Elon Musk kawa Trillionaire tena.

Elon Musk kawa Trillionaire tena.

Hii ni baada ya hisa za SpaceX kupanda zaidi ya 5% na Tesla pia kuongezeka.
Musk atakuwa “trillionaire on paper only”(TOPO) for a long time. Hakuna uwezekano wa kuigeuza net worth ya $1 trillion (mostly consisting of share holdings) kuwa cash money. Mtu anahitaji net worth ya mamia ya such trillions ili kuwa a substantive trillionaire!
 
Maskini kwenye ubora wenu 😂
 
Maskini kwenye ubora wenu 😂
Sisemi hili kwa wivu. Hakuna uhalisia wa kuuza hisa za $1 trillion ukapata hiyo thamani. Ukijaribu kuuza a huge number of shares, kuna price impact kubwa ambayo itaathiri negatively bei ya hisa. Bei ya kitu chochote inaongozwa na supply and demand forces—that’s Economics 101.
 
Sisemi hili kwa wivu. Hakuna uhalisia wa kuuza hisa za $1 trillion moja ukapata hiyo thamani. Ukijaribu kuuza a huge number of shares, kuna price impact kubwa ambayo itaathiri negatively bei ya hisa. Bei ya kitu chochote inaongozwa na supply and demand forces—that’s Economics 101.
Kwamba watu wote duniani na wengine wabobezi wa uchumi wanasema ana huo utajiri, ila ww mtaalamu wa masuala ya uchumi duniani kutoka Mwanjelwa ndo unasema hana huo utajiri?
 
Kwamba watu wote duniani na wengine wabobezi wa uchumi wanasema ana huo utajiri, ila ww mtaalamu wa masuala ya uchumi duniani kutoka Mwanjelwa ndo unasema hana huo utajiri?
Kwa nilivyoelewa TOPO...

Chukulia una gari la bilion moja, ila unaishi sehemu ambayo hakuna mtu anayeweza kulinunua hilo gari kwa hiyo bei...

Maana yake, ni kweli wewe ni tajiri wa bilioni moja, lakini kamwe hiyo bilioni moja haiwezi kuwa pesa, bali ni gari tu!!
 
Malizia n Gari lenye thamani ya B, ndio point yangu kwenye utajiri wa Elon
 
Back
Top Bottom