akisema ni uongo na uzushi, sasa yako wapi? mkulo bisha tena
 
Zing,

Kwakweli hakuna a unified fiscal policy to adopt duniani na professa atakayekuambia kuna universal fiscal policy mtilie mashaka anaweza kuwa ameshachanganyikiwa tayari. Any economic model (means policy) inategemeana na mazingira na factors mbali mbali.
Kwahiyo ni muhimu kwanza tufahamu mazingira yetu yakoje ndipo tuformulate policy ya nchi. Hata hivyo kuna mazuri tunaweza kuyachukua kama debt limit and usimamizi mzuri wa mikopo tunaweza kukopi kama wachina.
I assume you have an idea on the way forward... Hata kama sio policies zenyewe unaweza kutoa mifano ya things that need to be considered as they make the policies, and the implications of each of them on the national growth/recession?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
zitto kabwe aliposema serikali imefilisika harakaharaka mkulo alikuja juu akisema ni uongo na uzushi, sasa yako wapi? mkulo bisha tena
Kinachonishangaza ni hili la kubisha kila tuhuma halafu muda mfupi inakuja kuoekana kuwa haukuwa uzushi... Mfano.. Loliondo kuuzwa (wakalifungia gazeti la motomoto), mafisadi 11 (leo wanavuana magamba), zanzibar na OIC... walibisha sana. Walishambiwa nchi imefilika wakabisha...
 
Hii nchi ilifilisika wakati wa NYERERE, wakaja kutuokoa hao hao IMF cha ajabu ni nini? leo Tanzania tuna reserve ya kututosha miezi sita na uchumi umepanda mpaka UN wametambuwa hilo na kutupandisha chart.

Nyie mnakuja na sijui nini sijui nini, IMF hata nchi za magharibi wanakwenda, tazama Ugiriki kuna nini sasa hivi? msituletee porojo za mitaani.
Acha uwongo,
Mkapa alifanikisha kupunguza matumizi na aliacha balance sheet nzuri tu. Huyu mwenzako ambaye sijui kasomea wapi uchumi akaanza matumizi na matanuzi kana kwamba there is no tomorrow. Anasafiri na msafara wa watu hamsini, waziri mkuu wake anasafiri na msafara nusu ya hiyo, maposho sijui ya semina elekezi ambazo wala hazina tija. At least Nyerere alituongoza katika vita ya Idi Amin ambayo ilikomba reserves zetu. Kikwete ana kisingizio gani?
 
I assume you have an idea on the way forward... Hata kama sio policies zenyewe unaweza kutoa mifano ya things that need to be considered as they make the policies, and the implications of each of them on the national growth/recession?

A way forward for this government kwa fikira zangu ni:-

a. Tuache siasa kwanza katika uchumi watafutwe timu ya wanauchumi mahiri wakae chini kama wanavyokaa nchi zinazoendelea watengeneze policy tofauti na kuzifanyia kazi pembeni kabla hawajazipendekeza kwa rais. Vile vile washauri wa rais watimuliwe maana hawana cha maana wanachokifanya mpaka sasa unless wao walikuwa wanamshauri rais lakini yeye hawasikilizi litakuwa tatizo jengine. Kwasababu sauti ya mwisho anayo Mr President.

b. Katika hizo policy moja ya vitu vya msingi ni kupunguza gharama za matumizi ya serikali.

c. Serikali iendelee kukopa but sio nchini bali nje ya nchi. Ijaribu kulipa madeni ya ndani ya nchi ili kupunguza credit squeeze nchini. Na mikopo ya serikali iende katika sekta za maendeleo na sio kuendesha serikali.

d. Government debt limit is important and essential to discipline government use of public finance.

e. Ufisadi udhibitiwe na kutokomezwa kwani unarudisha nyuma utendaji na maendeleo.

f. Central Bank needs to support economic growth .
 
FF nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri. Pamoja na kuwekewa facts bado unabisha..? kwa namna ipi unakokuita kufilisika kwa enzi za Nyerere kunaleta haki ya kufilisika leo?
 
