Ilikuwaje fedha za kununulia ndege zikaingizwa kwenye akaunti nyingine kabla ya kulipwa kampuni husika ya kutengeneza ndege?

Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali
Tusaidie kwa kutupan ufafanuzi basi.
 
Umejaribu kufikilia utapata faida kiasi gani ukiweka Tshs.1 trillion kwenye akaunti yenye riba 12% @????(;

Yap lakini walituaminisha kuwa kuchukua fedha za taasisi ya umma na kuiweka fixed deposit kwenye commercial bank ili kupata interest ilikuwa ni upigaji, na iligharimu ajira ya watu wengi akiweno mafuru na yule wa TRA kama sikosei, ikatolewa amri account zote za mashirika zifungwe na kuhamishiwa BOT
Sasa kama na wao wamepita mule mule waliko pita wenzao wakawaadhibu bila huruma kibaya zaidi wao wamefanya hivyo kwa maslahi binafsi,

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE][/QUOTE]
 
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi!

Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!!

Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii si ya kupuuza..
Hujui kitu nyamaza. Mwambie huyo vuvuzela Zitto aende bungeni akaongelee huo upuuzi wake ili apewe vidonge vyake apone.
 
Hizo ni deal za mzalendo, na akisikia hilo linasemwasemwa anapata hasira kwelikweli. Hapo gazeti lolote litakaloandika hiyo habari lijiandae kufanyiwa mizengwe.
Hata wewe hujui kuchambua ripoti ya CAG mpaka uchambuliwe na msaliti Zitto?
 
naapa nitaitumikia jmt kwa moyo wangu wote nitairinda na kuitetea katiba ya jmt
na pia nitahakikisha nawamaliza wachagga wote serikalini na kuwaingiza wasu.kumma
kwakua hii ni zamu yao ee mwenyezi nisaidie
Dah watu mnajitoa na nyuso mnaweka kabisa?
Tukiendelea kujenga moyo wa dizaini hii Tanzania haitokuwa tena nchi wa wajinga waliowazoea kuwapa ulaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zimepitia kwa dalali kwanza akazihakiki kama sio za bandia.
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi!

Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!!

Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii si ya kupuuza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali
Unatakiwa umweleweshe la sivyo hoja yake itabaki kuwa na mashiko
 
Back
Top Bottom