Sasa mna shangaa nini? Kila mtu kuna dau akiwekewa mezani lazima asaliti umma.
Zitto alifika dau, Mbowe alifika dau, (Heche na Lissu tuwape muda, Heche tumpe miaka 10 na Lissu miaka 5) wasipofika dau tuwajengee sanamu.
Lema alifika dau, Sugu alifika dau tofauti yao hawa wamebaki ndani tu.
Mange, anaogopa tu kufa maana anajua ktk kufika dau watu wapotayari kumpa hata dunia nzima ili wamtoe roho π€£ ila deep down kuna watu wamefika naye dau ila anaogopa tu kwasababu anajua ni mtego wa uhai wake.
Anyways hapa duniani kila mtu ana kiasi cha fedha kikiwekwa mezani atasaliti mtu au jambo fulani.