Na bado, Muda si mrefu Mkullo ataomba pesa nyingine nje ya zile 13 trillion za walipa kodi alizopewa mwaka jana for his budget - tumtarajie any time within the next 3 months aki submit a mini budget coz ya uchumi uchwara uliopo sasa; na sababu kubwa ni kutokana na yeye na taasisi chini yake kutokuwa makini na suala la inflation kwani costing zote za budget yake ya 2011 - 2012 ilifanyika in the context of inflation targets way below of what is happening now, so utekelezaji wa ahadi za Rais kwenye uchaguzi mwaka jana hautafanyika kwa ufanisi na kupelekea rais kuonekana alikuwa muongo kumbe ni uzembe wa watendaji wake; ahadi za igunga ndio kabisa; nchi gani inayotumia kila siku kuliko inavyopokea na huku pia inaachia vyanzo vya kodi kama vile madini na kukamua kodi kwenye vibiriti na bia za ndizi ambapo watumizi wa bidhaa hizi wala hawafaidiki na hizo kodi?

Uchumi wetu unaelekea kugumu sana, especially for the rural mass and the urban poor all of which the budget never really cares much about them coz kwa mfano, katika bajeti nzima, 60% ambayo ni over 8 trillion shillings zilienda kwenye posho na mishahara, na just over 4 trillion ndio zilienda kwenye matumizi ya maendeleo; hii haina tofauti na yanayoimbwa katika ule wimbo wa starehe gharama, sasa upande mmoja misaada inaanza kuwekwa kwenye package ya ushoga, huku kwingine sijui nini kitatokea; huu ndio uchumi wetu uchwara;

Point nzuri ila hilo Gamba lako la kijani limezipunguzia hamasa...Hebu nipe way forward..TUFANYE NINI kama Wanachi?
 
A way forward for this government kwa fikira zangu ni:-

a. Tuache siasa kwanza katika uchumi watafutwe timu ya wanauchumi mahiri wakae chini kama wanavyokaa nchi zinazoendelea watengeneze policy tofauti na kuzifanyia kazi pembeni kabla hawajazipendekeza kwa rais. Vile vile washauri wa rais watimuliwe maana hawana cha maana wanachokifanya mpaka sasa unless wao walikuwa wanamshauri rais lakini yeye hawasikilizi litakuwa tatizo jengine. Kwasababu sauti ya mwisho anayo Mr President.

b. Katika hizo policy moja ya vitu vya msingi ni kupunguza gharama za matumizi ya serikali.

c. Serikali iendelee kukopa but sio nchini bali nje ya nchi. Ijaribu kulipa madeni ya ndani ya nchi ili kupunguza credit squeeze nchini. Na mikopo ya serikali iende katika sekta za maendeleo na sio kuendesha serikali.

d. Government debt limit is important and essential to discipline government use of public finance.

e. Ufisadi udhibitiwe na kutokomezwa kwani unarudisha nyuma utendaji na maendeleo.

f. Central Bank needs to support economic growth .

Hayo maelezo yote ni kama wimbo wa Taarabu..Tumekuwa tukiimba kila siku..Tunataka Tangible Solutions ..Siyo political solutions ambazo zinaimbwa kila siku!
 
Kwa ufupi nyie wote ni walalamikaji, hakuna solution zaidi ya kubana matumizi. Kubana matumizi ndiyo umasikini wenyewe.
Kuhusu data zinavyoonyesha.... I think hatuna tofauti na third world contries nyingi tu. The global economy itself as a whole is messed - up. Mkapa alikuwa hakusanyi kodi nyingi kuliko kikwete, so was Nyerere and Mwinyi, ila nadhani ushabiki ndio umetuzidi.
 
Hayo maelezo yote ni kama wimbo wa Taarabu..Tumekuwa tukiimba kila siku..Tunataka Tangible Solutions ..Siyo political solutions ambazo zinaimbwa kila siku!

What are your solutions? Hakuna politics katika niliyoyataja hapo juu ni pure economic solutions. Wakibana matumizi serikali itakuwa na hela ya kufidia budget deficit iliyotajwa na IMF inayowafanya waende kukopa katika commercial banks.

Ufisadi Rais JK mwenyewe amekubali 30% of public finance zinaliwa na mafisadi nchini. Ufisadi wa nchi hii uko aina mbili wa kificho kama EPA nk. na wa katika posho na malipo yasiyoelezeka mfano allowance, nk. Serikali ikiweza kumudu kusimamia fedha za wananchi basi mapato na government coffins zitaongezeka.

