Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,229
- Thread starter
- #61
Najua pia kuwa wanawake wengi pia huwa wanaosha macho kwa wakaka watanashati na wenye kunukia uturi.....Mbona hata wanawake wapo wengi tu ambao husuuza macho!
Hahahahahahaa siku ingine ikitokea hivyo kabla hujafika mbali jiangalie vizuri na utafute kioo ujiangalie kwa nyuma...... sio miangalo yote ni kusuuza macho saa ingine ni kushangaa..... utasikia..... huyu kaka hajajua kama suruali yake imeachia katikati ya mapaja au zipu iko wazi.... hehehehehheee au yaweza kuwa kifungo kimeachia wanashangaa love garden (kwa wapenda bustani ya mahaba). Pia yaweza kuwa viatu vyako vimetoboka we huna habari hahahahahahaa unajua mademu wamekuzimia kumbe wanakushangaa. (Baada ya kusema haya natoka ndukiii kujificha ukija hunioni ng'oo heheheheheee)Hakuna sehemu ambayo nikienda na wawepo wanawake halafu wasinikatie shingo.
Si gym..si ofisini..si mall...popote pale niendapo lazima huwa nakamata kadhaa wanaonikatia shingo.
Hii itakuwa ni uturi uliojipulizia ndo unawafanya wadada wakisikia manukato hayo wageuke kumuangalia huyu mtu ni nani..... eeeh wanakutana na Nyani hao wanarudi kusoma gazeti au kuendelea na maongezi heheheheheheheee
Kusuuza macho ni asili ya binadamu.
Nimekubali, ila ilinipa shida sana kuelewa kwanini mwanaume amgeukie mwanamke ilhali yuko na mwanamke pembeni kama ni kutizama si atazame huyo aliyenaye.....??? Ila ukikuta kila mmoja yuko kivyake halafu mmagongana macho halafu kila mmoja anayakwepesha kama vile hakuwa anakuagalia.... halafu unakuta unarudi kumuangalia tena kwa kuibia unakuta na yeye anaibia kukuangalia hahhahahhhhaaaa huwa najikuta natabasamu, na kuna mkaka mmoja tulijikuta tumeenda pata dinner baada ya kuangaliana kwa matamanio.... ila iliishia dinner tuu.