SOBY
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 1,268
- 459
Ndugu Mdondoaji,Ndugu Soby,
Hii sasa ndio inaitwa siasa katika uchumi labda nikuulize maswali.
a. Maendeleo gani yatakuja kwa kuwa na asilimia kubwa fedha za kigeni ? Wapi tutapata hizo fedha za kigeni?
b. Tuassume wewe uko sahihi tuendeleee kuwalipa wafanyakazi mishahara minono. Je hiyo mishahara itakuwa na manufaa ikiwa thamani ya shillingi inaporomoka na vile vile gharama za maisha kuongezeka kila siku?
c. Maprofessa na wataalamu wa uchumi nchini ni muhimu zaidi kwasababu wanafahamu hali halisi ya uchumi ila nimesema iwe team inaweza pia kujumuisha watu wa nje kama wa nchini wamekosekana.
d. How can we reduce our oil consumption wakati sisi ni emerging economies? Unajua gharama za kutumia mitambo isiyotumia mafuta? Unafikiri tunaweza kuafford them?
Hebu fafanua zaidi maana in short hizi naziona ni siasa.
a. Fedha za kigeni ndiyo hununua mitambo, hujenga infrastructure, ndizo huboresha elimu yetu kwa kununua vifaa bora vya elimu kama vile vitabu, labs etc... vitu vingi ambavyo ni muhimu kwa maendeleo hupatikana kwa kutumia fedha za kigeni, kwa sababu sisi hatutengenezi machineries, wala hatuna oil.
Kwa hiyo Agriculture, Tourism and services eg. our ports, minerals can bring a lot of forex if we really get serious. We have the potential.
b. At the same time, ukiwa una export more than importing fedha yako iko likely kuwa very stable, so the salaries siyo kitu kinachoturudisha nyuma, mabbe the distribution or minimization of income gap through posho.
c. Wataalam ni poa, ila watu huwa tuna complicate sana uchumi, like we need a professor to be our president, no!... It's about dedication and listening to everyday people like us. But wataalam if carefully chosen, they won't hurt.
d. We are the second innefficient nation in the word after Uzbekstan when it comes to Energy. we use twice as much oil per dollar of GDP compared to Kenya. Lets say if we had the same coefficient as Kenya for example, our oil that we import could've produced or support twice as much GDP (ALMOST 45BIL$) with the same amount of oil imports.
Lets stop using cars unneccessarily and start using public transportation in big cities, let's regulate the quality of our public transportation, let's encourage the use of coal, extensively by mining our own, let's use gas extensively, let's increase our productivity. Let's have Insurance to cover our roads maintance,lets modernise our house appliances...save and take care of our forests and water sources so we can have a reliable HEP.
etc...etc...etc