Kukopa nchini ni hatari kwa kunasababisha interest rate hike na credit squeeze. Wakipunguza kukopa nchini kutachangia interest rate katika mabenki kushuka na hivyo watu wa kawaida kuweza kumudu kukopa katika mabenki nk.

Siasa nazo zinaharibu uchumi wa nchi hii kwani wanasiasa ndio wamekuwa wachumi siku hizi matokeo vitu vinapoteza mwelekeo.
 
I assume you have an idea on the way forward... Hata kama sio policies zenyewe unaweza kutoa mifano ya things that need to be considered as they make the policies, and the implications of each of them on the national growth/recession?

An interesting recent paper by David L Bevan, Emeritus Research Fellow in Economics at Oxford University on "Fiscal Policy Issues for Tanzania" may be helpful in one way or another. The paper, which was directed and organised by the London School of Economics and Political Science and Oxford University, focuses on key fiscal and public spending issues, and reviews policy options facing Tanzanian authorities.

The paper appears to be skeptical on the limited scope for the Tanzanian government to respond to this crisis in the short-term. It argues that while the immediate concern is with how best to handle the consequences of the current world economic crisis, these choices must be made in the context of a much longer perspective, thereby putting into doubts the stimulus packages: http://www.theigc.org/sites/default/files/10_0875_igc_wp_bevan_final_allpp_0.pdf
 
A way forward for this government kwa fikira zangu ni:-

a. Tuache siasa kwanza katika uchumi watafutwe timu ya wanauchumi mahiri wakae chini kama wanavyokaa nchi zinazoendelea watengeneze policy tofauti na kuzifanyia kazi pembeni kabla hawajazipendekeza kwa rais. Vile vile washauri wa rais watimuliwe maana hawana cha maana wanachokifanya mpaka sasa unless wao walikuwa wanamshauri rais lakini yeye hawasikilizi litakuwa tatizo jengine. Kwasababu sauti ya mwisho anayo Mr President.

b. Katika hizo policy moja ya vitu vya msingi ni kupunguza gharama za matumizi ya serikali.

c. Serikali iendelee kukopa but sio nchini bali nje ya nchi. Ijaribu kulipa madeni ya ndani ya nchi ili kupunguza credit squeeze nchini. Na mikopo ya serikali iende katika sekta za maendeleo na sio kuendesha serikali.

d. Government debt limit is important and essential to discipline government use of public finance.

e. Ufisadi udhibitiwe na kutokomezwa kwani unarudisha nyuma utendaji na maendeleo.

f. Central Bank needs to support economic growth .
Mkuu naona hii ipo too general,
a. Wataalam wa uchumi kama kina nani? Hao IMF na policies zao ndio wanaotuua.
b. Ukisema gharama zipunguzwe, unamaanisha nini? Gharama zipi hizo? be specific with how much is gon be saved if we cut so anso by so and so.
c. Kukopa nje ya nchi ni first option, but what if they don't want to loan us money?
d. Debt limit?... mkuu, you don't have to set that!.... our creditworthness is limited anyways.
e. Ufisadi hudhibitiwa vizuri zaidi na wananchi wenyewe, serikali ya wananchi wala rushwa hula rushwa.
f. What...?
 
Hizi data ni za kutoka CIA World Fact book,hapo kwenye economy overview pamenichanganya kidogo...

Page last updated on January 12, 2011
Economy - overview:
Tanzania is one of the world's poorest economies in terms of per capita income, however, Tanzania average 7% GDP growth per year between 2000 and 2008 on strong gold production and tourism. The economy depends heavily on agriculture, which accounts for more than one-fourth of GDP, provides 85% of exports, and employs about 60% of the work force. The World Bank, the IMF, and bilateral donors have provided funds to rehabilitate Tanzania's aging economic infrastructure, including rail and port infrastructure that are important trade links for inland countries. Recent banking reforms have helped increase private-sector growth and investment, and the government has increased spending on agriculture to 7% of its budget. Continued donor assistance and solid macroeconomic policies supported a positive growth rate, despite the world recession. In 2008, Tanzania received the world's largest Millennium Challenge Compact grant, worth $698 million. Dar es Salaam used fiscal stimulus and loosened monitary policy to ease the impact of the global recession. GDP growth in 2009-10 was a respectable 6% per year due to high gold prices and increased production.

