Ilikuwaje fedha za kununulia ndege zikaingizwa kwenye akaunti nyingine kabla ya kulipwa kampuni husika ya kutengeneza ndege?

Au Mjomba wake aje apande mahakamani kumtetea,kama vile alivyofanya Mkapa kupanda kizimbani kumtetea Prof. Mahalu.
Wakileta ujinga wanaweza kujikuta katiba inawekwa kushoto halafu wote wanapelekwa kunyea debe
 
Wakileta ujinga wanaweza kujikuta katiba inawekwa kushoto halafu wote wanapelekwa kunyea debe
Atakachokifanya anko wake ni kuhakikisha anamuachia madaraka mtu atakayemtii kwa 100% lkn pia hio sio strategy nzuri maana yanaweza kumkuta ya Chiluba vs Mwanawasa au ya Dos Santos na mrithi wake.
 
Atakachokifanya anko wake ni kuhakikisha anamuachia madaraka mtu atakayemtii kwa 100% lkn pia hio sio strategy nzuri maana yanaweza kumkuta ya Chiluba vs Mwanawasa au ya Dos Santos na mrithi wake.
What i know is life can always change, we just gotta adjust

My life is mine to remember
 
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi!

Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!!

Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii si ya kupuuza..

Tungoje kafulila atalijibia hili
 
H
naapa nitaitumikia jmt kwa moyo wangu wote nitairinda na kuitetea katiba ya jmt
na pia nitahakikisha nawamaliza wachagga wote serikalini na kuwaingiza wasu.kumma
kwakua hii ni zamu yao ee mwenyezi nisaidie
Hii sala imetendewa haki Kimara ndio lango la wachaga la kuingilia mjini kabla awajasambaa maeneo mengine.Wale wa mwanza awakubomolewa sababu ni wapiga kura,msukuma aliyesaulika ni Pasco tu sababu ya kuhoji swali kule kwenye zoo ndogo
 
Huyu rais ni fisadi mwizi anayejigicha kwenye kichaka cha uzalendo fake
Ndugu yangu Rais wa nchi hatukanwi huwa anaombewa. Unajitafutia laana wewe pamoja na uzao wako. Utakaposhikwa na wasiojulikana husije ukajuta umejitafutia mwenyewe.
 
Katiba Mpyaa ni muhimu Sana. Watz tumechezewa mno kupitia kwa Viongozi Miungu Watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama katiba ilitopo haiheshimiwi, hata mpya haitafuatwa.
Kwanza tatizo la msingi liondolewe, ambalo ni kutofuata katiba.
Kuwe na utamaduni wa kuilinda katiba kwa kuwawajibisha viongozi wanaovunja katiba iliyopo, ikithibitika wamefanya hivyo.
Uwepo wa katiba ni jambo moja na kuifuata ni jingine.
 
Ndugu yangu Rais wa nchi hatukanwi huwa anaombewa. Unajitafutia laana wewe pamoja na uzao wako. Utakaposhikwa na wasiojulikana husije ukajuta umejitafutia mwenyewe.
Siwezi kuliita koleo kijiko kikubwa, rais si Munguu
 
Atakachokifanya anko wake ni kuhakikisha anamuachia madaraka mtu atakayemtii kwa 100% lkn pia hio sio strategy nzuri maana yanaweza kumkuta ya Chiluba vs Mwanawasa au ya Dos Santos na mrithi wake.
Mbona hata yeye kawageuka vibaya walio mtangulia na anawakejeli hadharani alicho shindwa ni kuwaweka ndani kwakuwa naye alishiriki moja kwa moja
 
Back
Top Bottom