''Ishara na Miujiza zitaambatana na hao waaminio, nanyi mtaweka mikono juu ya wagonjwa nao watapata afya'' kwa ufupi ni kwamba, si babu wala si kwa kikombe bali hata kwa kuweka mikono au kutamka tu! Ukimwi, tb, kisukar na mengne yote yanaondoka, lakin kwake anayeamin! Kwa hyo Mungu wetu si mwanadamu, njia zake ni nyingi sana za kutenda makuu na maajabu juu ya kumponya mwanadamu! Ndugu zangu wana JF, tuache marumbano juu ya kazi ya babu katk kutimiza adhima ya Kimungu. Cha maana ambacho nakiangalia na najiulza mara nyingi ni JE WATU WANAOPONA UGONJWA WAO, WANAMKIRI YESU KUWA NI BWANA NA MWOKOZ WA MAISHA YAO? Je baada ya kupona kutoka ktk masumbufu ya magonjwa WANATUBU na kuendelea kuishi ktk utauwa na utakatifu? Wanampa utukufu nani baada ya uponyaji wao? Ndugu zangu naomba mjue kuwa YEYE IOPONYAYE NAFSI YAKE HUIANGAMIZA, Ni akheri kufa ktk KRISTO kuliko kutafuta tiba ya mwili ili uendelee kutenda dhambi na hatimae ufie ktk dhambi! Mwili huu huisha lakin upo UZIMA tena baada ya kifo. Watu wengi tunakimbia KIFO badala ya kuikimbia JEHANAMU YA MILELE! Mwili nayo nafsi vitakoma lakin ROHO itaishi milele. Ningefurahi na kushangilia iwapo nngeona umati mkubwa, watu kusafiri kutoka sehemu mbalimbali za dunia wakikimbilia kupata UZIMA WA MILELE (kutubu dhambi zao). Laiti km angetokea mtu anayeishi ktk Roho yaan aliekufa akatuambia hal halisi kuhusu huko aliko kukoje, nadhani tungeamua wenyewe! Ndiyo sikatai watu kuendelea kupata uponyaji wa miili yao dhidi ya magonjwa lakin UPONYAJI WA ROHO NI BORA MARA MIA KULIKO KUPONYWA MWILI KWANZA! Kumbukeni YESU anasema na HUO UZIMA UTAKUWA NDAN YENU lakin baada ya ROHO kuuhishwa. Wapendwa endeleeni kwenda kwa babu lakin tukisha toka huko na kupona, kitu cha kwanza kabsa kama ulikuwa hujamwamini YESU kuwa ni BWANA na Mwokozi wa maisha yako kwa kutubu, PLEASE tafuta kanisa la KIROHO utubu kwanza ili uweze kuendelea kuwa mzima kiroho na kimwili, na USITENDE DHAMBI TENA! Naamin ukifanya ivo utaendelea vzr na utapeta mpaka! LAKINI kama hutaokoka, magonjwa yatakuwa juu yako mpaka unaenda kaburini, ni vzr tukafaham kuwa magonjwa ni juu ya hao Wasioamini, haijalishi unasali kanisa gan lenye jina zuri la kiroho lakini kama HUAMINI, jua kuwa bado hujaokoka na magonjwa ni halali yako. Ni vzr pia kufahamu kuwa hizi ndizo zile nyakati za mwisho zilzokwisha kutabiriwa! Watu watasafiri kutoka pande kuu nne za dunia wakimbilia miujiza na uponyaji wa miili yao badala ya kuitafuta KWELI yangu(YESU) matetemeko makubwa, Japan, machafuko ya nchi n.k. NI WAKATI WA KUJIWEKA TAYARI NA SIO WAKATI WA KUSHANGAA SHANGAA TENA.
Kila la kheri!