GDP (purchasing power parity):
$62.22 billion (2010 est.)
country comparison to the world: 84 $58.48 billion (2009 est.) $55.17 billion (2008 est.)
note: data are in 2010 US dollars
[see also: GDP (purchasing power parity) country ranks ]
GDP (official exchange rate):
$22.43 billion (2009 est.)
[see also: GDP (official exchange rate) country ranks ]
GDP - real growth rate:
6.4% (2010 est.)
country comparison to the world: 32 6% (2009 est.) 7.4% (2008 est.)
[see also: GDP - real growth rate country ranks ]
GDP - per capita:
$1,500 (2010 est.)
country comparison to the world: 203 $1,400 (2009 est.) $1,400 (2008 est.)
note: data are in 2010 US dollars
[see also: GDP - per capita country ranks ]
GDP - composition by sector:
agriculture: 41.6%
[see also: GDP - composition by sector - agriculture country ranks ]
industry: 18.1%
[see also: GDP - composition by sector - industry country ranks ]
services: 38.4% (2009 est.)
[see also: GDP - composition by sector - services country ranks ]

Labor force:
21.86 million (2009 est.)
country comparison to the world: 29
[see also: Labor force country ranks ]
Labor force - by occupation:
agriculture: 80%
[see also: Labor force - by occupation - agriculture country ranks ]
industry and services: 20% (2002 est.)
Unemployment rate:
NA%
[see also: Unemployment rate country ranks ]
Population below poverty line:
36% (2002 est.)
[see also: Population below poverty line country ranks ]
Household income or consumption by percentage share:
lowest 10%: 2.9%
[see also: Household income or consumption by percentage share - lowest 10% country ranks ]
highest 10%: 26.9% (2000)
[see also: Household income or consumption by percentage share - highest 10% country ranks ] Distribution of family income - Gini index:
34.6 (2000)
country comparison to the world: 89

