Kampuni ya Premier Bet ni Wezi, Matapeli na Wenye huduma mbovu kwa Wateja. Kuweni Makini

marisi schwein

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
1,014
3,029
Mimi ni miongoni mwa wateja wakubwa wa kampuni ya Premier Bet mpaka kufikia hadhi ya VIP customer. Nimekuwa nikibet zaidi ya milioni moja kwa siku lakini kuna trend moja nimeishuhudia siku za karibuni kwa kampuni hiyo kufuta baadhi ya mechi sense odds kubwa baada ya kula. Pia kumekuwa na trend ya kampuni kubadilisha option aliyoweka mteja ili kumuibia hasa pale anapokula.

Mbaya zaidi ukiwapigia kitengo cha huduma kwa wateja utafokewa au wasipokee simu. Wadau wa betting kuweni makini msije kuibiwa na kutapeliwa na hawa matapeli wanaojua kukusanya tu na kuibia wateja

Chini nimeambatanisha mikeka miwili ya mechi moja ambapo mkeka uliopoteza mechi imehesabiwa lakini mkeka uliokula mechi imefutwa
Screenshot_20240113-073514.png
Screenshot_20240113-073557.png
 
Mimi ni miongoni mwa wateja wakubwa wa kampuni ya Premier Bet mpaka kufikia hadhi ya VIP customer. Nimekuwa nikibet zaidi ya milioni moja kwa siku lakini kuna trend moja nimeishuhudia siku za karibuni kwa kampuni hiyo kufuta baadhi ya mechi sense odds kubwa baada ya kula. Pia kumekuwa na trend ya kampuni kubadilisha option aliyoweka mteja ili kumuibia hasa pale anapokula.

Mbaya zaidi ukiwapigia kitengo cha huduma kwa wateja utafokewa au wasipokee simu. Wadau wa betting kuweni makini msije kuibiwa na kutapeliwa na hawa matapeli wanaojua kukusanya tu na kuibia wateja

Chini nimeambatanisha mikeka miwili ya mechi moja ambapo mkeka uliopoteza mechi imehesabiwa lakini mkeka uliokula mechi imefutwaView attachment 2872422View attachment 2872421
Nimeangalia sehemu uliobet million kwa siku ila sijaona
 
Yaani ulikuwa a useful customer tena mpaka ukawa VIP kwa muda mrefu lakini uliposhindwa kushinda ndio wamekuwa matapeli au akili imekurudia sasa muda wote ulikuwa zombie?
 
Back
Top Bottom