DON SINYORI
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 511
- 418
usimtizame mwanamke mzuri.jambo hilo hufanya tamaa kuwaka kama moto.wengi wameangushwa juu ya hilo.'' somewhere in the Bible
Kumbe unajua eeh? Safi sana.
Hiyo ni kweli kabisa. Lakini kabla hata sijaondoka nyumbani huwa nahakikisha nipo katika hali ya kutoka. Hivyo, uwezekano wa kuniangalia na kunishangaa kama kituko sidhani.
Naamini wengi huwa wanashangaa hili jana dume la Kisukuma limetokea wapi!
Si nyakati zote inakuwa ni haliudi uliyojipaka au kujipulizia. Wakati mwingine mtu uko gym, wewe uko chini kwenye biceps machine na yeye yuko juu anakimbia kwenye treadmill.
Hapo haliudi atainusaje?
Hhahahahahahaaaaa hapo mtakuwa mnachunguliana tuu hehehehee huyo dada wa kwenye treadmill yeye anakuangalia balls na six pack na kifua halafu wewe unaokota maembe anayodondosha nyuma kadri anavyotembea au kukimbia kwenye treadmill
Yeah ni suala la asili ya binadamu tu.
Ukijali sana utaishia kupatwa na homa bure!
Kabisa, ndo maana nikaona bora niwaelwe ili niondoe figisufigisu za wivu na kugombana.... sasa hivi ikitokea niko na mkaka mie ndo namstua... best... ona kifaa kile matataa hahahahaaa kisha tunacheka wote.
Angalia usije kuishia kuwatamani na kuwa msagaji kabisa,maana kusema na wewe kuwa umeifurahia hali ya singida,dodoma,umenipa maswali zaidi kuliko majibu,mwisho,pamoja na kufanya huo utafiti wako,bado hujagraduate kuwafahamu wanaume,hatutabiriki mama
Kwi kwi kwi kwi lol! Kumbe weye kuosha macho poa ila mie nikiosha macho UNANUNA! Nie napenda kuangalia package yote kuanzia front side na kumalizia kule kwingine al maarufu kwa jina la wo wo wo. Ila ni kweli aisee siku hizi wengi ni wa kuchonga wale natural wanazidi kuadimika.
Hapana sijawahi kuwatamani wanawake wenzangu, mie nawatazama kiakili zaidi na kuishibisha akili na huwa najistukia nimezubaa au nimepigwa na butwaa.Kassie miaka 10 ndio kuwaelewa wanaume? Na bado ujaolewa tu, karibu kwangu nataka niongeze mke wa pili. Lakin Yesu alisema " Kila amtazamae mwanamke na kumtamani moyoni mwake amekwisha zini naye" Mara nyingi sisi wanaume atuishi kuwaangalia tu pia uwatamani. Je kwako vipi nawe unawatamani?
Hahaha. Haya endelea kuwafaidi wenzako. Muda si mrefu wataanza kukufaidi na wewe.Habari za usiku mabibi na mabwana,
Ni wasaa mwingine tena Kasinde kuzungumza nanyi.
Ila wanaume muda wote huo wanafaidi ila hawawaambiagi wanawake wao ukweli na kujikuta wananuiwa au kusababisha ugomvi, ila mie nimeshawaelewa sanaa hahahahaa.
Kasie.
Story yako imenichanganya kwenye kujua jinsia yako!.....you sound like ke and at the same time like me!!
Okay! Umesomeka mkuu.Mie anayenifaidi ni mwanaume tuu tena aliyepitia vigezo vyote anavyovitaka Kasie...... vigezo visipotimia nampotezea hawezi faidi chochotee....
AfadhaliNimegundua hilo na siku hizi sipati shida tena
Hhahaaaaa na wewe kwanini huwa unageuza shingo?
Hhaahahhahaaaa Sergio..... you know what I like ...... the glass lens thing .......looking at the bells or balls...... naked.......
Kuosha rungu is one of my daily recipe ......... I love it.
mmmmmmnnnnhhhhh!Mie anayenifaidi ni mwanaume tuu tena aliyepitia vigezo vyote anavyovitaka Kasie...... vigezo visipotimia nampotezea hawezi faidi chochotee....
Mie anayenifaidi ni mwanaume tuu tena aliyepitia vigezo vyote anavyovitaka Kasie...... vigezo visipotimia nampotezea hawezi faidi chochotee....