38.2 (1993)
[see also: Distribution of family income - Gini index country ranks ]
Investment (gross fixed):
17.4% of GDP (2009 est.)
country comparison to the world: 115
[see also: Investment (gross fixed) country ranks ]
Budget:
revenues: $4.263 billion
[see also: Budget - revenues country ranks ]
expenditures: $5.644 billion (2009 est.)
[see also: Budget - expenditures country ranks ]
Public debt:
23.3% of GDP (2010 est.)
country comparison to the world: 103 21.4% of GDP (2009 est.)
[see also: Public debt country ranks ]
Inflation rate (consumer prices):
7.2% (2010 est.)
country comparison to the world: 182 12.1% (2009 est.)
[see also: Inflation rate (consumer prices) country ranks ]
Central bank discount rate:
3.7% (31 December 2009)
country comparison to the world: 17 15.99% (31 December 2008)
[see also: Central bank discount rate country ranks ]
Commercial bank prime lending rate:
15.03% (31 December 2009 est.)
country comparison to the world: 47 14.98% (31 December 2008 est.)
[see also: Commercial bank prime lending rate country ranks ]
Stock of narrow money:
$3.394 billion (31 December 2010 est) $2.972 billion (31 December 2009 est)
[see also: Stock of narrow money country ranks ]
Stock of broad money:
$7.44 billion (31 December 2010 est.) $6.65 billion (31 December 2009 est.)
[see also: Stock of broad money country ranks ]
Stock of domestic credit:
$4.163 million (31 December 2010 est.)
country comparison to the world: 185 $3.878 million (31 December 2009 est.)
[see also: Stock of domestic credit country ranks ]
Market value of publicly traded shares:
$NA (31 December 2009)
country comparison to the world: 100 $1.293 billion (31 December 2008) $541.1 million (31 December 2006)
[see also: Market value of publicly traded shares country ranks ]
Agriculture - products:
coffee, sisal, tea, cotton, pyrethrum (insecticide made from chrysanthemums), cashew nuts, tobacco, cloves, corn, wheat, cassava (tapioca), bananas, fruits, vegetables; cattle, sheep, goats
Industries:
agricultural processing (sugar, beer, cigarettes, sisal twine); diamond, gold, and iron mining, salt, soda ash; cement, oil refining, shoes, apparel, wood products, fertilizer
Industrial production growth rate:
7% (2009 est.)
country comparison to the world: 41
[see also: Industrial production growth rate country ranks ]
Electricity - production:
3.786 billion kWh (2007 est.)
country comparison to the world: 118
[see also: Electricity - production country ranks ]
Electricity - consumption:
3.182 billion kWh (2007 est.)
country comparison to the world: 124
[see also: Electricity - consumption country ranks ]
Electricity - exports:
0 kWh (2008 est.)
[see also: Electricity - exports country ranks ]
Electricity - imports:
200 million kWh (2007 est.)
[see also: Electricity - imports country ranks ]
Oil - production:
0 bbl/day (2009 est.)
country comparison to the world: 127
[see also: Oil - production country ranks ]
Oil - consumption:
34,000 bbl/day (2009 est.)
country comparison to the world: 112
[see also: Oil - consumption country ranks ]
Oil - exports:
0 bbl/day (2007 est.)
country comparison to the world: 171
[see also: Oil - exports country ranks ]
Oil - imports:
28,070 bbl/day (2007 est.)
country comparison to the world: 103
[see also: Oil - imports country ranks ]
Oil - proved reserves:
0 bbl (1 January 2010 est.)
country comparison to the world: 114
[see also: Oil - proved reserves country ranks ]
Natural gas - production:
560.7 million cu m (2008 est.)
country comparison to the world: 67
[see also: Natural gas - production country ranks ]
Natural gas - consumption:
560.7 million cu m (2008 est.)
country comparison to the world: 93
[see also: Natural gas - consumption country ranks ]
Natural gas - exports:
0 cu m (2008 est.)
country comparison to the world: 112
[see also: Natural gas - exports country ranks ]
Natural gas - imports:
0 cu m (2008 est.)
country comparison to the world: 126
[see also: Natural gas - imports country ranks ]
Natural gas - proved reserves:
6.513 billion cu m (1 January 2010 est.)
country comparison to the world: 84
[see also: Natural gas - proved reserves country ranks ]
Current account balance:
-$1.523 billion (2010 est.)
country comparison to the world: 152 -$1.746 billion (2009 est.)
[see also: Current account balance country ranks ]
Exports:
$3.809 billion (2010 est.)
country comparison to the world: 118 $3.365 billion (2009 est.)
[see also: Exports country ranks ]
Exports - commodities:
gold, coffee, cashew nuts, manufactures, cotton
Exports - partners:
India 8.51%, China 7.55%, Japan 7.12%, Netherlands 6.21%, UAE 5.71%, Germany 5.17% (2009)
Imports:
$6.334 billion (2010 est.)
country comparison to the world: 107 $5.834 billion (2009 est.)
[see also: Imports country ranks ]
Imports - commodities:
consumer goods, machinery and transportation equipment, industrial raw materials, crude oil
Imports - partners:
India 13.97%, China 13.71%, South Africa 7.8%, Kenya 6.89%, UAE 4.65%, Japan 4.34% (2009)
Reserves of foreign exchange and gold:
$3.687 billion (31 December 2010 est.)
country comparison to the world: 81 $3.206 billion (31 December 2009 est.)
note: excludes gold
[see also: Reserves of foreign exchange and gold country ranks ]
Debt - external:
$7.576 billion (31 December 2010 est.)
country comparison to the world: 94 $6.879 billion (31 December 2009 est.)
[see also: Debt - external country ranks ]
Stock of direct foreign investment - at home:
$NA
[see also: Stock of direct foreign investment - at home country ranks ]
Stock of direct foreign investment - abroad:
$NA
[see also: Stock of direct foreign investment - abroad country ranks ] Exchange rates:
Tanzanian shillings (TZS) per US dollar - 1,423.3 (2010), 1,320.3 (2009), 1,178.1 (2008), 1,255 (2007), 1,251.9 (2006)
 
An interesting recent paper by David L Bevan, Emeritus Research Fellow in Economics at Oxford University on "Fiscal Policy Issues for Tanzania" may be helpful in one way or another. The paper, which was directed and organised by the London School of Economics and Political Science and Oxford University, focuses on key fiscal and public spending issues, and reviews policy options facing Tanzanian authorities.

