WENGINE hata usingizi hawapati kisa mwanakijiji anaongoza kwa thanksWengine hatujui hicho kitufe kiko wapi... au ni kwenye PC yangu tu??
Join Date Fri Mar 2006
Location Kijijini
Posts 19,795
Thanks : 11,585
Thanked 6,723 Times in 1,976 Posts
Rep Power 48
kwa kutumia record ya mwanakijiji,
kadri unavyowagongea watu kitufe cha thenks,na wewe ndivyo unavyopata thenks nyingi!
the same will apply kwa watu wenye thanks zao nyingi kama chrispin,n.k
wengine wanajua kulalamika tu!
WENGINE hata usingizi hawapati kisa mwanakijiji anaongoza kwa thanks
WENGINE wameamua kujitoa jf kisa thanks!
NAKUKUBALI SANA BABA ASKOFU!lakini wake za watu ni sumu!ACHA!
mkuu,
i had feelings kwamba members are concerned on WHAT SOMEONE DELIVERS rather than hizo ''thanks''!huwezi kupima mashiko ya hoja za mtu kwa kuangalia ''thanks''!the way i see this forum ni kwamba kuna kitu muhimu zaidi ya hizo thanks!....
kuna wengine huwa tunatoa thanks kwa maana tofauti kabisa!.....
Vitu vingine vidogo sana hata havistahiri kuumiza vichwa vya MA- GREAT THINKER
The Following 9 Users Say Thank You to Kichuguu For This Useful Post:Thread hii haijengi kitu kwa members, na vile vile metric unayotumia siyo sahihi.
Metric hii siyo sahihi kwa vile inategema ratio baina ya posts zote za mchangiaji na zile zilizokuwa credited with thanks. Hiyo siyo sahihi kwa vile post zote zilianza kuhesabiwa mwaka 2006 wakati credit za thanks unazoshesabu zilianza kuhesabiwa mwaka jana tu. Kuna hesabu ya credist za zamani iliyofutwa mwaka jana na kuondoa credits zote zilizokuwapo kuanzia mwaka 2007 hadi mwaka 2009; katika hesabu ile, wenyeji wa forum kama Mzee Mwanakijiji, FMES, Mtanzania, Rev Kishoka, Bubu Ataka Kusema, SteveD, Mwafrika wa Kike, Brazameni, Masatu, Nungwi, Madela-wa-Madilu, Nyani Ngabu, Muchambuzi, Jasusi, Mwanasiasa, Dar Si Lamu, Joka Kuu na wengineo ambao inawezekana huwafahamu, walikuwa wameshafikisha zaidi ya credits 20,000.
Kwa vile umejiunga mwezi jana tu, unaweza kuwa hujui yote hayo. Ningekushauri uwe unatumia forum hii effectively kubadilishana mawazo na wanachama kwa namna mbalimbali kwa vile kuna wanachama wenye ujuzi wa aina mbalimbali na kwa caliber za ajabu sana. Hata kama usipochangia mada, unaweza kukaa kimya na kufuatilia mada mbalimbali kadri watu wanavyozichambua. Kwenye ukumbi kama huu kutakuwa na watoa pumba na watoa mchele; ni wajibu wako kuchambua mchele ni upi na pumba ni zipi. Ni jambo la kawaida sana hapa watoa pumba kupena credit na watoa mchele pia kupeana credit, kwa hiyo swala la kuangalia ni nani kapata credit nyingi linaweza lisikusaidie sana katika matumizi yako ya forum hii.
The Following 9 Users Say Thank You to Kichuguu For This Useful Post:
Askofu (Today), Balantanda (Today), Bigirita (Today), Bubu Ataka Kusema (Today), Mtumishi (Today), Mzee Mwanakijiji (Today), Ndege ya Uchumi (Today), Ntemi Kazwile (Today), Tausi Mzalendo (Today)
Thread hii haijengi kitu kwa members, na vile vile metric unayotumia siyo sahihi.
Metric hii siyo sahihi kwa vile inategema ratio baina ya posts zote za mchangiaji na zile zilizokuwa credited with thanks. Hiyo siyo sahihi kwa vile post zote zilianza kuhesabiwa mwaka 2006 wakati credit za thanks unazoshesabu zilianza kuhesabiwa mwaka jana tu. Kuna hesabu ya credist za zamani iliyofutwa mwaka jana na kuondoa credits zote zilizokuwapo kuanzia mwaka 2007 hadi mwaka 2009; katika hesabu ile, wenyeji wa forum kama Mzee Mwanakijiji, FMES, Mtanzania, Rev Kishoka, Bubu Ataka Kusema, SteveD, Mwafrika wa Kike, Brazameni, Masatu, Nungwi, Madela-wa-Madilu, Nyani Ngabu, Muchambuzi, Jasusi, Mwanasiasa, Dar Si Lamu, Joka Kuu na wengineo ambao inawezekana huwafahamu, walikuwa wameshafikisha zaidi ya credits 20,000.
