Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,768
- 4,907
- Thread starter
- #41
DangwaRecho yupi huyo mkuu?
DangwaRecho yupi huyo mkuu?
So una muamini kiasi hicho ?? Mwanasiasa ni sawa na mwanamke Malaya !Siku TAL lisu akifika DAU basi nitaacha kufatilia siasa, Hata kuwaza tuu itakua mwiko kwangu.
Kabadili dhehebu/dini na kuwa mbuddha?Dangwa
Tatizo lako utotoni umevaa pampas sanaPunguza uongo. Hujui unachoongea. Umelala kwako unaamka na kujitungia uongo.
... usitukane wakunga ................!Tatizo ni shule! Hana hata kidato kimoja.
Nahisi ndo yule Recho aliyeimba Kizunguzungu...Recho wa wapi huyo? Au ni huyu Recho Shekidee, mama ntilie wa hapa mtaani kwetu?
Halina akili yakuinfluenceYaani huwa linatukana tu halina point hata moja
Kwenye msafara wa mamba kenge wapoImekuwaje Recho kawa Mpinzani ? tena !