The paper appears to be skeptical on the limited scope for the Tanzanian government to respond to this crisis in the short-term. It argues that while the immediate concern is with how best to handle the consequences of the current world economic crisis, these choices must be made in the context of a much longer perspective, thereby putting into doubts the stimulus packages: http://www.theigc.org/sites/default/files/10_0875_igc_wp_bevan_final_allpp_0.pdf
Thanks. Ngoja niipitie alafu ndio nije nichangie (hopping you keep the thread hot). 😛oa
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kuna habari nyingine pia zinachanganya,haya mapato ya gold yaliyoongezeka hizo pesa huwa zinapelekwa wapi?Na hizo za revenue collection ambayo walifikia target a 93.2 percent just in may?Kuna uzembe wa hali ya juu!Nina uhakika tungekuwa na uongozi mzuri uchumi wetu usingeyumba kabisa...Kwasababu kwanini wao hawajiulizi why the gold price goes up when the world economy is suffering?Can we take advantage of that?Yani tunauza kitu ambacho kina back up currency lakini yetu inadumbukia shimoni...Hiki kipande cha habari kwa hisani ya reuters.

Gold, the country's top foreign exchange earner, fetched $1.693 billion in the year to May, a 16.1 percent increase from a year ago due to higher world gold prices.
The price of gold rose to an average of $1,513.00 per troy ounce in the year to May, a 2.2 percent rise from a year ago. Tanzania is Africa's fourth-largest gold producer.
Tourism earnings increased to $1.341 billion from $1.190 billion a year ago, helped by enhanced tax collection.
Revenue collection in the month of May amounted to 442.1 billion shillings, representing 93.2 percent of the target.
Earnings from traditional exports tobacco, cotton, coffee, cashew nuts and tea increased 54.3 percent to $701.6 million, largely due to an increase in the prices and volumes of exports of coffee, tobacco and cashew nuts.
Credit to the private sector grew at an annual rate of 24.6 percent in May from 13.7 percent recorded.
Copyright Reuters, 2011
Full habari iko hapa...
Current account deficit widens
 
Weka idadi ya Umeme kabla ya Kikwete
Faiza hii ngoma huiwezi. Unazungumzia umeme gani wa Kikwete? Huu wa kukatika saa 12 kila siku kwa zaidi ya mwaka mzima.
Wewe rudi kule ukasaidie kutetea hoja za Mohamed Said. Hii ngoma huiwezi.
 
Kwa ufupi nyie wote ni walalamikaji, hakuna solution zaidi ya kubana matumizi. Kubana matumizi ndiyo umasikini wenyewe.
Kuhusu data zinavyoonyesha.... I think hatuna tofauti na third world contries nyingi tu. The global economy itself as a whole is messed - up. Mkapa alikuwa hakusanyi kodi nyingi kuliko kikwete, so was Nyerere and Mwinyi, ila nadhani ushabiki ndio umetuzidi.

Mkuu njoo na data sio unaandika tuu ili mradi. How can you spend more than what you're earning? The fact kuwa hatuna tofauti na other third word countries basi tusifanye chochote? Hata hii global crisis ni excuse tuu. It has not hit us the most. Africa's banks are less exposed to toxic debts than their counterparts in developed countries. Ukweli ni kwamba we're spending more than what we are earning. Tanzania is Africa's third-largest gold-producing country after South Africa and Ghana, but how much are we getting from this? Mkuu we're giving too much tax exemptions. Sikubaliani na wewe kuwa serikali ya Kikwete imekuwa inakusanya kodi zaidi ya ile ya Mkapa unless uje na figure.

Mkuu kama serikali inashindwa hata kufikia target ya makusanyo kodi iliyoset yenyewe, then hapo kuna tatizo. Kabla ya haya mambo ya tax exemptions kuanzishwa mwaka 1997, TRA ilikuwa ina-exceed its annual revenue collection targets. Kwa mfano, target revenue collection kwa mwaka wa fedha 2005/06 ilikuwa ni Sh 1.997 trillion in 2005/06 na walifanikiwa kukusanya Sh 2.040 trillion, which was 102% performance. Mwaka 2006/07 target ilikuwa Sh2.284 trillion na wakafanikiwa kukusanya Sh 2.512 trillion, which was 110 per cent of performance. Mwaka 2007/2008, target ilikuwa Sh 3.333 trillion na wakakusanya Sh 3.378 trillion.