Kwa vile umejiunga mwezi jana tu, unaweza kuwa hujui yote hayo. Ningekushauri uwe unatumia forum hii effectively kubadilishana mawazo na wanachama kwa namna mbalimbali kwa vile kuna wanachama wenye ujuzi wa aina mbalimbali na kwa caliber za ajabu sana. Hata kama usipochangia mada, unaweza kukaa kimya na kufuatilia mada mbalimbali kadri watu wanavyozichambua. Kwenye ukumbi kama huu kutakuwa na watoa pumba na watoa mchele; ni wajibu wako kuchambua mchele ni upi na pumba ni zipi. Ni jambo la kawaida sana hapa watoa pumba kupena credit na watoa mchele pia kupeana credit, kwa hiyo swala la kuangalia ni nani kapata credit nyingi linaweza lisikusaidie sana katika matumizi yako ya forum hii.
Asante Tausi Mzalendo kwa tathmini yako,2. Anyisile Obheli Posts:1,257 Thanks : 516 Thanked 466 Times in 311 Posts
ukizingatia anza na hapa kwakoJoin DateSun May 2010 Posts66 Thanks : 26Thanked 38 Times in 29 PostsRep Power21
No wonder!Katika kupitia mabandiko na michango ya wadau mbalimbali JF nimevutika kuangalia ni vipi michango hiyo inapokelewa na wasomao. Kilichonishangaza ni pattern hii:
Katika mabandiko ni nadra sana hata kwa wale magwiji kupewa thanks katika asilimia zaidi ya 30 ya mabandiko yote.Mathalani kama mtu kabandika mara 10,000, asante atakazopokea zinacheza kwenye mabandiko yasiyozidi 3000!! ina maana mabandiko 7000 ni pumba? Hebu angalieni wenyewe - chukua id ya mtu yeyote hasa wale mahiri wa kubandika, angalia kabandika mara ngapi kisha kapongezwa mara ngapi mtajionea wenyewe - inacheza kati ya asilimia 10 na 30, haizidi 1/3 ya mabandiko yake.Mimi mwenyewe nimebandika mara 61, nimepongezwa mara 32 lakini katika mabandiko 24 tu. Nimeshangaa kiaina!
Nitatoa mifano michache as of today 15/6/2010:
1. Mzizimkavu :
Posts: 3,906
Thanks : 605
Thanked 518 Times in 352 Posts
2. Anyisile Obheli
Posts:1,257
Thanks : 516
Thanked 466 Times in 311 Posts
3.Mbu
Posts:5,164
Thanks : 538
Thanked 666 Times in 402 Posts
4 Buchanan
Posts:3,795
Thanks : 817
Thanked 1,510 Times in 913 Posts
5.Abduhalim
Posts:8,700
Thanks : 505
Thanked 1,319 Times in 881 Posts
Hizi takwimu zinatuambia nini jamani? Wengine hatufanyi kitu bila kutathmini.
nadhani nilipomsoma TM sidhani kama suala ni content hasa ya postings.. nadhani ni suala la pattern inayoonekana. Kwangu mimi I'm more intrigued kwanini katika sample hii ndogo tu trend inayoonekana ni kuwa karibu watu wote wanaopewa thanks wanapewa thanks katika asilimia isiyozidi 30 hivi ya posts zao zote. Japo si sample ya kisayansi lakini kuonekana kwake kunazua maswali fulani fulani.. Yaani haijalishi mtu anaposti nyingi au kidogo trend iko pale pale... Don't you guys find this a little bit puzzling..?
Nina uhakika waliosoma mambo ya Fractal Maths wanaweza kutusaidia kwa sababu hata kitu kinachoonekana ni random kweli kumbe kina pattern yake ya aina fulani. Kwani hakuna kitu random sana hapa kama tunavyopeana thanks lakini at the end.. hakuna anayepewa thanks zaidi asilimia kama thelathini hivi ya posts zake zote.. Haijalishi kama anaposts nyingi au kidogo ndiyo assertion ya TM.
....
Kuwepo na option ya NO THANK YOU....
Italeta ugomvi!I second this idea.