gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,216
- 5,790
Umeongea ukweli.kuna majinga yanatunisha kifua eti tuna madini wakati hayo madini yenyewe ili yaweze kua na manufaa na thamani lazima tuwauzie hao hao mabeberu.Tatizo liko kwenye akili zetu namna yakupiga hatua zetu uku kila mmoja akinufaika ipasavyo.Kwahiyo kushindwa kwetu kunatufanya tuwachukie mabeberu waliotumia rasilimali tulizowapa vizuri uki sisi kile tulichokipata kutoka kwao tuneshindwa kukitumia ipasavyo.Ndo maana kuna nchi zinaitwa first world na sisi ni third world, get that fact right kwanza kabla ya yote!
Nchi tajiri zina templates kadhaa katika profile zao, wakiamua wanajitegemea, wakiamua wanaweza kututegemea masikini kwa faida zao , wakiamua wanasaidia masikini..kuna wakati nchi hizo zinafanya mamboyote hayo kwa wakati mmoja
hadi leo dawa za kifua kikuu , hiv, zinakuja kama misaada kutoka kwa beberu, meantime copper ya zambia hadi leo hii masoko yake yapo huko huko kwa beberu.
Mama anazunguka huko kwa sababu anajua beberu haipukiki kwa namna yoyote.
She will loose some and win some games katika rounds hizo