Lakini serikali ilivyoanza ku-implement tax exemptions, mwaka 2008/9 TRA ilikusanya Sh 4.051 trillion against its targeted Sh 4.497 trillion. Hii ilijirudia tena mwaka 2009/10 ambapo makusanyo ya kodi dropped from the targeted Sh 4.855 trillion to Sh 4.437 trillion. Between July 2010 and February 2011, TRA collected Sh 3.391 trillion of its targeted Sh 3.686 trillion-revenue collection. Halafu unasuggest tusibane matumizi; tuendeleee kupeana posho tuu. If you want to spend, you must maximize your income na sio kukopa.
 
Mkuu naona hii ipo too general,
a. Wataalam wa uchumi kama kina nani? Hao IMF na policies zao ndio wanaotuua.
b. Ukisema gharama zipunguzwe, unamaanisha nini? Gharama zipi hizo? be specific with how much is gon be saved if we cut so anso by so and so.
c. Kukopa nje ya nchi ni first option, but what if they don't want to loan us money?
d. Debt limit?... mkuu, you don't have to set that!.... our creditworthness is limited anyways.
e. Ufisadi hudhibitiwa vizuri zaidi na wananchi wenyewe, serikali ya wananchi wala rushwa hula rushwa.
f. What...?

Sawa mkuu,

Labda twende specific unaonaje hii ratio ya almost 70% ya government debts kumilikiwa na commercial banks, pension funds, insurance and other individuals. What image does it gives that our financial institutions biggest borrower is the government ambayo haizalishi kitu.......!!! Ikiwa serikali ndio mkopaji mkuu na haizalishi kitu then usitegemee uchumi kukuwa kwa hali hii. Ndio maana nikashauri serikali iache kukopa nchini

Wataalamu wa uchumi wapo wengi nchini. Hatuhitaji watu kutoka IMF watushauri uchumi wetu kwani mazingira ya nchi yetu ni sisi wenyewe ndio tunayoyafahamu zaidi. Wasomi kama akina Professa Lipumba, na wengineo wengi wanafaa sana. Hata wachumi waliostaafu pia wanafaa kama kuna jamaa mmoja ni makini sana (aliwahi kuwa Deputy Governor) na alishawahi kuwa senior economic advisor katika mabenki ya ulaya na arabuni. Tusilemae kwa academicians tu kwani watu kama Professor wao theories tu ndio wanajua but practical solutions sometimes wanakwama we need others who have practical thinking to team up with these dons wakae chini kutengeneza economic models muhimu kwa ajili ya nchi hii na wazifanyie kazi halafu ndio waziwakilishe kwa rais. Ndio nchi za wenzetu wanavyofanya kazi sio sisi kila kitu siasa tu na usalama wa taifa.

Umeniuliza kuhusu gharama nimetoa mfano kama umesoma mwanzoni kuna gharama za kama mshangingi (kila mmoja kwa mujibu wa Prime minister costs 280 Millions) if we can reduce the amount of these expensive cars imagine how much can we save from cost of buying and maintaining? Vile kama alivyosema mchambuzi ukisoma bajeti ya Mkulo almost karibu 60% inaenda katika posho, vikao na mishahara tukiweza kupunguza gharama hizo by 40% Imagine how much tutasave?

Umeniuliza kuhusu debt limit yes our credit worthiness is limited but only abroad. Kumbuka tumefail kuuza Euro bonds zetu kwasababu S&P ranked our bonds as BB- (Junk bonds). Ila nchini serikali is still credit worthy lender kwa commercial banks either for political reasons or business interest. If the parliament set out permanent cap on borrowing the government will be careful with what they spend on borrowed funds. Kwa hali iliyopo sasa serikali inamalizia shida zake kwa kwenda kukopa katika mabenki nchini kwa vile ni rahisi kwao. Permanent cap inakuwa kama overdraft limitation ya kiwango cha kukopa kwa serikali.

Ufisadi ni janga la taifa but serikali ikiamua inaweza. Serikali ikiwa namsimamo mkali dhidi ya ufisadi basi na wananchi wataogopa kutoa rushwa au kupokea rushwa.
 
Back
Top Bottom