Zakaria Lang'o
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,767
Utajibiwa: Nilikuwa waziri wa wizara nyeti kwa miaka 20 kabla sijawa top, unadhani nililaza damu!!!?"Tutamuuliza katoa wapi hali hawana historia ya utajiri?
Utajibiwa: Nilikuwa waziri wa wizara nyeti kwa miaka 20 kabla sijawa top, unadhani nililaza damu!!!?"Tutamuuliza katoa wapi hali hawana historia ya utajiri?
Una maana tuwaachie tu wale holela kwa urefu wa kamba zao Tena bila hata kunawa!!?Hili shamba la bibi kila mwenye nguvu anakula kwa urefu wa kamba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Roots ya pesa yatakiwa iwe ya kutafuta na sio kukwapua kodiUtajibiwa: Nilikuwa waziri wa wizara nyeti kwa miaka 20 kabla sijawa top, unadhani nililaza damu!!!?"
Tatizo ukipiga kelele sana watakupitia wasiojulikana kwa usalama wako unakaa kimya tuUna maana tuwaachie tu wale holela kwa urefu wa kamba zao Tena bila hata kunawa!!?
Mungu amesikia ombi la mja wake,amemwandalia makao mapyaRais wa Tanzania hata akitaka aabudiwe hakuna wa kumpinga
Nikikumbuka kauli ya Mwanri RC Tabora kuwa Mungu amshukuru Magufuli kwa kufanya mazuri huwa napata ukakasi Afrika bado ni kiza kimetanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Geita wakati huu kuna baridi, jua likitoka atatulia.Mbona unaleta taarifa huku unatetemeka!!
Hayo yote yanahusikaje na kuhamishia fedha kwenye akaunti nyingine, tuache uongo!Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali